Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika CCM ina mamilioni ya wanachama,ina washabiki wa kutosha ,ina wafuasi wengi sana ,ina aminika sana ,ina kubalika sana ,inapokeleka na kupokewa na mamilioni ya watanzania kila ipitapo,ina nafasi katika mioyo ya watanzania. Ukiona mkutano wa ndani tu watu wana...
“Kwa sasa CCM hai recruit Vijana wake kama zamani, vijana wameufanya uchawa kuwa kazi rasmi, taifa letu limejaa ubinafsi na unafiki wa hali ya juu sana, kuikosoa Serikali ni muhimu sana kwani inasaidia viongozi wetu kufanya vizuri zaidi” Buluba Mabelele - Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA...
“Rais ana mamlaka makubwa sana apunguziwe, wakati mwingine anazidiwa na wanaomzunguka kwa sababu Rais hayupo kila mahali” BULUBA MABELLE - MJUMBE WA MKUTANO MKUU - CCM TAIFA, wakati akizungumza kwenye mahojiano na Edwin Odemba.
Chanzo: Star TV
Pia soma ~ Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA...
Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu...
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile anawakaribisha Mabalozi wote wa mashina na wajumbe mkutano mkuu wa jimbo la Mufindi Kusini kwenye Mkutano Maalumu wa Jimbo utakaofanyika Jumamosi hii Oktoba 05, 2024 kwenye Viwanja vya Igowole Shule ya...
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .
Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024.
https://www.youtube.com/live/QeGkuTfuCOs?si=5KIOMJBOaZ3n3TPG
28 September 2024
https://m.youtube.com/watch?v=Q_op3a827-s
Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC sheikh Habibu Mbota.
Mkutano huo mkubwa wa kitaifa utahudhuriwa wajumbe zaidi ya 400 wa mikoa...
Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, imepongezwa kwa kuing’arisha Tanzania kitaifa, Afrika na kimataifa, kulikopelekea mkutano wa 8 wa Connect 2 Connect (C2C) Afrika 2024, kuja kufanyikia Tanzania, Hellios akiwa ndie mdhamini mkuu wa mkutano...
Kutoka Geita.
Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.
Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.
Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe leo anafanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kisesa mkutano unaotajwa kusubiriwa na hamu kubwa hasa baada ya kutangaza kuwanyima huduma za pembejeo za kilimo kama wananchi hao wataendelea kuungana na mbunge wao Luhaga Mpina kuwa kulaumu wakulima kuuziwa dawa...
Nimeona video ikisambaa toka jana ikimuonesha Tundu Lissu akiwa anazomewa na watu waliokuwepo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana tarehe 11/09/2024 wakimzomea na kumuita YUDA je ni cha kweli?
Wanakumbi.
Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video .
Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka Marekani na Ulaya.
Hamas wamemfanya anateteka hovyo...
Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kuendelea kulisimamia kwa karibu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024.
Rais Samia...
Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani.
Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025 Serikali imetenga shilingi Bilioni 31 ili kuiwezesha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kushughulikia changamoto zinazoikabili sekta ya kilimo.
Amesema fedha hizo zitaiwezesha TARI kufanya ukarabati na ujenzi wa...
Nimeona watu wakijenga hoja kwamba “huyu kijana ameongea vizuri BILA MATUSI, KEJELI, WALA LUGHA YA KUUDHI” na kwa namna fulani wanawanyooshea kidole wale wanaotumia “LUGHA KALI” kuwasilisha malalamiko yao Tanzania.
Kwanza niseme ni privilege ya hali ya juu kuwa na nafasi ya kusikia UKALI WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.