mmasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Disco lililoingia Mmasai.

    Katika hali ya kushangaza siku ya Jumamosi, sherehe ya harusi iliyotangazwa sana mpaka mitandaoni ilizua tafrani kubwa patashika nguo kuchanika.. huku bibi na bwana wakirushiana makonde ngumi na mateke ya kichina china tai chi na kung fu baada ya bwana harusi kugundua kuwa bibi harusi alikuwa...
  2. Setfree

    Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

    Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa: French, German, Arabic, Chinese, Hindi, Swedish and English. Clip haizidi MB 3
  3. M

    Leo nimeweza kumwona mmasai mfupi

    Aisee katika pita pita zangu Leo nimemwona mmasai mbili kimo,nahisi hata wale wenye ulamavu wa ngozi wapo pia
  4. M

    Sijawahi kuona Mmasai wala Mjaluo Muislamu na Sijawahi kuona Mpemba wala Mzaramo Mkristo, huyu Mungu na Allah mbona anabagua Makabila na jamii?

    Habari wadau. ni mimi peke.yangu ama na wengine. Sijawai kuona maishani Shehe Chacha ama Ukhty Boke , je wewe umewai muona muislam Mkurya ? Binafsi najiuliza kwa nini Mungu anaezimiliki hizi dini mbona anabagua waumini wake.. Wengine hawaielewi dini yake, je wataenda motoni?
  5. KING MIDAS

    Kwa wakazi wa Dar tu:- Je umeshawahi kusikia au kuhudhuria msiba wa Mmasai hapo mtaani kwenu?

    Hawa jamaa ni kama hawafi hadi wafikie kuitwa Waziri Mkuu. Huku mtaani kuna Wamasai wengi tu wanafanya shughuli mbalimbali, wengine wanalinda majengo yetu, wengine wanaouza dawa NK lakini sijawahi kusikia kuwa kuna Mmasai kafa, wala msiba wa Maasai anasafirishwa wala anazikwa hapa mjini. Hakika...
  6. Mr. Marangu

    Mmasai na Laizer wa Kili Fm acheni ushamba

    Hawa watangaaji (Laizer na Mmasai) ni washamba sana, wanapiga makelele yaani wanaboa wanaumiza masikio kama wanalipwa mshahara sijui nadhani wanatangaza bure, Kwenye show yao ya Kili Breakfast Waridianaongea kwa sauti ya staha na inayovutia, Joshua nae yuko poa ila hao watangazaji wawili...
  7. Heparin

    Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

    AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024 1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri...
  8. R

    Lowassa alichanganya damu ya Mmeru na Mmasai, alivaa nafsi ya uongozi kama Japhet Kirilo, Sokoine na Jenerali Sarakikya

    Tukiwa Monduli hapa majira ya usiku tunakula nyama kama ishara yakumuenzi ndugu yetu na kaka yetu Lowasa. Wazee wa kimila kutoka ukanda huu wa kaskazini wanapiga soga na kubadilishana mawazo huku wakifukua historia ya viongozi mbalimbali waliofaha kuwa viongozi wakubwa ila wakatengwa na...
  9. Melki Wamatukio

    Kuna Mmasai aliniingiza mjini asubuhi ya jana kwenye mvua

    We Mmasai uliyeniadaa na madawa yako ya mitishamba siku ya jana kwenye mvua, nasemaje, sisi ni Pipo, one day tutameet Alianza kwa kunitandika dawa ya mvuto wa biashara, akafuatia dawa ya mvuto wa wanawake, akamalizia dawa ya kulifanya pembe la ndovu liwe na hasira kali kwa muda mrefu. "Rafiki...
  10. sky soldier

    Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi? ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka...
  11. Dong Jin

    Nyota ya mmasai Kili Paul inavyozidi kung'aa huko India

  12. barafuyamoto

    Huyu mmasai wa TikTok kutoka Tanzania anaipaisha sana Tanzania huko india, atambulike angalau..

    Habari zenu... Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema... Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii haswa tiktok, indtagram na youtube... wanafanya interview na media za india online. Na kila muhindi...
  13. Ramon Abbas

    Ukiingia kwenye Mahusiano na Mmasai, Sahau Kuachika/Kumuacha

    Wamasai, hii ndio jamii pekee ambayo ukiingia nayo kwenye mahusiano ya kimapenzi, haina historia ya kuvunja mahusiano Kwa mmasai ni kufa na kuzikana
  14. Hivi punde

    Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

    Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk? Karibuni wakuu
Back
Top Bottom