mkutano mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Yaliyojiri Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma Kusini mwa Afrika (SABA), Oktoba 10, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma Kusini mwa Afrika, leo Okotoba 10, 2023 ambapo Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ni mgeni Rasmi. https://www.youtube.com/watch?v=ysEjV4d7-1U AYUB RIOBA, MKURUGENZI WA TBC SABA (Southern Africa...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia afungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za SADC, leo Julai 3, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa Gran Melia jijini Arusha leo tarehe 3 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  3. M

    Simba mnakwenda na bajeti ya bilioni 13 iliyopitishwa na wanachama kwenye mkutano mkuu au mnaenda na bajeti ya bilioni 24 ya kwenye hafla ya ubwabwa?

    Nimeshangaa sana kuona viongozi bila ata chembe ya aibu wanaudanganya umma, bajeti ya klabu kwa mwaka 2023/2024 imepitishwa kwenye mkutano mkuu ni bilioni 13, lakini maajabu ya musa yanajitokeza leo bwana CEO kajula anawadanganya wabunge eti bajeti wametenga bilioni 24!!!??? Baada ya yanga...
  4. chiembe

    Mawakili katika mkutano mkuu Arusha wasema sasa hawakamatwi ovyo kama enzi ya Magufuli, wamwaga kongole kwa Rais Samia

    #MauaYaSamia Mawakili wasomi wanaokutana Arusha mwaka huu 2023 wamekunwa na sera nzuri na tamu za SSH. Mawakili hao wamesema Sasa wanafanya kazi kwa Uhuru mkubwa na utawala wa sheria umetamalaki. Mawakili hao walionekana kukerwa kabisa na uongozi wa awamu ya tano. Mawakili ni moja ya makundi...
  5. Roving Journalist

    Dkt. Mpango: Kuna Mawakili wanatuhumiwa kuchukua rushwa. Profesa Hoseah: Wimbi la Polisi na Vyombo vya Dola kukamata Mawakili ovyo limetulia

    Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) unafanyika Jijini Arusha, leo Mei 11, 2023 ambao Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika shughuli hiyo. RC Mongella anatoa neno Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amepata nafasi ya kutoa...
  6. BigTall

    Wajumbe Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu (RAAWU) wamkataa mwenyekiti wao

    Kuna Mkutano Mkuu wa Baraza la Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Ufundi Stadi, Ushauri, Habari na Utafiti ambao unafanyika katika Hoteli ya Edema Manispaa ya Morogoro. Lakini katika mkutano huo ambao umeanza majira ya saa mbili asubuhi leo tarehe 23 Machi...
  7. R

    Sijawahi kuona Mkutano Mkuu CCM( NEC) uliofeli kama huu

    Hakuna haja ya kuongea sana. Ktk historia ya siasa za CCM kuna jambo limezuka na jambo hilo sio la kawaida. Ccm imebaki inaendesha mikutano ya ndani yenye vitisho vikali mno. Cha ajabu zaidi ni pale wanapotishana wao kwao na kutukanana wazi wazi. Mkutano ulijaa matusi, kejeli, hasira...
  8. S

    Job Ndugai ahudhuria mkutano mkuu wa CCM kinyonge. He is haunted by the spirit of vindictiveness

    Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai). Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake. Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko...
  9. Unavoidable Servant

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, msiwapigie kura wagombea ambao ni Wabunge au Mawaziri

    Ndg: wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa, nashauri Msiwachague wagombea wa NEC ambao wanatumikia nafasi za Ubunge au Uwaziri. Ieleweke kwamba Mbunge wa Ccm! tayari ni Mjumbe wa vikao vifuatavyo. 1. Mkutano mkuu wa ccm kata anayoishi. 2. H/maushari kuu ya CCM wilaya. 3. Kamati ya Siasa wilaya...
  10. CM 1774858

    Shaka: CCM imetimia kazi inaendelea. Maandalizi ya Mkutano Mkuu yamefikia 99%, wajumbe tembeeni vifua mbele

    Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, imempitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea uenyeki wa CCM katika uchaguzi wa Chama utakaofanyika Desemba 7, mwaka huu jijini Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa kikao cha NEC kilichoketi leo Desemba 6, 2022 Shaka...
  11. J

    Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu afurahishwa na maandalizi ya mkutano mkuu wa 10 utakaoanza kesho Desemba 7

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
  12. J

    Theresia Mteewele: Wajumbe karibuni Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama Cha Mapinduzi

    Wajumbe karibuni Dodoma "Tunawatakia safari njema", Theresia Mtewele Mjumbe wa kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa.
  13. saidoo25

    Harufu ya Rushwa CCM Mkutano Mkuu

    Chama cha Mapinduzi kimetangaza Tarehe 7 na 8 Disemba ni Mkutano Mkuu wa Taifa wa ambao utakuwa na jukumu la kuwachagua viongozi wapya ngazi ya Taifa suala la rushwa limeonekana kuitia doa CCM. Tayari malalamiko yameanza kutolewa kwa baadhi ya wagombea kudaiwa kutoa hadi milioni 5 kwa kila...
  14. J

    Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

    TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
  15. Roving Journalist

    Rais Samia: Watunza kumbukumbu mnapaswa kutunza siri za Serikali

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Kumi wa Chama cha Taaluma ya Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) katika Ukumbi wa AICC, ARUSHA leo tarehe 27 Novemba, 2022 Akifungua mkutano huu, Rais amewashauri wanataaluma wa kada hii...
  16. J

    Moto wa Kabaka: Wajumbe mkutano mkuu UWT wamekubaliana kwa kauli moja Kabaka mitano tena

    KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache...
  17. L

    Mkutano mkuu wa 20 wa CPC una umaalum gani kwa dunia?

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika hivi karibuni mjini Beijing. Matokeo makubwa ya kisiasa na kiitikadi yaliyopatikana kwenye mkutano huo si kama tu yataekeleza maendeleo ya China katika kipindi kichacho, bali pia yatanufaisha dunia nzima...
  18. L

    Beijing: Maonesho ya mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) yafanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu

    Zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Chama cha Kikomnisti cha China (CPC) maonyesho mbalimbali yameandaliwa jiji Beijing ambayo kwa sehemu kubwa yanaonyesha mafanikio ya utawala wa chama hicho ndani ya muongo mmoja uliopita. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu isemayo...
  19. L

    Mkutano mkuu wa CPC kuzingatia utulivu na mwendelezo wa sera

    Tarehe 16 Oktoba China itakuwa na mkutano mkuu wa chama cha kikomunisti cha China unaofanyika mara moja kila baada ya miaka mitano, ambao kazi yake kubwa ni kupanga mwelekeo wa chama katika kipindi cha miaka mitano. Mkutano huu unafanyika katika wakati hali ya ndani ya China na hali ya...
  20. B

    DC Jerry Muro ashinda kwa kishindo kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM- Taifa

    DC JERRY MURO ASHINDA KWA KISHINDO KUWA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM- TAIFA. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Cornel Muro anawashukuru sana Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ikungi kwa kumchagua kwa kishindo cha kura 648 kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa...
Back
Top Bottom