Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.
Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime, amesema jeshi hilo limekuwa na utaratibu wa kujiweka tayari kila Uchaguzi Mkuu unapokaribia, huku likiwajengea uwezo askari wake kuhakikisha nchi inabaki salama.
DCP Misime ameyasema hayo leo Julai 30, 2025, jijini Dodoma, wakati wa...
Leo Maktaba ilitembelewa na Mtangazaji Victor Madaha wa Bongo Plus kutafuta historia ya vijana katika siasa kuanzia kudai uhuru wa Tanganyika hadi leo.
Victor anasema kasukumwa kwa kuona wimbi kubwa la vijana kuingia kwenye kinyang'anyiro kuwania nafasi za uongozi katika taifa kwenye uchaguzi...
Yule kipara aliyetemwa na wana Bumbuli, kwenye mitandao ya jamii kuna chawa wake wanasema eti ameachwa kwa vile ndiye atakuwa mbadala wa Emmanuel Nchimbi kwenye u- Katibu Mkuu wa CCM.
Yule aliyetuweka kwenye mgawo wa umeme mwaka 2023 huku akijitengenezea mabilioni ya shilingi kupitia kandarasi...
Ni nani wajumbe hao?
Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani.
CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
Jina: Charles Mhando Njama
Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania
Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Jimbo: Korogwe Mjini
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
Enyi Wakiristo huu ni muda muafaka kuirejea dini ya. Haki ambayo ni Uislamu. Soma kisa hiki uone ushahidi kimaandiko wa Mkuu wa Makuhani wa wa kiyah aliyeamua kuslimu now kumuamini Mohamed -:Wakati Mtume (saw) alipokuwa anakaa katika nyumba ya Abu Ayyub Al-Answaariy huko...
Tutampopoa Makamba mpaka akome
Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge
Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya.
Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako?
Ninaamini Rais Samia ni muumini wa Mungu, mtu anayeamini katika maisha baada ya kifo, hukumu ya Mungu, na ufufuo wa wao...
Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka ndani ya chama zinadai kuwa huu ni mkutano wa kwanza barani Afrika wa aina hiyo kufanywa kwa njia ya...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika tarehe 29 Oktoba. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, tarehe 26 Julai 2025, alipokuwa akitoa ratiba ya uchaguzi.
Uchaguzi huo utahusisha kuchagua Rais...
Awali ulipangwa kufanyika tarehe 30 October 2005, Baadae ukasogezwa mbele hadi Tarehe 14 December 2005.
Hiyo ni baada ya aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chadema Kufariki, Jumbe Mohamed Jumbe.
Kumbe Uchaguzi unaweza kusogezwa mbele.
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa...
Mganga mkuu wa wilaya anaharibu idara ya afya na kamati ya afya mkoa wanafahamu. Mkurugenzi anafahamu.
Anawasimamisha kazi watumishi bila kufuata utaratibu na bila mkurugenzi kujua. Amewasimamisha watumishi wa kituo cha afya Natta bila Mkurugenzi kushirikishwa (ambaye ni mwajiri).
Amemchukua...
DAARUL MAARIFA DAY 2025
Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu.
Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.