mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wagner apongeza mapinduzi ya kijeshi Niger na aomba apewe fursa ya jeshi lake humo

    Hili lizee limemshinda Putin kule sasa limeelekeza nguvu Afrika, litatuharibia bara, wapiganaji wake wapo maeneo mengi Afrika hii.... Despite having led an armed mutiny in Russia last month, the mercenary boss has been seen at a summit in St Petersburg. Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wagner akutana na viongozi wa Afrika mbele ya Putin, jamaa ameshindikana

    Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

    Waziri mkuu wa Sweden ameshtushwa na idadi kubwa ya watu wanaoomba kila siku kibali cha kufanya maandamano na kuchoma Quran na kuidhalilisha. Waziri mkuu anasema idadi hiyo inaongezeka siku hadi siku na hivyo hajui nini kitatokea kama hii hali ikiendelea. Tukumbuke hivi karibuni kumekua na...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Kenya unaendeshwa kwa misingi ya Kikabila?

    Tangu kuanzishwa kwa siasa za vyama vingi Kenya, somo moja ambalo vyama vya siasa vimejifunza ni mpango wa kuungana ili kuweza kupata ushindi wakati wa uchaguzi mkuu. Uanzishaji wa miungano umekuwa msingi wa siasa za Kenya tangu uchaguzi wa 2002. Muungano wa kwanza ulikuwa wa National Rainbow...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Walemavu washikiniza Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu mkataba wa bandari

    Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine --- Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa serikali: Tungekuwa na wanasheria weledi habeas corpus ingetupeka mahakamani

    CHADEMA na wanaharakati wengine wamekuwa wanadai kupotea kwa watu kadhaa. Miongoni mwao wapo wanasheria akiwemo Lissu. Kinachoshangaza ni kuwa wakati sheria zetu zinaruhusu habeas corpus(KILATIN) kwa kiingereza “show me the body.”kuilazimisha serikali itoe maelezo kama upo ushahidi wa kuihusisha...
  7. JamiiForums Tanzania Arusha: Walimu wote wa Serikali watakiwa kujitokeza uwanjani kesho Sheikh Amri Abeid kumpokea na kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM

    Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo. NB: Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso na Mkurugenzi Mkuu DAWASCO tusaidieni wakazi wa Mbezi

    Waziri wa Maji pamoja na Mkurugenzi mkuu wa DAWASCO tunaomba mtukwamue sisi wakazi wa Mbezi hasa Mpiji, Msumi na Msakuzi ambao DAWASCO na wafanyabiashara wa magari ya maji wamekuwa wanatupa mateso sana. Ni dhahiri kutokana na watendaji wa DAWASCO na wafanyabiashara inaonekana hawataki kabisa...
  9. JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatumia vibaya Mamlaka yao

    Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024. Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam. Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
  10. JamiiForums Tanzania CCM walishindwaje kumtibia Jecha nje ya nchi licha ya kuwabeba kwenye Uchaguzi Mkuu 2015?

    Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani. Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanasheria Mkuu anasimama na wawekezaji mfano DP World; siku mwekezaji anapokiuka masharti ya mkataba Taifa linatetewa na nani?

    Tumeona tunavyoshindwa kesi; tumeona mashaka ya wananchi kwenye mkataba; tumeona hata mkataba wenyewe tu unaamini kwamba ipo siku utavunjika au kuleta utata na ndio maana umewekewa kifungu cha kutumika kwa mahakama za Afrika kisini na Sheria za Uingereza. Kama walioandaa akiwemo mwanasheria...
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam haya ndiyo yatakayokutia doa hapa Mbezi Luis Stend ya daladala

    Niende kwenye hoja Moja Kwa moja. Hii stend itakuja kusababisha mauaji na viongoz kuanza kujitetea kwa kuleta sababu na matetezi. Hizi ngaz kiunganishi cha vituo viwili vya daladala. Watakuja kufa watu. Mungu aepushie mbali. Mh charamila mkuu wetu wa DSM una viongozi wasiojali utu wa watu...
  13. JamiiForums Tanzania Simba wameweka rekodi ya kipekee kwenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu wala Msaidizi

    Unaenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu, Msaidizi, na bado unatumia jezi ya msimu uliopita, hii ni record Simba wameweka. Inshort wameenda Pre Season bila ya kuwa na bench la ufundi.
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mbeya, Homera usiingilie sana masuala ya Walimu na Wanafunzi utawatia ukaidi zaidi wanafunzi

    Mh. Homera RC Mbeya: usiingilie sana mambo walimu na wanafunzi kwamba umejivika kuwa mtetezi wao hata kwa mambo ya kipumbavu na usichukulie mambo ya walimu na wanafunzi too emotional hasa haya ya kinidhamu unakosea sana. Nadhani umeaona mlivyo dhalilika kwenye swala la yule binti wa Dandahili...
  15. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Rais ametoa UHURU wa KUJIELEZA lakini hajaruhusu watu walete mtafaruku na mgongano kwenye nchini

    Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya... Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi...
  16. JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri: Waziri Mkuu atapeliwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania na Meya wa Jiji la Dar es Salaam Omary Kumbilamoto wanatajwa wanatajwa kuwa miongoni mwa viongozi waliojikuta wakitapeliwa bila kufahamu; JAMHURI linarpoti. Utapeli huo ulifanyika wakati wa maandalizi ya Sikukuu ya Eid al-Adha inavosherehekewa na Waislamu kote duniani...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana waliopita JKT wanapaswa kubeba uzalendo wa Nchi moyoni na sio mdomoni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho va Miaka 60 ya JKT katika Uwanja wa Jamhuri - Dodoma leo terehe 10 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema vijana wanaopita JKT wanapaswa...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  19. JamiiForums Tanzania Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

    Nukuu: Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact. Mwambukusi.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hivi bado Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Rorya mkoani Mara yuko ofisini baada ya kuudharau Mwenge wa Uhuru?

    Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa ushirikiano wowote ikiwa ni pamoja na kukata kutoa documents kuhusu miradi mbalimbali iliyoko ktkt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…