Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
Wilaya Uyui ina maaajabu yake ambayo nahisi sijawahi ya kuyaona katika wilaya nyingine.
1. Kuna ufisadi wa kutisha katika majengo yaliyojengwa (jengo la mkurugenzi jipya)
Yaani jengo la serikali limekabidhiwa hata miezi miwili halina tiles zinabanduka, helper za kupandia ngazi ya...
Jana mchana nilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga Tanzania akielezea juu ya ajali ya ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nikawa nasoma maoni yanayopita pembeni ya kile kioo cha kinakilishi changu.
Alionekana kama anapiga siasa zile zile tunazozizoea kuzisikia kutoka kwa watanzania pindi...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Msoleni Dakawa, ameamuru kubomolewa kwa msingi wa madarasa manne, uliokuwa unaendelea kujengwa katika Shule ya Sekondari Sakasaka baada ya kubaini umejengwa chini ya kiwango.
Mbali na uhamuzi huo, Mkurugenzi huyo amemwagiza Fundi...
WARAKA KWA MKURUGENZI WA MASHTAKA - DPP.
TAKUKURU IUNDIWE TAKUKURU-JAJI LUBUVA.
Kwa muda mrefu sasa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa - PCCB wamekuwa wakitenda mambo ya ajabu na kukomoa watanzania utadhani sio raia wa nchi hii.
Mwezi may 2021,Mkurugenzi wa mashtaka nchini Silvester...
Wananchi wa Dar es salaam tumechoka na migao ya maji
Ndugu Waziri na Ndugu Mkurugenzi wa DAWASA
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, maeneo ya Mlalakuwa.
Napenda nikutaarifu kuwa, sasa katika maeneo yetu na mengine ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na hali mbaya sana ya upatikanaji wa maji ya...
Na John Walter-Manyara
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brand Ltd David Mulokozi ametoa msaada wa Fimbo nyeupe 500 kwa watu wasioona ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kusaidia makundi yenye mahitaji maalum.
Akikabidhi fimbo hizo kwa...
Amin Mohamed Ibrahim ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) na Rais William Ruto.
Mohamed, bosi wa Kitengo cha Masuala ya Ndani ya Polisi, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 30 katika uchunguzi wa makosa ya jinai na aliibuka kinara bora zaidi katika mahojiano ili kuteuliwa...
Huu ni uonevu mkubwa,walimu wanashindwa kupewa kipaumbele na kuanza kulalamika hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili.
Taifa hili tunafika kubaya, nchi imeishiwa pesa hata ya kulipa mishahara walimu.
Hao katika video ni walimu wa shule za sekondari halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza...
Nikiwa mdau wa benki hii natoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa benki Dr. Edwin Mhede - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi na Prof. Ruth Zaipuna (Mrs)- Mkurugenzi Mtendaji kwa kitendo cha kuyapokea maoni na ushauri na hatimaye kufanikisha kumwadabisha Lilian Komwihangiro (Advocate) aliyekuwa...
Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Gilbert William Chawe tarehe 16 Septemba, 2022 alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili ikiwa ni pamoja nakukopa kiasi...
Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Gilbert William Chawe tarehe 16 Septemba, 2022 alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili ikiwa ni pamoja nakukopa kiasi...
Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili.
Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)
Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu.
Aidha Rais...
MultiChoice Tanzania imemteua Nehemiah Kyando Mchechu kuwa mkuu wa bodi ya wakurugenzi uteuzi ulioanza rasmi Agosti 1, 2022
Multichoice wamesema wana imani kubwa na uwezo na uzoefu wake uliomfanya kuwa moja ya wakurugenzi mahiri hapa nchini.
Pia, soma=> BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera amesema Askari waliokuwepo eneo la Inyala Mbeya waliwashauri Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga Fatma Omary na Dereva wake kutoondoa gari leo eneo hilo kusubiria Malori yapite ili magari madogo yaruhusiwe kama utaratibu unavyotaka lakini wawili hao...
Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba 12, 2022amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kujipatia mkopo wa gari binafsi wenye thamani ya Shilingi 196,570,931.00 kinyume na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa...
Aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns na Al ahly ameteuliwa na klabu ya Bournemouth kuwa mkurugenzi wa ufundi.
Awali ilisemekana "Mlete mdhungu fc" wana mpango wa kumleta kocha huyo mwenye CV iliyotukuka zaidi katika mpira wa bara hili 🤣🤣🤣 baada ya timu hiyo kumtimua kocha wao wa dunia Zolan...
Mkurugenzi Jiji la Tanga nakuomba ulifanyie kazi hili la kupotea kwa barua kwenye ofisi yako ya Masijala. Nadhani hakuna letter movement /trail order nzuri ya kuifuatilia barua iko wapi tangu inapopokelewa ofisi ya masijala. Kumekuwa na watu wengi masjala kuulizia barua zao "zimefia" wapi baada...