mlevi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr George Francis

    Mwanamke kuwa mlevi hata Haipendezi…

    𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗠𝗟𝗘𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗣𝗘𝗡𝗗𝗘𝗭𝗜 Hata kwa mtazamo wa kawaida ni kweli kuwa haifai wala haivutii na haistahili kabisa mwanamke kuwa chapombe. Yaani mwanamke kunywa mipombe kupita kiasi kwa namna fulani inakuvunjia heshima, inaongeza dharau hata thamani yako inashuka sana. Mwanamke ni...
  2. Bawabu wa pili

    Safari ya Moteswa: Kutoka Kwenye Ndoa Hadi Kuwa Madada poa

    Disemba moja baada ya kuchapika sana hapa mjini nilienda kijijini kwetu Songea. Nikiwa huku nikakutana na pisi moja inaitwa MOTESWA. Nilidata sana basi nikaanza kumfukuzia mchumba na hatimaye akaja kwenye mfumo. Basi nikaona sio mbaya kumuoa, iliwekwa mikakati ya ndoa hatimaye nikamuoa kipenzi...
  3. fimboyaukwaju

    Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Wadau hivi hili pambano la mwakinyo ni kweli au kiini macho?
  4. Troll JF

    PostGE2025 Hivi zile Saa 24 alizotoa Augustin Polepole hazijaisha bado?

    Makamanda Shalom! Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye...
  5. M

    Huwaga kuna yule mjomba ni mlevi tangu umezaliwa

    - Mara nyingi historia yake huwa na mafanikio kabla hajaanza ulevi, mfano utaambiwa alikuwa ana akili sana darasani, alikuwa hakosi kanisani, alikuwa mfano kwa vijana wengine, n.k. - wanazijua siri nyingi sana kuhusu familia, anayajua mengi kumhusu dada yake (mama yako) - Kila mwaka utasikia...
  6. Mtu Asiyejulikana

    Rais ambaye atatatokea chama chochote lakini ana sifa hizi, tusimchague

    Rais akiwa na sifa hizi Mwoga, Muuaji, Malaya, Hajielewi, Mshirikina, Mlevi, Mhuni, Fisadi, Asiye na Uelewa/Elimu tusimchague Watanzania tugome kumchagua. Ni kwamba hafai hata kidogo. Pima mtu ambaye anagombea Urais. Ukimwona ana sifa hizo huyo ni Shetani. Haijalishi ana jinsia gani, elimu...
  7. Pascal Mayalla

    Kwa kukamilisha yale ya mtangulizi wake, kisha kujumlisha na ya kwake anayotenda, kutomshukuru ni kujichumia tu dhambi za bure!

    Wanabodi Naomba kuanza na Angalizo: Mada kama hizi ni mada za kiutu uzima, hakuna kutaja taja majina ya watu wowote humu!, na ukijiona una washwa washwa kutaka kutaja majina hapa, au kuuliza ni nani, ujijue huu uzi sii saizi yako!, nakuomba jipitie tuu kwenda kwenye nyuzi za kimo chako!, sio...
  8. third eye chakra

    Mponye nduguyo, mzazi, mke, mume mlevi kupindukia

    Kama ndugu yako ni mlevi na umetumia kila tiba na hajaacha kupona basi chukua kambare hakiwa hai kisha toa damu yake na weka kwenye kinywaji cha pombe 😸😸😸 Kisha subiria ubaya ubwela.
  9. Damaso

    Hesabu za Mlevi

    Mhindi mmoja unauzwa sokoni shilingi mia mbili kwa bei ya jumla. Mhindi huo ukiuchoma, unatoa vipande vitano vya mia mbilimbili. Hapo faida ni mia nane (800) Tuseme gharama za uzalishaji ni 300, hivyo 500 ni faida. Kwa siku makadirio ya chini ni kuuza mahindi 100, hivyo unapata faida ya 500...
  10. Yoda

    Waziri mlevi wa ulinzi wa Marekani ajisahau na kuvujisha kwa mwandishi habari mipango ya kivita kwa Yemen kupitia WhatsApp!

    Raia wa Marekani wamepigwa na butwaa baada ya mwandishi wa gazeti la Atlantic ambaye ni mhariri kudai aliungwa kimakosa na waziri wa Ulinzi wa US katika group la WhatsApp lilikouwa likijadili mipango ya mashambulizi kwa Houthi huko Yemen. Group hilo la WhatsApp lilijumuisha viongozi wakubwa wa...
  11. PSL god

    Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

    Habarini za weeknd wana JF Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ? Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
  12. G

    Mwanamke mlevi anahitajika

    Wasalaam. Kuna ndugu yangu ambaye yeye ni mzee wa pombe! Kila ijumaa jioni na jmosi siku ambazo haendi kazini ni mzee wa kulala bar. Kwa ulevi wake huu anahitaji mwanamke anayependa urabu Ili kila ijumaa na jmosi wawe wanakokotana huko bar. Mahari alipo ni Kakola Shinyanya. Karibuni walevi...
  13. Yoda

    Marekani yapata waziri wa ulinzi mlevi wa kupindukia.

    Waziri wa Ulinzi mpya wa Marekani, Pete Hegseth aliyeteuliwa na Trump na kupitishwa na maseneta walio wengi wa upande mmoja tu wa Republicans ni mlevi wa kutupwa wa pombe. Huyu bwana aliyekuwa mtangazaji wa Fox News inasemwa huwa anaweza kupiga tungi kuanzia asubuhi hata anapokuwa kazini. Watu...
  14. M

    Nilishindwa kumsaidia mlevi nikidhani ni jambazi

    Nilikuwa bado mgeni Wiliya flani mwaka 2022 mkoa x huko kaskazini. Nilipanga mitaa flani pembeni mwa mji, kumetulia karibu na kijito flani cha mchongo kilikuwa kinatiririsha maji na pembeni wagagaa na upwa walikuwa wanatafuta wali nyama kwa kujishughuliaha na kilimo cha mbogamboga. Baada ya...
  15. Maramla

    Kifo cha Mlevi wa Misenyi na Aibu Kwa “Mashine ya Propaganda” ya Chadema

    Kifo cha Mlevi wa Misenyi na Aibu Kwa “Mashine ya Propaganda” ya Chadema Wachambuzi wengi wa mambo wameonya mara kadhaa kuwa masuala mengi hapa nchini yanayodaiwa kuwa na changamoto ama yanakuzwa au ni sehemu ya uzushi wa “mashine ya propaganda” ya vyama vya upinzani hasa Chadema. Leo utata...
  16. ndege JOHN

    Ewe mlevi mwenzangu je ukilewa mbele ya mkeo pia huwa anakukataza?

    Nataka nijue tu kuna sometimes unaamua kupunguza kulewa kwenye ma bar na wanawake unaamua sasa kuwa unakunywa 2,3,4 mazingira ya karibu na nyumbani. Ila mke anaanza kuleta tofauti anadai usinywe au mambo mengi, pombe zinaachwa kwa step ila pia ni wake wengi mbona wanapenda waume zao wanywe nao...
  17. Mparee2

    Hakuna mwanamme anawazia kuoa mwanamke mlevi!

    Kama hujaolewa na unataka kuolewa na mume na sio mtu aliyejikatia tamaa, jua hii inakuhusu... Wewe tolewa out badala ya kula msosi na kunywa juice/soda au basi ka glass kamoja kawine; unafakamia mapombe halafu utegemee kuolewa na mtu mtakayejenga maisha pamoja??? Mbaya zaidi ukute msichana hana...
  18. Heci

    Ukifikia kiwango hiki cha unywaji, utakuwa ni mlevi uliyekubuhu. Badilika 2024

    HUYU NDIE MLEVI!!!!!: 1,Akipata kazi ANALEWA 2,Akifukuzwa kazi ANALEWA 3,Akioa ANALEWA 4,Akiachika ANALEWA, 5,Akifurahi ANALEWA, 6,Akichukia ANALEWA 7,Akipandishwa cheo ANALEWA, 8,Akishushwa ANALEWA 9,Akijenga nyumba ANALEWA 10,Akinunua gar ANALEWA 11,Akipata ajali ANALEWA, 12,Akimpata mtoto...
  19. M

    Dr Slaa: RC Chalamila anaropoka hovyo kama na kujipendekeza kwa Rais Samia

  20. Mjomba Fujo

    Mzazi akikokotana na mwanafunzi mlevi alietoka kuhitimisha mitihani ya sekondari

    https://vimeo.com/896717216?share=copy Haya haya Mtoto kajipongeza baada ya kumaliza mitihani yake. Tukio hili limetokea huko kwa majirani 254. Mkanye mwanao.
Back
Top Bottom