mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  2. E

    Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  3. Wana CCM tusisikilize chochote hata kama tulikosea, Mgombea wetu ni mmoja tu

    1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite 2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa. Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
  4. B

    INAUZWA Sofa (L-shape) imetumika mwezi mmoja tu inauzwa

    hii sofa ni balaa inanesa nesa tu ina spring yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold ni full white lether afu ngumu ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000 mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu utaipata kwa 500,000 mahari Dar es...
  5. Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  6. Mmoja kati ya hawa ni mwanasiasa mkongwe hapa Tanzania. Umemtambua?

    Wakuu, Kwani hii nayo inahitaji D mbili? Kwa sasa huyu ndo anatetemesha nchi. Chawa wakisikia jina lake wanakimbilia uvunguni.
  7. Hivi kuna ulazima wa kutambulisha mchezaji mmoja mmoja au ni ulimbukeni tu.

    Unakuta mchezaji anatambuliwa kwa mbwembwe alafu uwanjani hamna kitu au analewa sifa mwisho anajiona bora kuliko wenzake mwisho wa siku kipaji kwishnei. Timu kubwa nyingi huwa hawana mbwembwe nyingi kama za bongo; wanasema tumesajili wachezaji watano wapya majina ni haya na haya ( wanataja list...
  8. I

    Ni wazi Kassim Majaliwa hatakuwa Waziri Mkuu ajaye, je Waziri Mkuu ajaye atahudumu muhula mmoja?

    Rais Samia anagombea muhula wa pili wa Urais wake na ndiyo muhula wa mwisho kwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Kwa kuwa Majaliwa hagombei tena ubunge na kwa mujibu wa Katiba iliyopo Waziri Mkuu lazima awe ametokana na Wabunge wa kuchaguliwa, Rais Samia atalazimika kuchagua Waziri Mkuu mwingine...
  9. Wanaharakati wa Kenya na Uganda walioteswa wakiwa Tanzania wanadai fidia ya US$1 million kila mmoja wao

    Wanaharakati Hawa walifika Tanzania ili kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiwa inatajwa au kusomwa mahakamani. Hawakufanikiwa kufika mahakamani ila walikamatwa na watu wenye kusadikika ni Marisa wa vyombo vya usalama. Waliteswa sana na mwisho walitupwa kwenye mipaka ya nchi zao...
  10. Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  11. GE2025 Polepole: Lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, nilishindwa hata kuwapongeza, Unapongeza vipi kisicho halali?

    "Na hii lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, sio kipindi hiki, hata kipindi cha Magufuli kuna baadhi ya viongozi walikuwa wanasema mgombea ni mmoja, siyo kweli na kwenye kauli rasmi ambayo mimi kwa wakati ule niliitoa kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM, tulisema tunafungua kwa watu wote...
  12. J

    DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni

    DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii kwa hesabu za leo inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni Ifikapo mwaka 20250, Tanzania inatarajiwa kuwa ni nchi yenye pato la taifa la $1Trilioni kufikia mwaka 2050 sawa na...
  13. Aliyenyimwa Fomu sio super black tu hata yule katibu mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja tu na yeye alinyimwa

    Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba. Yote haya mtayapata kesho
  14. P

    Natamani mtu mmoja ajiuzulu

    Kusema tu ukweli nahisi mtu mmoja ajiuzulu tupone. Weka jina la unayetamani ajiuzulu hata leo.
  15. S

    GE2025 Kilwa Kaskazini; Mbunge anayemaliza muda wake avunjika mguu akisubiri usaili wa ubunge. Mtia nia mwingine afariki kwa ajali akienda kuchukua fomu

    Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
  16. Makabila gani, Kuna uwezekano wa Kuoa/kuishi na wake zaidi ya mmoja bila ya watu kukutolea Macho?

    Ni Mikoa gani/makabila gani, Kuna uwezekano wa Kuoa/kuishi na wake zaidi ya mmoja bila ya watu kukutolea Macho? Mpango no huu, 1. Kununua Ardhi ya kutosha Kujenga Nyumba na kufanya ufugaji/kilimo 2. Kutafuta wake wawili wembamba na wazuri wenye umri kati ya miaka 21-25 . Wadau nipeni Mikoa au...
  17. Mnataka tuamini kuwa mahubiri yamekosa ushawishi kwa jamii na hivyo kila mmoja awe mwanasiasa kuivuta jamii?

    Hilo ni swali linaloenda kwa wanazuoni wa dini yaani maaskofu ,mashekhe,wachungaji na wote tuliotarajia watufundishe aya na maandiko ya dini. Leo hii kinachopostiwa mitandaoni kutoka mimbari za dini sio rejea za maandiko ya Vitabu vitakatifu bali mawazo ya kibinadamu kutoka wavaa kanzu . Hii...
  18. Imam wa Ujerumani: Ukimalizana na bikira mmoja, anayefuata atakuwa tayari kwa ajili yako. Mabikira hao hawataoneana wivu

    Imamu Muislamu nchini Ujerumani amesema:
  19. waandishi wa habari ni wanasiasa Wana vyama vyao ndio maana wanaandika habari za upande mmoja nchi yetu Haina Tena hazina ya waandishi tuna machawa !

    Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
  20. B

    Una computer /PC huitumii? Naomba niazime kwa mwezi mmoja tu

    God
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…