Aliyehudhuria mkutano wa wawekezaji UTT Amis

Aliyehudhuria mkutano wa wawekezaji UTT Amis

Hello wakuu,

Naomba kwa aliyehudhuria mkutano wa wawekezaji UTT aniambie faida za mifuko mwaka Huu ilikua asilimia ngapi Kwa:
  • Liquid fund
  • Bond fund
  • Wekeza Maisha
  • Jikimu Na
  • Watoto fund

Sikuhudhuria sababu sikuwa mjini ila nilifatilia online kwa vipindi tofauti kwa. Kwanza hakuna mfuko iliokuwa chini ya 12% mwaka huu na uliopata faida kubwa ulipata around 14.7%

Liquid - 12.9%
Bond - 12.5%
Jikimu- 13.7%
Wekeza maisha- 14.7%
Umoja - 12.1%
Watoto- 14.1%
 
Shukrani Mkuu
 
hizi hapa
 
Attachments

Hivi ukiwa na Pesa UTT kwenye mfuko wowote unaweza kwenda kuombea mkopo Benki bila kuzitoa??

Na nini Bank watahitaji kama uthibitisho?
 
Sikuhudhuria sababu sikuwa mjini ila nilifatilia online kwa vipindi tofauti kwa. Kwanza hakuna mfuko iliokuwa chini ya 12% mwaka huu na uliopata faida kubwa ulipata around 14.7%

Liquid - 12.9%
Bond - 12.5%
Jikimu- 13.7%
Wekeza maisha- 14.7%
Umoja - 12.1%
Watoto- 14.1%
Basi wako vizuri. Hata hivyo, riba kubwa imetolewa kwa mifuko ambayo haina gawio la kila mwezi kama BOND FUND.
 
Back
Top Bottom