Mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo utaanza Juni 30 hadi Julai 3 na miongoni mwa mambo yaliyomo kwenye ajenda ya mkutano huo ni mataifa kuondolewa mzigo wa madeni.
Kuongezwa misaada na marekebisho ya kodi.Viongozi wa ulimwengu watakuwepo katika eneo la kusini mwa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa leo, Juni 26, 2025, kuwasilisha hoja ya kufunga shughuli za Bunge ikiwa ni hitimisho la Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika Mkutano huo umejadili mambo mbalimbali ikiwemo Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa...
Naam mkutano na wajukuu zangu pamoja na mama zao(wakwe zangu na binti zangu),,,,
Hii ni baada ya kuzunguka na kuielewa hii dunia,hivyo sitaki mateso niliyopitia mimi pamoja na wanangu yafike kwa wajukuu zangu....
Kitu kikubwa nilichofanyia utafiti ni kutambua na kuelewa nguvu kuu katika...
https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f
Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu....
Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
afrika
afrika mashariki
ccm
chadema
ethiopia
mashariki
mkutano
mkuu
mpango
saba
sababu
sababu za
sababu za kiusalama
siri
slaa
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
wagombea
wanasheria
zanzibar
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 23, 2025 pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atawasilisha taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya ya Mwaka 2024.
Wabunge, wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa...
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 20, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026.
Wakati huo huo, wabunge watatoa michango kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024...
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, leo Juni 19, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Wakati huo huo...
https://www.youtube.com/watch?v=U14SZR1OTYg&pp=ygUFYnVuZ2XSBwkJ3gkBhyohjO8%3D
Serikali imesema itaendelea kuwalea na kuwapatia matunzo wazee wasiojiweza ambao hawana familia na ndugu wa kuwatunza kupitia makazi ya wazee na wasiojiweza 13 inayoyamiliki.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa...
Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam.
Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 16, 2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti itawasilisha taarifa ya Kamati hiyo kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa...
Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa?
Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Waratibu wa Utekelezaji wa Maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano baina ya China na Afrika (FOCAC), unaofanyika tarehe 11-12 Juni 2025 jijini Changsha...
ACT et al, tazama kilichotokea watu waliotumwana system...
CHADEMA TAKE NOTE; Nawaza tu, nawaza tu, nawaza tu....Kitakachofuata ni kumpiga Heche risasi wakasingizia kuwa hawajui nani alipiga risasi maana polisi hawatakuwepo kama ilivyokuwa leo! Erythrocyte
Ni kuchukua tahadhali tu!
Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.