Timbwili jipya limeibuka Makao Makuu ya Chama cha Wananchi (CUF), Buguruni jijini Dar es Salaam baada ya wanachama wake kugawanyika katika pande mbili, wapo wanaoutambua uongozi uliopo na wengine wanaoukataa.
Chanzo cha mgawanyiko huo ni barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliyobatilisha...
Alikwenda kwenye mkutano wa AU pamoja na mambo mengi alitegemea kutambulishwa kama Rais aliyemaliza CHAGULIWA nchini TZ.
Wenzake waliomaliza kushinda uchaguzi wakatambulishwa, yeye akaondoka kwa aibu kuliko hata alivyokwenda.
Kwa M7 ni bado hajaapishwa hivyo alitambuliwa kama Raisi wa awamo...
Hatujui Kombo kapewa taarifa gani, lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10 na kesi iliyofunguliwa ICC.
Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya.
==========
On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika mkutano huo...
Baadhi ya wabunge wakiwasili bungeni jijini Dodoma leo Januari 30, 2026 kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa pili wa Bunge la 13.
Katika shughuli za leo, kama ilivyo kawaida, kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge watauliza maswali na kujibiwa na serikali.
Aidha, Bunge...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU, unaofanyika leo Januari 26, 2026.
Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
Akizungumza leo Januari 22, 2026 katika Mkutanao na wazee wa jiji la Dar es Salaam, Mzee Butiku amesitisha mkutano huo kurushwa mubashara akiwataka waaandishi wa habari kuwapisha na kwamba watarejea baadae kusikiliza maazimio ya mkutano huo.
Mzee Butiku aliitisha mkutano na wazee kutoka kada mbalimbali kushiriki mazungumzo yanayoweza kuchochea mawazo ya kuondoa mkwamo wa kisiasa uliopo nchini.
Katika mkutano wake na waandishi wa habari (press conference), alizungumza mambo mbalimbali, ikiwemo suala la kufungwa kwa ofisi za CHADEMA...
Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano mkubwa wa Mabunge unaotarajiwa kufanyika kwa siku sita mkoani Arusha na kuhusisha Maspika, Wabunge na Viongozi zaidi ya 1500 kutoka kote duniani.
Hayo yameelezwa ikiwa ni maandalizi ya...
Hassan Ghazaly, Mmisri na mwanachama wa Kamati ya Mawasiliano ya Mfuko wa Ukaguzi wa Maridhiano wa Afrika (APRM) na Mwanzilishi wa Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa, amekabidhi matokeo ya Mkutano wa Tano wa Vijana wa Afrika uliofanyika Afrika Kusini kwa Mheshimiwa Dada Morero, Meya wa Jiji la...
1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje"
2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe"
3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.