mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lindi: Mama amnywesha mwanaye wa mwaka mmoja sumu kwa kushindwa kukaa naye

    WATOTO wawili mkoani Lindi wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwamo la mama mzazi kudaiwa kumnywesha sumu ya kuua magugu kutokana na kinachodaiwa kuchukizwa na kitendo cha mkwe wake kukataa kumchukua mjukuu wake huyo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka wilayani Nachingwe na Ruangwa...
  2. Wanawake katika mikutano ya mwanzo ya TANU Mnazi Mmoja

    WANAWAKE KATIKA MIKUTANO YA MWANZO YA TANU MNAZI MMOJA Peleka jicho lako upande wa kushoto utaona wanawake wamevaa mabaibui meusi. Hawa ndiyo wanawake ambao Daisy anawahadithia katika kumbukumbu ya marehemu baba yake: ''Kitu cha kufurahisha ni kuwa hawa akina mama wa Kiislam wote walivutwa...
  3. Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja

    Wakuu, huyu mtu kama niwewe ungemshauri afanyeje. Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja.
  4. Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

    Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli. Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali...
  5. Mwanamke mmoja aligundua mama yake mzazi anatoka kimapenzi na aliyekuwa mme wake

    Mwanamke mmoja nchini Kenya aitwaye Martha Wanjiku, ameeleza kisa chake, baada ya kubaini mama yake mzazi amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mume wake kwa zaidi ya miaka 25. Martha ameeleza kwamba aliolewa na mwanaume huyo na ndoa yao ilidumu kwa miaka miwili pekee na ilipofika...
  6. Kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Hayati JP Magufuli

    Wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha JP Magufuli yakikaribia, ni vyema tukaangazia miradi yake aliyotekeleza na inayoendelea kutekelezwa / kukwamishwa kwa sasa.
  7. 5

    Biden aweka record ya ajira 6.6 milioni ndani ya mwaka 1

    Ndivyo nilivyosoma kupitia ukurasa wa CNN asubuhi hii, Biden amevunja record ya ajira kwa 6.6 million added kuliko marais wote waliowahi kushika madaraka marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja toka aingie madarakani. Kuna watu humu walijaribu kutaka kulinganisha utawala wake na aliyepita Bw Trump...
  8. M

    Madaraka ni DHAMANA. Wanaomuonea Mbowe watapukutika mmoja baada ya Mwingine

    Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma. WAALIFU Kama Urio, na...
  9. Tathmini: Uongozi wa Rais Samia Suluhu ndani ya mwaka mmoja

    Anaandika, Robert Heriel Taikon wa Fasihi. Hii ni tathmini ya uongozi wa Mama Samia Suluhu tangu alipoingia madarakani mwaka Jana 2021 mwezi machi, zikiwa zimebaki siku chache kukamilika mwaka mmoja. Tathmini hii ni kulingana na mtazamo wangu, Uelewa wangu, na vile mambo niyaonavyo. Dondoo...
  10. B

    Unajisikiaje kuona ndugu yako wa damu anayehudumia familia yenu ni mmoja wa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya akina Mbowe?

    Baba Yako au ndugu Yako unapomuona akiwa upande wa mashihidi kesi ya akina Mbowe unajisikiaje? Unajisikia furaha kwamba ukoo wenu umezaa shujaa ukamsomesha na kumwombea Kwa Mungu apate na Sasa anafanya kazi mliyotamani awe anaifanya? Unaposikia ndugu Yako akitajwa KWENYE jopo la mawakili wa...
  11. I

    Ladha ya tendo inapungua ukiwa na mpenzi mmoja tu mda mrefu?

    Habarini wakuu, Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki. Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha ya tendo inapungua yaan utamu wa siku za nyuma haupo tena sikuhzi. Hivi hii ishawahi kuwakuta...
  12. Kuoa wake wawili mpaka wanne kuna mantiki zaidi kuliko kuoa mke mmoja

    Hii ni kwa mujibu ya uoni wangu hafifu,kuoa Mke mmoja ilikuwa ni aina Fulani ya "uzazi wa mpango duniani"
  13. Dkt. Tulia Ackson alilenga nini kupotosha kuwa mhimili mmoja ni mkubwa kuliko miingine? Alijikosha, alijipendekeza?

    Kila nikijaribu kukumbuka na kutafakari zaidi kuhusu kauli za huyu Mama alizozitoa mbele ya Rais wa JMT kuwa mihimili yote haiko sawa, kwamba mhimili wa dola ni mkubwa zaidi kuliko miingine. Hii kauli binafsi naichukulia kua ni ya kujikosha na kujipendekeza, si kauli ya kutamka kwenye media...
  14. Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  15. Hivi soka inayochezwa Ulaya na hii ya kwetu ni mchezo mmoja au inafanana tu?

    Nitakataa mpaka kesho ukiniambia mechi za ligi yetu ya mpira wa miguu ni mchezo sawa na mpira wa miguu wa wenzetu tunaowaona kwenye Tv zile game za akina Mbappe, Messi na Ronaldo, adhani ni michezo miwili inayofanana tu, kama ilivyo soccer ya ufukweni nk. Mbona hawa wa kwetu wote wanakimbilia...
  16. Kuna 'Kiongozi' Mmoja 'anahangaika' sana 'Kujiokoa' na hana 'Amani' hivyo nampa tu huu 'Ushauri' na akitaka asalimike kwa 'Maovu' yake atii niyasemayo

    1. Akiri mbele ya Watanzania kuwa Yeye ni Mpumbavu ( Popoma ) na hana Mpinzani Tanzania, Afrika na Duniani. 2. Akiri kuwa kwa muda wake mfupi tu Madarakani ameua Watu wasio na Hatia kama alivyowahi Kuua aliyekuwa Rais wa Liberia Charles Taylor. 3. Akiri kuwa Yeye ni Mnafiki na siyo Mcha Mungu...
  17. Mmoja wa Viongozi wa Coastal Union FC: Tayari 'tumeshaiuza' Mechi kwa Yanga SC na hii 'Mikwara' tunayowapiga 'tunazuga' tu

    "GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili...
  18. Kuna 'Foreigner' Mmoja kaniuliza hili Swali, ila nimeshindwa Kumjibu lakini najua nyie 'Great Thinkers' mtamjibu vyema ili 'nimtafsirie' hapa tulipo

    GENTAMYCINE hivi ni kwanini Siku hizi hapa Kwenu nchini Tanzania kila kukiwa tu na Shughuli ya Kitaifa Uhuru au Muungano au Mapinduzi mnapenda mno Kuwaonyesha Makomandoo wenu wakifanya Mambo ya Kimedani? Hii ina faida gani hasa kwa Watanzania wengi wasio na uhakika wa hata Maisha yao na...
  19. B

    Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
  20. Afrika ilipata bahati ya kuzawadiwa Askofu mmoja -- Desmond Tutu

    Juni 11, 2010, katika Uwanja wa FNB maarufu “Soccer City", kulikuwa na ufunguzi wa Kombe la Dunia. Siku hiyo, Desmond Mpilo Tutu, alikuwa kwenye kiwango bora cha furaha. Kwa Kiingereza unaweza kusema “he was in a very good mood”. Tutu alikuwa amebakiza pungufu ya miezi minne atimize umri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…