mkuu wa mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mara: Mkuu wa Mkoa ashangaa Wanafunzi wa Darasa la 7 kutowafahamu Waziri Mkuu na Rais wa Zanzibar

    Kiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo. Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar. Amesema...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mara aagiza wazazi wa watoto 70 waliokeketwa wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee tarehe 10/1/2023 ameliagiza Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya kuwakamata wazazi/walezi wa watoto 70 waliokuwa wamekimbilia AFTGM Masanga kukwepa ukeketaji na baadaye kurejeshwa kwa wazazi wao baada ya kipindi cha ukeketaji...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba kuongoza maombi maalumu ya kumuombea Rais Samia na taifa

    Ndugu Zangu Watanzania, Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi...
  4. JamiiForums Tanzania Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kukagua na kupokea madarasa 58 Serengeti

    Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala ahukumiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atoa siku 7, watoto 24,000 waandikishwe shule

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahaya Nawanda, ametoa siku saba kwa uongozi wa Wilaya ya Maswa mkoani humo, kuhakikisha unakamilisha kuandikisha watoto 24,000 wanaotarajiwa kuanza masomo ya darasa la kwanza na awali wilayani humo. Aidha, Dk. Nawanda amemuagiza Mkuu wa Polisi pamoja na Mkuu wa...
  7. JamiiForums Tanzania RC Mwanza, RPC, Brela, TRA Mwanza. Hawa Matapeli wanapatikana hapa. Wakitumia vielelezo vyenu

    Nimeona bandiko la member mmoja akitahadhalisha kuhusiana na Ponze Scheme moja inajiita Champions Investments ltd. Inadai ipo Mwanza. Nami nimeomba Link ya kuingia kwenye group lao. Hawa jamaa ni matapeli. Ukiangalia Hata members wao wengi ni kutoka nchi flani flani kwa mujibu wa namba zao za...
  8. JamiiForums Tanzania Kama kweli Watanzania tupo makini na taifa letu, basi Mkuu wa Mkoa wa Tanga hastahili kuwepo ofisini

    Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao. Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa kuwaamuru Jamii moja kuondoka mkoani haijakaa sawa

    Leo asubuhi kwenye taarifa nimesikia ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Talak amewapa siku mbili Wafugaji walioingia mkoani hapo kuondoka. Kwa upande wangu sioni kama hii imekaa sawa, anachopaswa kujiuliza Kiongozi huyu ambaye ni Muwakilishi wa Raisi wa nchi hapo Mkoani kwake ni "waende wapi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vifo barabara ya kijenge, nakuomba mkuu wa Mkoa ingilia kati

    Naandika kwa majonzi sana hawa ndugu zetu wa huku Arusha nao wamebahatika kuwekeawa lami mwaka huu japo ni nusu mradi kamili wa kuifikisha lami inapotakiwa kuishia bado aujakamilika. Lami hii sasa imekuwa ikileta huzuni baada ya furaha kwani waendesha bodaboda wa huu mtaa wameigeuza rami hii...
  11. JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa Mkoa awasimamisha kazi watumishi 4 Halmashauri ya Muheza, ubadhirifu na utendaji mbovu vyatajwa

    Waliosimamishwa ni Ramadhani Mtingi (Idara ya ujenzi), Zainabu Mzindakaya (Mweka Hazina wa Halmashauri), Furaha Sarakikya (Idara ya Manunuzi) na Serapion Basgange (Afisa Elimu Sekondari). Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba amewatuhumu watumishi hao kutumia vibaya Fedha za Serikali na Usimamizi Mbovu wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ihamishiwe Posta, pale ilipo ni pa ovyo

    Serikali imehamia Dodoma, na jengo mengi ya serikali jijini DSM ni mapango ya popo. Kwanini serikali isitoe jengo hata moja tukapata ofisi ya RC yenye hadhi ya jiji bora kabisa East and Central Africa? Pale Ilala pa ovyo sana, parking hakuna, ukumbi wa mikutano mdogo, pako exposed sana.
  13. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dar, hawa Panyaroad watakuharibia kazi..

    Habari wana JF.. Mkuu wa Mkoa wa Dar, fanya hima juu chini, futilia mbali hawa watoto wadogo wahuni watakuharibia kazi, sambaza vyombo vyako vya ulinzi vya mkoa, usiku na mchana, kama wiki nzima, kamata wote, sheria ichukue mkondo wake. Mh. Makala, nachokiona, ukichelewa kidogo tu, hawa...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu. Najua Mkuu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, unaweza kuongeza chanzo cha mapato kwa kuweka kodi maalum kwa stendi binafsi na mabasi yao

    Naona fursa kwa serikali ya mkoa wa DSM, lakini wao hawaioni. Hizo stendi binafsi zilipiwe tozo, hata kama milioni kadhaa kwa mwaka, na pia mabasi yote ya kampuni husika yalipie ushuru wa stendi ya Mbezi Magufuli, na wakitaka wanalipa in advance. Mchezo umekwisha. Ukiwa na stendi binafsi...
  17. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya kuteguliwa Rafael Chegeni kabla ya kiapo cha Mkuu wa Mkoa?

    Anayejiita Dk ilihali u daktari wake ni wa mashaka bwana Rafael Chegeni mapema mwezi uliopita aliteuliwa awe RC Mara ajabu kabla ya masaa ya uapisho wake uteuzi wake ulitenguliwa pasina kusemwa sababu leteleza. Kwa wingi wa wajuvi humu jf pengine huenda wapo walio na ufahamu wa kipi hasa...
  18. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa Tanga

    Kwa niaba ya rafiki wangu huko Tanga na-share hii uzi Barua wazi kwa mkuu wa mkoa tanga. Mheshimiwa mkuu wa mkoa Tanga, Ni kwa masikitiko makubwa tunakueletea malalamiko dhidhi ya club ya Ben Bistro hapa wilayani Tanga, kati ya mtaa wa Ekcenforde na ring - Guinea Street Club hii...
  19. JamiiForums Tanzania RC wa Kagera, Chalamila asema Ng'ombe wanaofugwa kwa stress wana nyama ngumu

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewataka wadau wa mifugo kutoa elimu ya ufugaji bora kwa wafugaji ili kuwawezesha kufanya ufugaji wa kisasa ambao utaepusha ng'ombe kutembea umbali mrefu kutafuta malisho na kusababisha nyama yake kuwa ngumu Akizungumza wakati wa kufunga maonyesho ya...
  20. JamiiForums Tanzania Geita: Mayanga Contracts LTD, imeshindwa kumaliza ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa baada ya Mwenye Kampuni kufa?

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo. Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…