Umoja wa Afrika umetambua juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ndani na nje ya nchi, na kumpendekeza kutangazwa rasmi kuwa kinara wa Umoja wa Afrika wa ajenda hiyo.
Hatua hiyo imefikiwa...
Swali, Mpaka hapa bado kuna mtu hajajibiwa swali la nani alitoa amri ya kuua watu iwapo magari yaliyotumika kuua watu bado wanayatumia kuonesha hawajali wala kuogopa chochote?
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamad Masauni leo Aprili 21, 2026 atawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma.
Aidha, kabla ya bajeti hiyo kuwasilishwa, Wizara ya Nishati, itawasilisha randama za...
Dodoma. Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaotarajiwa kufanyika Oktoba 6 hadi 9, 2026, Jijini Dar es Salaam, ukilenga kutoa fursa ya kujadili na kuimarisha mikakati ya pamoja ya usimamizi endelevu wa mazingira ya Bahari...
https://www.youtube.com/live/zvViP7gngNM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Shirikisho la Dunia la Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu, tarehe 16 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel:
Ikulu Tanzania na Tovuti: www.ikulu.go.tz
#TanzaniaYetuSote
#NchiYetuKwanza
#MaendeleoEndelevu
Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Enoch Godongwana hivi karibuni amethibitisha kuwa, yeye na Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo Lesetja Kganyago hawajapata idhini ya Marekani ya kuingia kwenye nchi hiyo, ikimaanisha kwamba watashindwa kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Wakuu wa Benki Kuu wa...
Wakati mkutano wa tatu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania ukiendelea, leo Aprili 9, 2026 pamoja na mambo mengine Wabunge wateule wawili wataapa kiapo cha uaminifu na ahadi ya Uzalendo, wakiwa ni Wabunge wapya walioteuliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan.
Wabunge hao ni Angela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.