mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lowassa angeshinda uchaguzi 2015 sera yake ya ELIMU, ELIMU, ELIMU ingeimarisha vipi uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja?

    Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya urais walikuwa ni JP. Magufuli na E.Lowassa, Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake kuu ilikuwa ni kutoa elimu bure kwa wote mpaka chuo kikuu (ELIMU, ELIMU, ELIMU), kwa elimu yetu hii...
  2. Sera za Marekani na China: Changu changu chako changu, ukanda mmoja njia moja (protectionism policy)

    SERA ZA MAREKANI NA CHINA: CHANGU CHANGU CHAKO CHANGU,UKANDA MMOJA NJIA MOJA (PROTECTIONISM POLICY) Leo12:25hrs 26/09/2021 Kila mtu analinda cha kwake sisi tu huku Tanzania tuna dharau vya kwetu hata panadol tunataka za kenya tukienda dukani,Watanzania tunadharau lugha yetu ya Kiswahili lakini...
  3. K

    Kiongozi mmoja aliyepigania watoto wasirudi shule ampeleka mwanaye nje kuendelea na masomo miezi 6 baada yakujifungua.

    Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali. Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa...
  4. M

    Mwanangu anasumbuliwa na mafua yasiyotoka njia za puani (ana mwezi mmoja tu)

    Habari ndugu wapendwa katika imani! natumai mmeamka salama na mpo kwenye majukumu ya kila siku. naomba nielekee kwanye hoja au maombi ya kimawazo, ushauri au tiba kwa aliyekutwa na hili tatizo na kufanikiwa kulimaliza kwa namna yoyote. Mtoto wangu tatizo la kufura kwa mafua yasiyoka puani...
  5. Kamanda mwenzetu Joyce Mukya yuko wapi? Ni mmoja wa makada waliolamba viti maalum kiaina. Anatakiwa atoe neno kipindi hiki kigumu

    Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni. Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma. Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
  6. Kwa uchapakazi huu wa Rais Samia, CHADEMA tujipange sana 2025, tunaweza kukosa hata Mbunge mmoja

    Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato utakavyokuwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika kwa awamu ya kwanza inayohusisha barabara za kuruka na kutua ndege pamoja na jengo la abiria. Mkataba kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja hicho unagharimu takriban shilingi bilioni 165 za...
  7. Mtanzania mmoja akamatwa kwa kusafirisha wahamiaji 16 wa Ethiopia

    Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Matei amesema kuwa...
  8. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lasaidia Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo

    Huu ni mwaka wa nane tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Katika kipindi hicho, ujenzi wa miradi ya ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kutokana na pendekezo hilo umepamba moto, na kusaidia nchi za Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo ya uchumi. Hali...
  9. Z

    Natamani kufungua kesi dhidi ya WHO. Kwanini ugonjwa mmoja una chanjo zaidi ya 24?

    Tunaposema tuwe makini siyo kwamba ni ujinga. WHO imeruhusu chanjo zaidi ya 24 kwa ugonjwa mmoja tu.Hii maana yake chanjo bado ziko kwenye utafiti na zimetolewa kwa hati ya dharula (soma masharti). Na kama zimeshakuwa fully approved maana yake ni kuwa zinazidiana ubora au uwezo ni sawa na dawa...
  10. Taarifa zinarindima za gaidi mmoja anavyotikisa Dar, poleni watani

    Jamaa kama hawa ndio huwa wanatuibukia hapa Kenya wakiwa kundi, wana ujasiri sana wa kujitoa mhanga, naona taarifa huyu mmoja amewanyima amani sana huko Dar, bora kaliwa shaba kabla hajafanya maafa zaidi, jamaa alikua amejianika barabarani. Huku kwetu wakija huingia kwenye shopping mall na...
  11. Uzi Maalum wa Kubadilishana Materials ya Ujenzi, Kila mmoja ajenge

    Habari wakuu. Kwanza tutoe pongezi kwa uongozi wa Jamii Forum kutuwekea jukwaa maalum la ujenzi, jukwaa tulolisubiri kwa kitambo. Tunalo tiper la mchanga, hivyo tuna ukaribu wa mchanga. Pia tunajua humu JF kuna watu wana cement ,wengine mabati n.k . Kwenye huu uzi utaeleza unahitaji...
  12. Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

    Leo kama kawa nitakuwa nawaletea updates za pambano hili ambalo kimsingi mmoja ataondoka na gari. Aidha kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi. === TWAHA KIDUKU AMTWANGA DULLAH MBABE, AJINYAKULIA GARI Bondia Twaha Lubaha maarufu Twaha Kiduku amejinyakulia gari baada ya kumtwanga Abdallah...
  13. B

    IGP Sirro anasema hawezi kumkamata Askofu Gwajima mpaka apate barua. Je, hivi ndivyo anafanya kwa makundi yote?

    Hayupo ambaye hajavishuhudia vimbwanga vya askofu Gwajima kuhusiana na Corona na Chanjo zake. Hadharani tuhuma za Gwajima kumhusu mheshimiwa Rais na wasaidizi wake zimesikika. Haya yakiendelea ni kweli kuna Watanzania wasio na hatia wanaendelea kuwekwa hatarini kuhusiana na ugonjwa huu...
  14. Hali tete thamani ya Shilingi ya Tanzania ukilinganisha na Dola ya Marekani kwa kipindi linganifu cha mwaka mmoja uliopita (2020)

    Wanajamvi, salaam Naenda moja kwa moja kwenye point Hali halisi ya thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kwa kasi sanaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliopita, ukichukua takwimu za Benki kuu (BOT) kwa haraka tu utaona na kudhibitisha hayo, ukiangalia kwa mwezi July mpaka August 2020 utagundua...
  15. B

    Mwaka mmoja baada ya uchaguzi wa 2020, CCM Bado inakwamishwa au imekwama?

    CCM walituambia upinzani wa kupinga kila kitu umekwamisha maendeleo Kati ya 2015 Hadi 2020. Wakaamua kusiwe na uchaguzi kuwe na uchafuzi. Leo hii tunaelekea mwaka mmoja toka wakae wenyewe kwenye kila secta naikiwemo Bungeni. Kwa maoni yako ni kweli wapinzani walikuwa wanawakwamisha au...
  16. Vyama viwe na msemaji mmoja tu kwa ajili ya kukanya ama kutangaza adhabu

    Hivi karibuni kumezuka mjadala mzito vyamani pale anapokosea mheshimiwa yoyote Tumeona timu ya G19 ilioyoshambuliwa na kila kiongozi wa chady kwa kuingia mjengoni.. Sasa imekuwa taharuki akisimama mbunge kusema kitu. Unasikia, amemwonya, Ghafla Ameonya Unawaza ni vyama vuwili tofauti ama Lah...
  17. Sports Extra ya Clouds Fm: Golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja

    Mambo ni mengi muda hautoshi, golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja, hayo sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa wachambuzi wa kipindi cha Sports Extra ya Clouds Fm. Ni nani anawatumia Clouds kutuhujumu sisi Yanga? 😂😂😂
  18. Mshahara mmoja tu wa Luis Jose miqusison unalipa wachezaji wote wa Yanga

    By Mwandishi Wetu More by this Author MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri. Habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo...
  19. V

    SoC01 Uwekezaji wa Vijiji vya kisasa katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja

    Utangulizi Tanzania kiuhalisia bado ni nchi ambayo inategemea uchumi wake kukua kupitia vijiji vyake ambavyo shughuli za watu wake wengi hutegemea kilimo. Mbali na kutegemea kilimo zaidi na shughuli zingine, lakini bado vijiji vingine viko nyuma zaidi katika nyanja za kijamii, kiuchumi na...
  20. Je, Sabaya kuwa mmoja wa mashahidi kwenye kesi ya Mbowe?

    Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe inavyoenda, kuna uwezekano wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kuwa ni mmoja wa mashahidi kwa upande wa serikali. Inavyodaiwa kwenye hati ya mashitaka ya Mbowe, wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…