mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania PICHA: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwasili kwenye mkutano Mkuu wa CCM unaendelea huko Dodoma

    Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge wa kuteuliwa wa JMT Ndg. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi . Katika Mkutano huu unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya...
  2. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege, Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa...
  3. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa, mchagueni Mama Samia kuwa mwenyekiti wa CCM na Ashraf Sadru Kiobya kuwa mjumbe wa NEC

    Ndugu Ashraf Sadru Kiobya Ndugu wajumbe wa mkutano mkuu CCM Taifa. Poleni kwa Safari na Majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa na chama Naomba kuchukua nafasi hii kuwaombeni kwa unyenyekevu mkubwa mumchague Mama yetu, Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa CCM. Mama Samia ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Vituo vya runinga vya ndani (local channels) na baadhi za nje zitarusha mubashara mkutano mkuu wa CCM

    Luninga zote za ndani yaani local channels na baadhi ya tv maarufu duniani zitarusha mubashara tukio la mkutano mkuu wa CCM. Kadhalika online tv na mitandao karibia yote ya kijamii itakuwa mubashara kuripoti tukio hili la kihistoria. Wananchi wote mnashauriwa kufuatilia mkutano huu muhimu kwa...
  5. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara feki wa Hai Mutaendelea kumlaumu Mkuu wa wilaya, Huyu mtu ni Hodari kuliko wengine

    Ni swali lakini mimi nimefikia hatua ya kumsifu Mkuu huyu wa Wilaya. Jionee mwenyewe uhuni wa wasiosikia na kuheshimu binadamu wenzao.
  6. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya Katibu Mkuu

    Katibu Mkuu atakuwa na kazi ya; 1. Kuandaa uchaguzi wa ndani unaotarajika kufanyika 2022:kuchagua viongozi katika ngazi zote;matawi,kata,wilaya,mkoa na Taifa. 2. Pia atakuwa na jukumu la kusimamia rasilimali za Chama. 3. Atakuwa na kazi ya kudhibiti makundi ndani ya Chama yanayojitokeza wakati...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mohammed Hussein Tshabalala 'asinya' Simba SC mbele ya Kocha Mkuu Profesa Gomez

    Ameshamalizana na Simba SC dakika 15 zilizopita na anaendelea kubakia Simba SC mpaka pale atakapozeeka kabisa. Na sasa kuna Clause tumeweka ambapo Timu za ndani kama Azam FC ikimtaka itoe Tsh Bilioni 1 tu. Kama Klabu ya Yanga SC ikimuhitaji basi itabidi imnunue kwa Tsh 37 Bilioni tu. Klabu...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania insema wazi kuwa Tanzania ni dola iliyo huru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili

    Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka. Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili. Ibara ya 33 (1) imeweka wazi kabisa mkuu wa hii dola na mkuu wa majeshi ni rais wa JMT. Ibara...
  9. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Samia ambakize Mzee Mangula lakini amteue Dkt. Rehema Nchimbi kuwa Katibu Mkuu

    Kwa sasa Mzee Mangula abaki kuwa Makamu Mwenyekiti ili kumlinda Samia lakini kwa ajili ya ku-manage dynamics za 2025 na unpredictable CCM yenye visa na "uhuni" wa kila aina. Hata hivyo, chama kinahitaji mtendaji mwenye hekima na asiye fisadi. Mtu ambaye siyo mgeni na ambaye amefanya kazi na...
  10. The Father of All

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Martha Koome mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu Afrika Mashariki

    Tume ya kupitisha jina la atakayekuwa Jaji Mkuu wa Kenya baada ya kuisha muda wa Jaji mstaafu David Maraga imepitsha jina la Jaji Martha Koome kuchukua nafasi hiyo. Koome anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu nchini Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla. Si haba, akina mama wanazidi...
  11. msovero

    JamiiForums Tanzania Ajira 6,000 za walimu zagubikwa na utapeli. Waziri Ummy amuagiza Katibu Mkuu kufanya uchunguzi

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema kuna Watu wamejitokeza mitaani ambao wanawadanganya Walimu ambao hawajaajiriwa kuwa wanatakiwa kutoa Tsh. Milioni moja ili wapate ajira kwa haraka kwani nafasi hizo hazitatangazwa na Serikali bali zitatolewa kisirisiri. Waziri Ummy ameyasema hayo mapema...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar ni nini kinakwamisha ukarabati wa miundombinu ya maji taka hapa Canossa School?

    Kwako Mkuu wa Mkoa, Kunenge ni masikitiko makubwa wewe kama Mkuu wa Mkoa umekaa kimya na najua unachokiona hapa kimekufikia. Je, wewe Mkuu wa Mkoa nyumbani kwako unakaa karibu na dampo la takataka? Je, watoto wako wanasomea shule na wanavuta harufu na takataka za dampo? Mkuu wangu unajua na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Midahalo ya kisiasa ya makatibu wakuu wa vyama itafanikisha kuongeza mshikamo wa kisiasa.

    Rais Samia Suluhu ameonesha nia ya dhati ya kutaka kufanya kazi na upinzani. Tunaamini Mhe.Rais atakapokutana na viongozi wa vya upinzani watajadiliana mengi hususani mambo yatakayokuza na kuimarisha ushirikiano na demokrasia. Kwa tathmini fupi niliyofanya nimegundua Rais wetu anapenda muafaka...
  14. ZOPPA

    JamiiForums Tanzania Natarajia kufungua kufungua kesi mahakamani nimshtaki mkuu wa mkoa kwa uonevu dhidi yangu

    Husika na kichwa cha habari wana jf Mimi ni kijana mwenzenu ninae tafuta hela kwa hali na mali, mwaka 2013 nilifanikiwa kununua eneo lenye ukubwa hekari 25 wilaya ya Mvomoro kata ya Kimambira kijiji menge mwaka 2016 eneo hili nikawa nalima matikiti na nyanya nikawa najipatia mapato...
  15. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Uganda Yoweri Museveni Awapandisha Vyeo Brigedia Jenerali 7 Kuwa Meja Jenerali & Makanali 33 kuwa Brigedia Jenerali

    Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jesca Kishoa alikuwa analalamikia Chadema kutofanya mkutano mkuu ili rufaa zao zisikilizwe

    Alicholalamikia Jesca Kishoa leo ni baadhi ya vyama vya siasa kutofanya mikutano ya ndani kwa wakati jambo ambalo linaminya demokrasia akitolea mfano wa Chadema. Naibu Spika amemjulisha kuwa mikutano ya ndani inafanywa kwa mujibu wa katiba za vyama husika. Chadema sikilizeni rufaa za hawa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Sengerema ataka kupigana na Katibu wa Mbunge mkutanoni

    DC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara. Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge alisimama na kuchachamaa na kumwambia DC kama yeye ni kidume basi amkamate muda ule. Ndipo mwenyekiti wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Katibu Mkuu Kiongozi undeni upya vetting section

    Niombe sana Mhe. Rais upitie upya mfumo wa serikali unaopelekea majalada yafike mezani kwako kwa utiaji sahihi. Yawezekana mfumo huu ulivurugwa au umevurugwa bila kuzingatia utaratibu uliowekwa kwenye Utumishi wa Umma. Upo uwezekana wapo watu wachache wasio waadilifu wameingizwa jikoni lakini...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

    Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna. Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila uzandiki wao unaonekana kupitia mitandao lakini hawakamatiki hilo ni tatizo kubwa. Kwamba wapo...
  20. mbikagani

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Morogoro angalia watu hawa watakuponza

    Afisa Tarafa ya Magole, Mtendaji Kata wa Mbigiri na Diwani wa Kata ya Mbigiri wilayani kilosa watakuponza usipowachukulia hatua haraka. Vimungu mtu hawa wanatumia jina lako kama mkuu wa mkoa kutesa watu ambao wanatofauti nao kimsimamo...
Back
Top Bottom