mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947 Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s Salender Bridge 1960s Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!! Seaview-Mawingu House 1960 Arusha-Clock Tower 1966 Dodoma City Center 1974 Bukoba City...
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miradi ya Ukanda Mmoja na Njia Moja yabadilisha taswira ya Kenya

    Na Kelly Ogome Kwa kipindi cha miaka minne iliyopita, mataifa ya Afrika Mashariki yameshuhudia mabadiliko makubwa katika uchumi na miundombinu. Haya ni kulingana na ripoti ya tathmini ya miradi ya Ukanda Mmoja,Njia Moja(BRI) iliyotolewa na Taasisi ya Sera ya Africa API. Kenya ni miongoni mwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ipi ni 'Logical' kuwaita kwa pamoja Mawaziri Wakuu Wastaafu uwasikilize au uwatembelee tu Mmoja Mmoja 'Makwao' kwa Kuwashtukiza?

    Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu? Endeleeni na Unafiki wenu yaani Wazee wenye Hekima na wanaijua vyema nchi hii tokea Uhuru na msiowapenda mnawatembelea...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tazama vile viumbe tunavyotumia mbao kwa wingi! Lakini kuna mtu humu hajawahi hata kufikilia kupanda mti hata mmoja

    Binadam tunalalia vitanda asilimia kubwa ni mbao! Ebu waza idadi ya kaya mtaani kwako halafu uzidishe kwa taifa zima utagundua ni miti mingi imepotea kutengenezea hivyo vitanda! Waza idadi ya majumba, kila nyumba ina milango ya mbao, kenchi za mbao, madilisha ya mbao na makabati ya mbao hakika...
  5. JamiiForums Tanzania Tunaposhangilia sheria ya kumrejesha binti aliyezaa shuleni, tusisahau kuuliza haki ya yule mtoto mchanga aliyezaliwa anayebaki nyumbani

    Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea? Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Wanangu watatu (3) wanatoka na mwanamke mmoja hawajuani na mimi tu ndio najua kila kitu

    Habarini. Naomba Niende Direct kwenye Mada husika. Ni kama Story hivi. Mimi Hapa Nina Washikaji 3 Let us tuwa name A, B, C by then tupo zetu chuo 4 year now, sa inshu ipo hivi Mshikaji wangu A anademu wake na hapa ndio ipo story sasa, Demu huyohuyo anatoka na Mwanangu B halaf tena Demu...
  7. JamiiForums Tanzania UN: Kila baada ya sekunde 24 mtu mmoja hufariki kwa ajali za barabarani

    Kila sekunde 24 mtu mmoja anakufa kwenye ajali ya barabarani! Ndivyo ulivyoanza ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika maadhimisho ya leo ya siku ya kukumbuka waliopoteza maisha au kujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani. Katibu Mkuu anasema katika kuadhimisha...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja amechukua uamuzi wa kukata uume wake baada ya kukosa urijali

    Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguke kiuno na kusababisha asiwe rijali. Akizungumzia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania CCM tusiache kulindana, Tunaona wenzetu wanavutwa mmoja mmoja mahakamani

    Sioni shida kujitokeza na kusema ile ada yetu ya kulindana tusiiache, sasa kumekuwa na msukumo wa watu wasiojulikana kutaka au kuwafikisha mahakamani wenzetu ambao wakati ulee walikuwa ndio tegemezi na walisimamia na kukipa chama uthubutu. Hizi hila za wapinzani koko zinaonekana kuzaa matunda...
  10. JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Rais Dr. Hussein Mwinyi; Kinachoendelea Zanzibar Wananchi wanashangaa

    Kwenye hotel ya Golden Tulip mjini Zanzibar kuna hafla kubwa ya kusherekea mwaka mmoja wa nafasi ya urais wa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi. Hafla hii imejumuisha viongozi wakuu wa kitaifa, wastaafu na wengine wengi wakiwepo wananchi mbalimbali, baadhi na kwa uchache Rais mstaafu Jakaya...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kuna mrembo mmoja anautesa moyo wangu nimeamua kumwimbia huu wimbo na hii ndio picha yake yupo humuhumu

    Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi. Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha. Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda. Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kule Tanzania wafukua Kaburi la Albino na Kutokomea na Mguu Mmoja wa Kulia

    Majirani mtaacha lini haya mambo, halafu dunia yote yapo kwenu tu, nyie pekee yenu ndio wenye sifa hizi za kusaka viungo vya albino. ========= Jeshi la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa madai ya kufukua mwili wa kijana mwenye ualibino, Heri Kijangwa (45)...
  13. JamiiForums Tanzania Tunahitaji mmoja kati ya hawa wanne kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 kwenye draw ya CAF CL

    Baada TP Mazembe kutoka, tunahitaji timu moja nyingine kati ya zifuatazo kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 na kupata draw nzuri Esperance Widad Mamelody Horoya Ikiwa hizo timu zote zikashinda tutaishia pot 3 na pengine kupata draw ngumu sana Pot 1 Ahly, Esperance, Wydad, Raja Pot 2...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza milioni 3 ndani ya mwezi mmoja

    Wakuu naamini umu kuna manguli wa utafutaji. Nina shida na million 3 baada ya mwezi mmoja ili nifanyie uwekezaji fulani. Kwa sasa nna laki tano nataka izae million 3 ndani ya mwezi mmoja kwa kuwa sikopesheki inabidi nipambane mwenyewe. Nisaidieni uzoefu mbinu gani naweza tumia ya halali ili...
  15. JamiiForums Tanzania Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
  16. C

    JamiiForums Tanzania Series ya Squid Game imefanikiwa kuingiza Dola za Kimarekani 900M ikiwa ni zaidi ya Tshs Trilioni 2, mwezi mmoja tu tangu itoke

    Series Ya Squid Game Imefanikiwa Kuingiza Takriban Dola Za Kimarekani Milioni 900 Ikiwa Ni Zaidi Ya Trilioni 2 Tshs Ikiwa Na Mwezi Mmoja Tu Tangu Itoke Rasmi. - - Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Bloomberg Series Hiyo Imetazamwa Na Watu Milioni 132 Kwenye Siku 23 Za Mwanzo Ilipoachiwa Na Hii Kuvunja...
  17. JamiiForums Tanzania Simiyu: Ofisi ya mtendaji wa kijiji yachomwa moto, mtu mmoja akamatwa kwa upelelezi

    Ofisi ya mtendaji wa kijiji cha Mwabagalu kata ya Nyabubinza wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu imechomwa moto alfajiri ya leo Oktoba 17, 2021 na watu wasiojulikana. Ofisi hiyo ambayo ilikuwa ikitumiwa na mtendaji wa kijiji na sehemu nyingine ikitumika kama darasa la wanafunzi wa awali imeteketea...
  18. JamiiForums Tanzania Connor McGregor afanya vituko hadharani Rome kwa kuzunguka na walinzi wenye miili mikubwa mmoja akimbebea wine kwenye glass

    Ni yule bondia mixed martial arts.
  19. JamiiForums Tanzania Hivi, Nawe ni Mmoja Kati ya Waliokuwa Hawavui Nguo za Shule Wakifika Home...?

    Uzi tayari...! 👊🏾
  20. JamiiForums Tanzania Naona kampeni zimeanza,lakini zimeruhusiwa kwa upande mmoja

    "Mh. Rais Samia kama ambavyo nawasikia Viongozi wa CCM kwamba toka umeingia madarakani wana kauli yao wanasema umeupiga mwingi, kazi nzuri unayofanya Watanzania wanaiona tuna matumaini makubwa na tutaendelea kuhakikisha kwamba malengo yako yanafika hadi vijijini" "Umeanza vizuri unaendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…