mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Ujerumani awekwa chini ya uangalizi kwa kujihusisha na Siasa za mrengo wa kulia

    Shirika la ujasusi la Ujerumani limemweka bosi wake wa zamani Hans-Georg Masen, ambaye sasa ni mwanasiasa wa mrengo wa kulia, chini ya uangalizi kwa ajili ya maoni yenye itikadi kali. Masen leo ametoa barua kutoka kwa shirika la ujasusi la BfV kwa wakili wake baada ya vyombo vya habari vya...
  2. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya sheria: wakati Jaji Mkuu akijigamba mbele ya Rais Samia, Wakili Mpale Mpoki hajapata nakala ya hukumu miezi miwili sasa

    Wakili Mpale Mpoki alisimamishwa uwakili miezi miwili iliyopita na Jaji Ntemi Kilekamajenga. Mpale Mpoki akaomba nakala ya hukumu, Jaji hajaitoa nakala hiyo mpaka sasa miezi miwili imepita. Na anayefanyiwa hivi ni wakili mkubwa kabisa, vipi kuhusu wananchi wa kawaida? Jaji Kilekamajenga...
  3. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa TUICO afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Shauri la Uhujumu Uchumi namba 2015/2024- Jamhuri dhidi ya Bw. BONIFACE YOHANA NKAKATISI- Katibu Mkuu Taifa wa CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VIWANDA, BIASHARA-TAASISI ZA FEDHA, HUDUMA NA USHAURI (TUICO) imefunguliwa leo Januari 31, 2024 mbele ya Mh. Bittony Mwakisu (SRM) katika Mahakama ya wilaya...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

    Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
  5. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali apiga Marufuku Watoa Huduma za Afya kuongea na Simu Binafsi Kazini

    Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu, ametoa agizo la kupiga marufuku matumizi ya simu na mazungumzo ya kibinafsi kwa watumishi wa afya wakati wa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Agizo hilo limekuja baada ya ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu udumavu...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli Tata ya Mkuu wa Majeshi kwa Wakimbizi

    Kauli ya CDF, mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda, kwamba kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti serikalini naona ni kauli dhaifu na inawachafua zaidi wao kama walinzi namba moja wa mipaka ya nchi. Inamaana jeshi limeshindwa kazi ya kulinda mipaka ya nchi? Wakimbizi wakishakua raia by...
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Kinondon ruhusun mchanga utoke Mto Kawe. Vinginevyo tujiandae na rambirambi

    Mkuu wangu kwanza nakupongeza kwa unavyokuwa karibu na watu wako Pili nisisahau niombe tu najua umefika Mto Kawe maeneo ya makazi mapya umeona yale mateso ya Watuu na maafa yake Mkuu wangu wa wilaya mchanga umejaa maji yanasimama yanasomba nyumba za watu Maji yanahitaji njia, tukuombe watu...
  8. JamiiForums Tanzania KWELI Paul Kagame alihudumu kwenye Jeshi la Uganda na kufikia cheo cha Mkuu wa Usalama wa Jeshi

    Baada ya kauli ya CDF wa Tanzania Jenerali Mkunda kusema kuwa 'Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi' imenifikirisha sana nikakumbuka nilishawahi kusikia tetesi kuwa Paul Kagame wakati akiwa mkimbizi nchini Uganda, aliwahi kuhudumu kwenye jeshi la nchi hiyo na...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024 CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI Mkuu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Nikiri wazi kutoka sakafu ya moyo wangu, nimefurahi sana kilio changu na kampeni yangu ya miaka mingi kuona leo imejibiwa na Mkuu wa Majeshi nchini. Nilionya kuwa nchi yetu tumeingiliwa, tunahujumiwa tena vya kutosha. Nakumbuka 22 December 2019 niliandika makala hii hapa chini nikitilia mashaka...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kesho ni mkutano mkuu wa Simba ajenda kuu ni Katiba

    Kesho Kuna mkutano mkuu wa timu ya Simba ,mojawapo ya ajenda ni mabadiliko ya katiba ili kukamilisha mchakato wa uwekezaji. Tayari kamati iliyokusanya maoni kupitia mwenyekiti wake Husein Kitta umesema umemaliza kazi take na kukabidhiaoni tayari kwa ajili ya kupitishwa na mkutano mkuu lakini...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

    Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche. Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha...
  13. JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo haijawahi kuwa na mkuu wa Mkoa Mwanamke

    Nimekaa nikavuta kumbukumbu na kuona kuwa pamoja na kuishi Sana Tanzania sijapata kusikia mwanamke akiteuliwa kuongoza mkoa wowote Kati ya hii. 1. Mbeya 2. Mwanza 3... 4..... Hivi ni Kwa nini? Usiitaje Dar , maana Dar imewahi kuongozwa na mwanamama Jasiri ( Mary Chipungahelo " Mary Chipsi"
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa ujasusi wa M23 auawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani DRC

    Mkuu wa kitengo cha ujasusi wa kundi la waasi la M23 ameripotiwa kuuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Maafisa wamefichua kwamba, Kanali Castro Elise Mberabagabo aliuawa jana Jumanne katika shambulio la vikosi vya jeshi la Congo kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Serikali yaanza kuwapiga Msasa Mawakili kujiandaa na Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Tanzania imeanza kuwajengea uwezo mawakili wake ili kuzikabili kesi zitakazojitokeza baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Mafunzo kwa mawakili hao yanatokana na kile kilichoelezwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk Eliezer Feleshi...
  16. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdul Mluya: Sisi tulishapigwa, kama CHADEMA wanataka maandamano wajipange na familia zao mbele wapate ladha yake

    Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa shule ya Green Hill tunaomba majibu yanayoeleweka

    Wakuu habari za uzima? Leo nimerudi toka mishe mishe zangu nakutana na taarifa mbaya na za kushangaza kwa wakati mmoja. Binafsi kipindi nataka kumpeleka shule mwanangu chaguo langu la kwanza ilikuwa ni shule ya Green Hill iliyopo pugu kona. Lakini mama yangu alinichagulia ABC mbadala wa Green...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tunategemea CCM waje na Katibu Mkuu mwenye nguvu ya ushawishi au waendelee kuwekeza kwenye tume na dola?

    Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina la katibu mkuu linaweza likawa na ushawishi kuliko jina la makamu mwenyekiti bara Ndugu Kinana...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hili la red sea nchi zote za afrika tunatakiwa kuungana na UK, USA, kuichakaza Yemen. Afrika ndio muathirika mkuu wa ufedhuli huu!

    Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote kwa hili kundi la kigaidi kuzuia misafara ya meli zenye bidhaa mbalimbali kutoka ulaya kuja afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…