mkutano mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR Mambo Jambo

    PreGE2025 NTOBI atengwa na Mkoa wake Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Shinyanga wafanya maamuzi na wameamua kumchagua Lissu kwenye Uchaguzi wa Januari wa Chama

    Ikiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana.. Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga wameamua Kutoa Msimamo wao Ambao unapingana na Mwenyekiti wa Mkoa Huo hivyo hawakumshirkisha Kwenye...
  2. econonist

    Tuache kuwabeza wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA

    Ninatoa raia ya kwamba tusiwabeze wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Kwa kuonesha kwamba wanashinikizwa kufanya maamuzi kwa njia ya Rushwa. Wajumbe wa mkutano mkuu hawawezi kuhongwa maana wanajua nani anafaaa kuwa mwenyekiti wa chama na si vingine. Kuna watu kama akina Ntobi wameshajihakikishia...
  3. Tlaatlaah

    Hekima imuelekeze Mbowe kujiepusha na midahalo holela, badala yake ajikite kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu ili apate ushindi wa kishindo kwa haki

    Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na...
  4. Tlaatlaah

    Nawatakia heri ya Christmas na maandalizi mema ya mapumziko ya mwaka mpya 2025 wajumbe wote wa mkutano mkuu wa CHADEMA taifa

    Msisahau. Mwaka mpya2025, lipo jukumu muhimu na la maana sana la kutekeleza kwa maslahi mapana na ustawi wa chadema. Nalo ni kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kuukataa katu katu ukoloni mambo leo anaojaribu kuuingiza nchini huyo kibaraka. Mpaka sasa, Shukran za kipekee ziwaendee...
  5. Waufukweni

    Kufukuzwa kwa Gamondi shida ilianzia kuibukia kwenye mkutano mkuu wa Yanga na kutangazwa akitokea Club kula Bata

    Mapema mwezi Juni Yanga walifanya Mkutano Mkuu na hapo ndipo walimtangaza Miguel Ángel Gamondi kuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na kutokana na mafanikio yake na Wananchi ya msimu wa 2023/24 basi walikuja na msemo wa "TABU IKO PALE PALE" kutokana kuwatesa sana Watani zao Simba SC. Soma...
  6. Roving Journalist

    Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi

    Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, tarehe 14 Oktoba, 2024 amefungua rasmi Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (CICG) mjini Geneva, Uswisi. Mkutano...
  7. JanguKamaJangu

    Buluba Mabelele: Kuikosoa Serikali ni muhimu, inasaidia Viongozi kufanya vizuri, Vijana wengi wamekuwa Chawa

    “Kwa sasa CCM hai recruit Vijana wake kama zamani, vijana wameufanya uchawa kuwa kazi rasmi, taifa letu limejaa ubinafsi na unafiki wa hali ya juu sana, kuikosoa Serikali ni muhimu sana kwani inasaidia viongozi wetu kufanya vizuri zaidi” Buluba Mabelele - Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea, leo Septemba 28, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024. https://www.youtube.com/live/QeGkuTfuCOs?si=5KIOMJBOaZ3n3TPG
  9. MSAGA SUMU

    Baraza la maulid Kitaifa limekaa kama mkutano mkuu wa NEC

    Kutoka Geita. Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa. Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji. Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la...
  10. K

    Gawio la Tshs. 11.93 kwa hisa linasikitisha, Vodacom inafanya biashara kubwa kuzidi baadhi ya mabenki

    Mimi ni Mwanahisa wa Vodacom na nimepata taarifa kuwa mkutano mkuu wa Wanahisa wa Vodacom utafanyika tarehe 11 Septemba, 2024 kielekroniki. Binafsi nina hakika Vodacom inafanya biashara kubwa hata kuzidi baadhi ya Mabenki lakini kinachosikitisha ni gawio walilotangaza ya Tshs. 11.93 kwa kila...
  11. M

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu ni haki kufadhili mkutano mkuu wa TLS?

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania ina majukumu muhimu katika usimamizi na utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Majukumu yake ni pamoja na: Utoaji wa Mikopo: Kusimamia utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wanaostahili, kulingana na taratibu na vigezo...
  12. Erythrocyte

    PreGE2025 Huu hapa ni Mkutano Mkuu wa CHADEMA Jimbo la Morogoro Mjini leo 31/05/2024

    Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo hii kinafanya Mkutano Mkuu Maalum Jimbo la Mjini Morogoro. Kuna Chaguzi kadhaa za Viongozi wa Jimbo pamoja na Mabaraza ya Chama , kwa maana ya Bavicha , Bawacha nk. Hali ya Ukumbi ndio kama mnavyoiona
  13. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yawakaribisha Wanahisa kwenye Mkutano Mkuu wa 29

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (katikati), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (watatu kushoto), Katibu wa Kampuni Benki ya CRDB, John Rugambo (watatu...
  14. Erythrocyte

    PreGE2025 LGE2024 Mkutano Mkuu wa Chadema Arumeru Magharibi wafana

    Ni katika mikakati ya Chama hicho kujiweka sawa kwa ajili ya chaguzi zijazo Taarifa kamili hii hapa
  15. Gordian Anduru

    Tayari Simba wameshaanza kupata Vikombe vya mkutano mkuu ujao mwakani

    Klabu yeti pendwa imepata mafanikio makubwa ukiacha Yale ya WhatsApp channel MCHEZAJI wetu Inonga amefika nusu fainali afcon. Pia fifa wametutaja Kwenye klabu 12 ambazo zitawania club world cup ambapo Sisi makolo wizard ni WA 7 Africa wakati zinatakiwa timu nne tu. Hayo ni mafanikio yetu
  16. Erythrocyte

    Rorya: Mkutano Mkuu wa Chadema Wafana, Maelfu ya Wanachama wahudhuria

    Dalili ya Chama cha siasa kinachojiandaa kutwaa madaraka ya Nchi zinajionyesha wazi kabisa , Chama ni watu siyo Chawa Hebu angalia mkutano huu Maaluma wa Wilaya ya Rorya , Mkoani Mara , Ikumbukwe kwamba Chadema haina wanachama wajinga , wote hawa ni wanachama wenye akili timamu . Hii ni leo
  17. R

    Kesho ni mkutano mkuu wa Simba ajenda kuu ni Katiba

    Kesho Kuna mkutano mkuu wa timu ya Simba ,mojawapo ya ajenda ni mabadiliko ya katiba ili kukamilisha mchakato wa uwekezaji. Tayari kamati iliyokusanya maoni kupitia mwenyekiti wake Husein Kitta umesema umemaliza kazi take na kukabidhiaoni tayari kwa ajili ya kupitishwa na mkutano mkuu lakini...
  18. B

    Mahakama Kuu yasitisha Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS)

    15 December 2023 Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza kusitishwa kwa mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS uliopangwa kufanyika kesho jumamosi tarehe 16 December 2023. Amri hiyo imeyolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Dar es Salaam kwenye maombi madogo no...
  19. Sildenafil Citrate

    Mahakama Kuu yazuia Mkutano Mkuu wa Dharura wa TLS uliopangwa kufanyika Disemba 16, 2023

    Ndugu wanachama, Leo tarehe 15 Disemba 2023 majira ya saa kumi na mbili jioni 2023, Baraza la Uongozi la TLS likiwa lindendelea na kikao chake Makao Makuuu ya TLS (Wakili House) limepokea amri ya Mahakama iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es Salam Registry kwenye maombi madogo namba...
  20. Mhaya

    Tanzania yapiga kura za mkutano mkuu UN Kupinga vita ya Israel-Gaza

    Katika kura zilizopigwa, siku ya jana katika mkutano mkuu wa UN zilionesha Tanzania 🇹🇿 imepiga kura ya Kupinga Vita ya Israel na Gaza, na pia kura hiyo inataka Misaada iruhusiwe kuingia GAZA. Nchi 120 zilipiga kura kupinga Vita ya Israel na Gaza, kutaka yawepo mazungumzo na pia kusisitiza...
Back
Top Bottom