Hii kitu nimewaza kama ingekuwa bongo nadhani leo kuna baa zingeuza sana pombe maana watu wangefanya sherehe
Sasa hapa nimeshindwa kuelewa shida ni nini? Au alikuwa ana changamoto gani ya afya
Kuna mbaba mmoja badala ya kumsaidia mgonjwa kawahi kamera yake kupiga picha
Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, amefunguka kuhusu tukio la kukamatwa kwake na Jeshi la Polisi, akidai kuwa walitumia mabomu wakati wa kumkamata—kauli ambayo imezua mjadala mpana kuhusu haki za kisiasa na uhuru wa viongozi wa upinzani.
Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote.
Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’
===
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa;
"Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia...
https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0
Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema.
Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
Hivi Hawa wanaosombwa namna hii kupelekwa kwenye mikutano ya CCM , akili zao Huwa zinafanya kazi kama akili za sisi binadamu wa kawaida kweli??
Hii nchi bado wajinga na mbumbumbu ni wengi sanaa..kukomboa hili TAIFA ni kazi itakayokamilika miaka 47 ijayo
Shalom
Sikutegemea kuona umati kama ule ukijitokeza kumpokea mgombea wa CCM kwa kiasi kile.
Watanzania tuwaeleweje? Kwamba Polepole hamumsikii?... Hamumuelewi au!!
Kujazana vile kwenye mikutano ya CCM mnatupa ujumbe gani Watanzania wenzenu tusio na upande?
Naogopa
Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi.
Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 jijini Singapore.
Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Mkutano wa 30 kuhusu mabadiliko ya tabia nchi (COP30) unatarajiwa kufanyika mwezi Novemba mjini Belém nchi Brazil, ambao unatajwa kuwa mkutano wa kilele wa kihistoria utakaoweka ajenda kuhusu mabadiliko ya tabia nchi duniani kwa kipindi cha miaka 10 ijayo, muongo muhimu kabisa wakati dunia...
Inasemekana vyama vikuu vya upinzani nchini vimepongeza Mkutano wa Putin na Trump huko Alaska na kutanabaisha kwao ndio mwanzo wa Amani huko Ukraine na duniani kwa ujumla
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amewaomba Madaktari(Wataalamu) wa macho Kuendelea kufanya Utafiti wa kina juu ya chanzo cha matatizo ya uoni hafifu na kubaini tatizo na njia za kutibu ili kuondokana na Ugonjwa huo ambao unawashambulia kwa Kasi Wananchi wa Tanzania na Afrika kwa Ujumla...
https://www.youtube.com/watch?v=WyoacouIms0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anafungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 Shule ya Polisi Tanzani- Moshi.
Maafisa mbalimbali wakiwasili katika Viwanja vya...
Wakuu tufuatilie hii live inaendelea sasa Mgeni Rasmi akiwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango
https://www.youtube.com/live/Gt5cxeNI90U?si=IYfVYZ27diQ2bosr
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura:
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Camillus Wambura amesema jeshi hilo halitovumilia...
Asilimia kubwa ya Waliokuwa Viongozi katika kipindi cha Mbowe (alipokuwa CHADEMA) wamehamia CHAUMMA.
Viongozi hao wamekuwa wanamuomba Mbowe ajiunge nao. Pia zimekuwepo tetesi kwamba anatakiwa kuhamia CHAUMMA.
Hata hivyo ameweza kudhami Mkutano huo Mkuu unaoendelea Dar Es Salaam.
Baada ya...
Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
Ndani mtiti nje mtiti. Ndivyo tunavyoweza kusema, baada ya ukumbi wa Shabani Mloo wa Chama cha Wananchi (CUF), uliotakiwa kutumiwa na wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi wa chama hicho ili kupitisha ilani na kuteua majina ya wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kugeuka uwanja wa ngumi.
Mtiti...
Wakuu,
Sijapenda kabisa kuwaona hawa Wachina kwenye mkutano wa ACT Wazalendo.
Hawa Wachina wako AGAINST DEMOCRACY na ni marafiki wakubwa sana wa chama cha tawala.
Hawa wachina ndio ambao wana kile chuo cha Uongozi kule Kibaha kwa ajili ya "kutrain" viongozi wa CCM
Mfumo mzima wa demokrasia...
Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha kupitia Utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo wa Kikanda 2030 (Regional Indicative...
Naibu waziri wa mawasiliano na teknolojia ya habari Mhandisi Maryprisca Mahundi amepiga goti mbele ya wajumbe wa mkuato mkuu wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Mbeya akiwashukuru kwa kumuamini na kumchagua kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, huku akiomba ridhaa kwa wajumbe hao kumuamini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.