mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natarajia kufungua kufungua kesi mahakamani nimshtaki mkuu wa mkoa kwa uonevu dhidi yangu

    Husika na kichwa cha habari wana jf Mimi ni kijana mwenzenu ninae tafuta hela kwa hali na mali, mwaka 2013 nilifanikiwa kununua eneo lenye ukubwa hekari 25 wilaya ya Mvomoro kata ya Kimambira kijiji menge mwaka 2016 eneo hili nikawa nalima matikiti na nyanya nikawa najipatia mapato...
  2. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Uganda Yoweri Museveni Awapandisha Vyeo Brigedia Jenerali 7 Kuwa Meja Jenerali & Makanali 33 kuwa Brigedia Jenerali

    Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jesca Kishoa alikuwa analalamikia Chadema kutofanya mkutano mkuu ili rufaa zao zisikilizwe

    Alicholalamikia Jesca Kishoa leo ni baadhi ya vyama vya siasa kutofanya mikutano ya ndani kwa wakati jambo ambalo linaminya demokrasia akitolea mfano wa Chadema. Naibu Spika amemjulisha kuwa mikutano ya ndani inafanywa kwa mujibu wa katiba za vyama husika. Chadema sikilizeni rufaa za hawa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Sengerema ataka kupigana na Katibu wa Mbunge mkutanoni

    DC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara. Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge alisimama na kuchachamaa na kumwambia DC kama yeye ni kidume basi amkamate muda ule. Ndipo mwenyekiti wa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Katibu Mkuu Kiongozi undeni upya vetting section

    Niombe sana Mhe. Rais upitie upya mfumo wa serikali unaopelekea majalada yafike mezani kwako kwa utiaji sahihi. Yawezekana mfumo huu ulivurugwa au umevurugwa bila kuzingatia utaratibu uliowekwa kwenye Utumishi wa Umma. Upo uwezekana wapo watu wachache wasio waadilifu wameingizwa jikoni lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

    Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna. Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila uzandiki wao unaonekana kupitia mitandao lakini hawakamatiki hilo ni tatizo kubwa. Kwamba wapo...
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Morogoro angalia watu hawa watakuponza

    Afisa Tarafa ya Magole, Mtendaji Kata wa Mbigiri na Diwani wa Kata ya Mbigiri wilayani kilosa watakuponza usipowachukulia hatua haraka. Vimungu mtu hawa wanatumia jina lako kama mkuu wa mkoa kutesa watu ambao wanatofauti nao kimsimamo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa wa Dar (Kesi za Wizi Majumbani Zimeshamiri). Usalama hakuna

    Mkuu wa Mkoa wa Dar pamoja na Mambosasa. Hii hari ninayo isikia na kuona mtaani na kila ninapotembelea vituoa vya polisi sio nzuri. Usalama wa raia na mali zoa haupo tena. Watu wanavamiwa mchana, usiku, asubuhi na jioni. Mko wapi? Mfano: Staki shari kuna kesi kibao za watu kuibiwa. Kule...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anavamia lini ATCL?

    Mabibi na mabwana tumesikia Waziri Mkuu kuvamia UDART leo tena kazukia SGR. Vipi kwenye madege yetu? Tupeane habari wakuu. Je, anao mpango wa kutimba chighafla ghafla hapo ATCL pia? Bila shaka yale mabilioni alivyosema CAG yatakuwa yanamfikirisha naye pia. Mrejesho tokea ATCL utatupa picha ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais ni sehemu ya Bunge; inamaanisha ndiye Mkuu wa Bunge?

    Kuuliza siyo ujinga. Mosi Rais ni sehemu ya Bunge naomba kuelimishwa maana yake kisheria zaidi. Pili naomba kuelimishwa tofauti ya Parliament na National Assemby kisheria zaidi. Ramadhan Kareem.
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli mkali: Yatokeayo sasa Bungeni na kwingineko ni 'laana' ya uchaguzi mkuu wa 2020

    Umekuwa msimamo wangu popote ninaposema au kuandika kuwa mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi mkuu. Kulikuwa na uchafuzi mkuu wa Tanzania. Kulikuwa tu na kutimiza lengo la kuwaondoa 'kivyovyote vile' wapinzani Bungeni. Lengo kuu lilikuwa ni kunyamazisha sauti za upinzani ndani ya Bunge kwa nguvu na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora Serikali iyauze kuliko kuyaacha yakiozea pale yard

    Waziri mkuu mh Majaliwa ameshauri mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora yauzwe kuliko kuyaacha yakioza pale yard Waziri mkuu amesema hayo baada ya kushuhudia mabasi takriban 50 yakiwa yamelala kabisa kwa ubovu na yakizidi kuchakaa. Chanzo: ITV habari Ramadhan Kareem!
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Bunge liko chini ya Rais wa JMT, Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais na mikutano ya Bunge inaahirishwa na Waziri Mkuu

    Haya mambo ya mihimili ni lugha za kisiasa tu lakini kiuhalisia Rais wa JMT yuko juu ya Bunge na Mahakama. Ndio maana Mtendaji mkuu wa Bunge ni mteule wa Rais na anafanya kazi kwa karibu " zaidi " na Waziri Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais ana uwezo wa kulivunja Bunge. Watendaji...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally kuwa tena Katibu Mkuu wa CCM?

    Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sir Harold Wilson aliwahi kusema, ''A week is a long time in politics''. Katika historia ya Tanzania, Dkt. Bashiru Ally kama inavyododoswa kwa sasa kurudi tena kuwa Katibu Mkuu wa CCM atakuwa ni mmoja wa watanzania ambao utumishi wao wa umma unaweza...
  16. JamiiForums Tanzania Migogoro inayoendelea soko la Mawenzi mkoani Morogoro hakuna mtetezi wa kupaza sauti, wafanyabiashara wananyanyasika mkuu wa mkoa uko wapi?

    Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara wa soko la Mawenzi lipo Morogoro mjini kata ya uwanja wa Taifa ili soko lina miundombinu mibovu kume kuwa na migogoro baina ya Manispaa na wafanyabiashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata taratibu Tumeshapeleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
  18. P

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Dkt. Bashiru Ally unasumbuka sana. Rais Samia tarehe 30, Aprili atashinda kwa asilimia 100%

    Dr. Bashiru juhudi zako unazofanya za chuki na hasira dhidi ya Rais wetu mpemdwa tukwambie tu unasumbuka sana. CCM ni chama chetu, Tumekulia ndani ya CCM, tunazijua tamaduni zetu, tunazijua saisa za rough na nzuri za CCM. Tunakuhakikishia tu kuwa Rais Mama Samia Suluhu tunaenda kumpa Uenyekiti...
  19. JamiiForums Tanzania DC na Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Tanganyika matatani kwa Rushwa

    Wadau hongereni kwa kazi hii kitu imevuma Sana Leo kwa wahusika hao kuvuta 60 mil toka kwa makarani wa pamba huko Wilaya ya Tanganyika hebu wajuvi mtupe nyama inakuwaje hii kitu maana Hawa jamaa inaonekana watu wa dili na kutakuwa na chain ndefu tu ya Kula mlungula najua humu great thinker...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Miradi yote ya awamu iliyopita itatekelezwa

    Baada ya hoja kadhaa wiki hii kuibuka za kumuacha Rais Samia Suluhu aidha Kuandika kitabu chake au aendelee na kilichopo, waziri mkuu wakati akihitimisha hoja yake ya bajeti, amesema serikali ya awamu ya sita itaendelea kukamilisha ahadi zikizotolewa wakati wa kampeni zilizopo kwenye ilani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…