mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Dr. Stefano Moshi, mtoto wake Eng. Zebedayo Moshi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya KKKT

    Sasa nirudi kwenye mada. Kumekuwa na kupeana nafasi kwa watoto wa maaskofu huko Dayosisi ya kaskazini , nafasi kubwa za kikazi ,kanisa limejenga ngome ambayo watoto wa waumini wengine ambao baba zao sio maaskofu nafasi hutapewa na nafasi za kaxi hazitangazwi. Mifano ni mingi ila nieleze...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi na Katibu Mkuu Kiongozi, niwaombe mwarejeshe kazini waliofukuzwa kimakosa Kwa maamuzi ya kesi za prebagaining

    Naomba nitumie jukwaa la JF kuelezwa Jambo ambalo Watumishi wengi hasa wa Umma awalizungumzi ila Kwa anayefuatilia taratibu za kesi zilizofunguliwa 2015 watakubaliana na Mimi kwamba Watu waliteswa na wengine kupoteza kazi kwa utashi wa WATU wachache walioelekezwa kufanya walivyofanya. 1. Wapo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu alijumuika Maria Space Dec.20

    Iko recorded katika hoja zilizoongelewa katika Maria Space Dec. 20. Katika maelfu ya wajumbe ya waliokuwapo, Mh. Jaji Mkuu naye alikuwa katika mahudhurio. Kwamba katika maazimio, umuhimu wa kuwahusisha wananchi kwenye kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ulizingatiwa mno: "Kwa uhakika...
  4. JamiiForums Tanzania Barua ya Kichungaji Kutoka kwa Askofu Renatus Nkwande Kuhusu Maandalizi ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki itakayohitimishwa Roma 2023

    Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande, wa Jimbo Kuu la Mwanza, nchini Tanzania Usuli Ifuatayo ni Barua ya Kichungaji kuhusu Maadhimisho ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Sinodi hii, inanogeshwa na kauli mbiu isemayo, “Kwa ajili ya Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushiriki na Utume.” Maadhimisho...
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Jitihada za kumaliza kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe, zinaendelea “nyuma ya pazia,” ambapo taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu mstaafu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Waziri Mkuu na ile ya katibu Wizara ya Afya juu ya uviko zote ni sahihi

    Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani kuongezeka kwa maambukizi au visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi. Prof. Makubi...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sikiliza clip hii ili ujue a.k.a ya nyoka aliyemdanganya Adamu kule eden

    Imenishangaza kidogo kuona clip hii ambayo inazungumzia kiumbe aliyemlazimisha adamu kumwasi Mungu. Ina maana huyu joka, ndiye anayeendelea kudanganya watu wauane, wachinje wenzao na kuendeleza vurugu duniani hadi sasa? Naomba uwafikishie hii clip watu wote wanaomwabudu nyoka ili yamkini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo

    Kwanza nikupe heshima yako, shkamoo na pole kwa majukumu makubwa ya kuongoza chama, Siku kadhaa kabla ya sherehe ya uhuru ulifanya kikao na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya chama ndani ya miaka 60. Katika kikao hicho ulizungumza mambo mengi lakini kwangu napenda kuchangia kuhusu haya...
  9. JamiiForums Tanzania Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN, Rais Samia ampongeza

    === Rais Samia Suluhu Hassan ampongeza Bi Joyce Msuya kwa kuaminiwa kwake na kuteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ( UN ) Bw Antonio Guterres, Bw Guterres amemteua kuwa Naibu katibu mkuu wake anayeshughulikia maswala ya Kibinadamu na Naibu mratibu wa misaada ya dharula Duniani, ===...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

    Naombeni kwa wenye uelewa muweze kunijuza. Hivi kwa Mimi mwananchi wa kawaida (hohehahe) nikitaka kuonana na mkuu wa nchi natakiwa kufuata taratibu zipi ili nimfikie! Hususani Kama Nina Jambo la muhimu ambalo nataka nimfikishie yeye mwenyewe moja kwa moja? Au kwa Hali yangu nifute kabisa...
  11. JamiiForums Tanzania Shaka muonye Humphrey Polepole mapema kwenye mkutano mkuu Desemba 2021

    Nawasalimu Kwa Jina La Jamhruri Ya Muungano Wa Tanzania. CCM inatarajia kukutana Kwa Ajili ya Mkutano DEC 15 2021. Naomba ndugu Yangu Kijana Shaka Hamdu Shaka. Tumia Fursa hii kumbananisha Pole Pole na Kumpa Ushauri Wa Bure, Ukishirikiana na Manguli Wengine Wa Kwenye Chama Hichi Kikongwe...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla. Hebu chota busara hizi kutoka kwake
  13. JamiiForums Tanzania Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

    MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa. Amekwenda mbali hadi kufikia kusema , wote...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Mkuu hajatambua uwepo wa Mume wa Rais? Protokali ipoje?

    Mhe. Waziri Mkuu ametambua uwepo wa viongozi mbalimbali uwanja wa Uhuru huku akisoma list, lakini katika list hiyo Mme wa Mhe. Rais ajatajwa kama tulivyozoea wake wa viongozi wakitajwa katika hafla mbalimbali. Je amepitiwa au protokali haitambui nafasi yake? Au Mhe. Rais ndiye mwenye dhamana...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ethiopia arudi ofisini baada ya kukomboa miji 6

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed arudi ofisini kwake mjini Addis Ababa, baada ya zoezi la kuikomboa miji iliyotekwa na kikundi cha Waasi wa TPLF kufanikiwa kwa kiwango kikubwa. Taarifa hiyo imetolewa na ofisi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Mbaka sasa kuna kila dalili ya kikundi cha waasi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mtwara: Mkuu wa Mkoa atoa saa 48 za kukamilisha Madarasa 452

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti ameagiza Halmashauri zote mkoani humo kukamilisha majengo 452 ya madarasa ndani ya saa 48. Madarasa hayo 452 yamejenga na fedha za Uviko-19 na yapo katika hatua ya umaliziaji. Akizungumza Desemba 7, 2021 wakati wa kupokea vyumba vya madarsa...
  17. JamiiForums Tanzania Makampuni tumuunge mkono mkuu wa mkoa Dar es Salaam

    Ni ushari wangu binafsi kwa makampuni tumuunge mkono mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam katika juhudi zake za kulirudishia jiji letu Hadhi yake, mwenye kuweza kuchangia pavement achangie, mwenye kuweza kuchangia vyuma achangie. Mji wetu unahitaji sana vyuma vya separation kati ya barabara za...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025, NECTA ihesabu kura badala ya NEC

    Ninapendekeza ili kuruhusu haki kutendeka kwenye matokeo ya kuhesabu kura katika chaguzi za nchi yetu, serikali ipeleke Bungeni kwa hati ya dharura kuomba mabadiliko ya sheria ili kuondoa jukumu la kuhesabu kura toka NEC na kuhamishia jukumu hilo NECTA na majukumu mengine ya uchaguzi hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Leo tarehe 02 Desemba 2021ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi nchini Ndg. Daniel Chongolo

    Leo tarehe 02 Desemba 2021ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi nchini Ndg. Daniel Chongolo. Chama Cha Mapinduzi katika akaunti za mitandao ya kijamii kimeandika ujumbe ufutao; "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakutakia heri katika kuadhimisha kumbukumbu ya siku...
  20. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Mjini Maili Moja kwa mkuu wa Mkoa

    Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…