mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi Kumuwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na serikali wa SADC

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. katika mkutano wa dharura...
  2. tamsana

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi zilizopata mwaliko wa kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi wa G20

    Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20. Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate change, democracy, nk. Huu ni mkutano muhimu kwa nchi kama Tanzania ambazo zimejaliwa kuwa na...
  3. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Je, mwaliko wa Tanzania katika mkutano wa G20 unatoa nafasi halisi ya kuboresha ushirikiano wa kimataifa kwa bara la Afrika?

    Hatua ya Kihistoria kwa Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan anakwenda kuandika historia kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20. Huu ni ushindi mkubwa unaoonesha ukuaji wa ushawishi na nafasi ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa. Je, uwepo wa nchi zinazoendelea...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha Tisa, Novemba 8, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=52E6JA0VI7c
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12, Kikao cha 8 Novemba 7, 2024 Asubuhi

    Bunge linaendelea hivi sasa kwa kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanapata fursa ya kuuliza maswali kwa mawaziri, huku mawaziri wakitoa ufafanuzi na majibu kwa maswali hayo. Endelea kuwa nasi kufuatilia yanayoendelea kutoka Dodoma, kwenye kikao ambacho kinahusu pia Kamati ya Mipango...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 | Mkutano wa 17 Kikao cha 7, leo Novemba 6, 2024 Asubuhi

    Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na Mawaziri wanatoa majibu. Tufuatilie yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya mji wa Dodoma! https://www.youtube.com/watch?v=4wO3TRtbUYI
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 | Mkutano wa 17 Kikao cha Sita, leo Novemba 5, 2024

    Kusuhu hali ya Ugonjwa wa Figo nchini Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amezungumzia ongezeko la magonjwa ya figo nchini, akitaja vichocheo vikuu vinavyosababisha hali hii kuwa mbaya. Akizungumza Bungeni leo Dkt. Mollel amesema kuwa sababu za msingi zinazochangia kuumwa kwa magonjwa ya...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mageni: Watu wengi wanaamini hakuna ajira Serikalini bila kuwa na ‘connection'

    https://www.youtube.com/watch?v=ECVGyl8jL60 Akizungumza wakati wa mjadala Bungeni kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa Bungeni Mwaka wa Fedha 2022/23, leo Oktoba 31, 2024, Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amesema imekuwa kawaida kuona Ripoti hiyo...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bunge la Kumi na Mbili Mkutano wa 17 Kikao cha Tatu, Oktoba 31, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali kwa Waziri Mkuu pamoja na Mawaziri wanatoa majibu, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. https://www.youtube.com/live/ECVGyl8jL60
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha pili, Oktoba 30, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na mawaziri wanatoa majibu kwa hoja zinazotolewa. Endelea kuwa nasi tukifuatilia yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=I0lXFZKm-sE
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Oktoba 29, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Ukumbi wa Johari Rotana Dar es Salaam, leo tarehe 29 Oktoba, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=pO386W-gVjw
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha kwanza, Oktoba 29, 2024

    Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=i2OqSWWMSO0
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ina maana Rais Samia amekwenda Kizimkazi badala ya kwenda kwenye mkutano wa Commonwealth.

    Kwa nini hakwenda Samia na Waziri Kombo kama alivyokwenda Indonesia na Januari.? Mi nadhani nchi yetu ina special relationship na UK,rais alipaswa kwenda kwenye ule mkutano. After all Malkia ndiye aliyeamua ugomvi na Maalim Seif katika Uchaguzi uliopita. Magufuli alikuwa poised kumuondoa...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 27 wa Wakuu wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwanaisha Ulenge katika Mkutano wa Jukwaa la Wabunge Wanawake wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

    MHE. ENG. MWANAISHA NG'ANZI ULENGE KATIKA MKUTANO WA JUKWAA LA WABUNGE WANAWAKE WA IPU Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani unaofanyika Jijini Geneve, Switzerland Wenye Mada Kuu ya kuunganisha Sayansi na Ubunifu kwa Amani na Kesho...
  16. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Makonda effect: Nani alishiriki mkutano huu wa Lema juzi?

    Naona kila mtu yupo busy na Landlover festival. Makamanda Arusha tupeni feedback ya mkutano wa Lema wa juzi. Au ndio kashapotezwa na Makonda kwa kukubalika kwa Makonda?
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kama Mkutano wa Ndani Unajaa Watu Kiasi Hiki. Vipi Kwa Mkutano wa Nje? CCM ina uwezo wa kujaza hata Uwanja wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika CCM ina mamilioni ya wanachama,ina washabiki wa kutosha ,ina wafuasi wengi sana ,ina aminika sana ,ina kubalika sana ,inapokeleka na kupokewa na mamilioni ya watanzania kila ipitapo,ina nafasi katika mioyo ya watanzania. Ukiona mkutano wa ndani tu watu wana...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Buluba Mabelele: Kuikosoa Serikali ni muhimu, inasaidia Viongozi kufanya vizuri, Vijana wengi wamekuwa Chawa

    “Kwa sasa CCM hai recruit Vijana wake kama zamani, vijana wameufanya uchawa kuwa kazi rasmi, taifa letu limejaa ubinafsi na unafiki wa hali ya juu sana, kuikosoa Serikali ni muhimu sana kwani inasaidia viongozi wetu kufanya vizuri zaidi” Buluba Mabelele - Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Buluba Mabelele: Rais ana mamlaka makubwa sana, apunguziwe

    “Rais ana mamlaka makubwa sana apunguziwe, wakati mwingine anazidiwa na wanaomzunguka kwa sababu Rais hayupo kila mahali” BULUBA MABELLE - MJUMBE WA MKUTANO MKUU - CCM TAIFA, wakati akizungumza kwenye mahojiano na Edwin Odemba. Chanzo: Star TV Pia soma ~ Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makonda anazungumzia Yesu kufa msalabani na damu yake kumtakasa katika mkutano wa Mchengerwa!

    Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu...
Back
Top Bottom