mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Mkurugenzi Mkuu idara ya kudhibiti ugaidi aliyejiuzulu majuzi anachunguzwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri

    25min ago FBI investigating if top counterterrrorism official who resigned leaked classified info By AP FILE - Joe Kent, then-director of the US National Counterterrorism Center, speaks during a congressional debate at KATU studios, October 7, 2024, in Portland, Oregon. (AP Photo/Jenny Kane...
  2. A

    KERO Mkurugenzi wa Mbinga DC ananyanyasa Walimu

    Ndugu Watanzania, nimepokea malalamiko ya Waalimu kwamba Mkurugenzi wa Mbinga DC anawanyanyasa sana Walimu wa Mbinga DC. Kwa mfano, Mkurugenzi huyo huwaita walimu wote kufika ofisini kwake bila kuzingatia utaratibu rasmi wa kiutumishi! Mfano mzuri ni Ijumaa ya Tarehe 27/02/2026 aliwaita walimu...
  3. A

    KERO Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Arusha timiza wajibu wako

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati. Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe kazi'. Kuna kero nyingi na Waziri yupo "busy" na Mamlaka nyingine. Waziri uje Arusha na ukae na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Anthropic akataa Shinikizo la Pentagon kuondoa vizuizi vya Usalama vya Akili Unde (AI)

    Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya AI ya Anthropic, Dario Amodei, amesema kampuni yake haitakubali shinikizo kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) kuondoa vizuizi vya usalama kwenye teknolojia yao ya akili bandia. Amodei alisema kuwa kampuni yake iko tayari hata kusitisha kufanya kazi...
  5. Roving Journalist

    TANESCO: Tuliona tunasumbuana na Mkandarasi wa Mradi wa Imalilo tumeamua kuuendeleza na Wataalam wa ndani

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa Mkoani Simiyu kwa lengo la kujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Kupokea na...
  6. A

    KERO Kuhusu Watumishi wa Mikataba Ilala. Mkurugenzi amedanganya!

    Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba. Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala. Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000. Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8...
  7. Mkongwe Mzoefu

    Mkurugenzi Ilemela Unastahili Kubaki Ofisini Kwa Uzembe huu?

    Jana nimeingia Mwanza na kupokelewa Airport ili niende niendako. Ajabu niliyokutana nayo ni baada ya kufika Pasiansi na kufuata barabara ya kuelekea Lumala hadi Kiseke. Barabara . Hii barabara ambayo Ina umuhimu wa Aina yake kama escape route kuwapo na msongamano katika Makongoro road (Airport...
  8. Roving Journalist

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Chalamila atoa taarifa kwa Kamati ya Bunge kuhusu majukumu na muundo wa TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Chalamila, Januari 19, 2026, ametoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu majukumu, mamlaka na muundo wa Taasisi hiyo, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti...
  9. R

    Mkurugenzi halmashauri Mbeya aagiza wagonjwa kutibiwa kabla ya malipo

    Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, imeweka msisitizo kwa Hospitali za Serikali wilayani humo, kuhudumia wagonjwa kabla ya malipo ili kuokoa maisha na kupunguza malalamiko. Hatua hiyo imetajwa ni kutekeleza maagizo ya Serikali katika kusimamia sera ya afya kwa vitendo kwa lengo la...
  10. Just Pray

    Gamondi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi Singida Black Stars

    Kutoka kuwa kocha mkuu wa Singida Black Stars hadi kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi ambacho ndio cheo kipya cha Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni kocha wa muda wa Taifa Stars. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi ya Wakurugenzi wa Singida BS, leo Jumatatu, Januari 5, 2025 imetangaza...
  11. S

    David Kafulila awatakia Watanzania X-MAS njema

    Katika kusheherekea sikuu ya X-Mass hivi ndivyo alivyoandika katika ukurasa wake wa X zamani Tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini kati ya Sekta ya Umma(Serikali ) na Sekta Binafsi (mtu au kampuni) PPPC Bwana David Kafulila amesema:- Ni siku muhimu sana, hasa katika Ukristo...
  12. Vedasto Prosper

    Mkurugenzi mkuu tume ya taifa ya umwagiliaji akagua bwawa la ujenzi Mkomazi

    <Ujenzi wafikia asilimia 85, <Asisitiza kuzingatia muda na ubora wa ujenzi Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji(NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kikazi katika bwawa la kilimo cha Umwagiliaji la Mkomazi lililopo kijiji cha Manga Mtindiro, Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga...
  13. Lord Denning

    JWTZ, Wakamateni Mwenyekiti na Mkurugenzi na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. Msiwasahau Mafwele, Murilo na Ma RPC wote

    Kwanza kabisa chukueni hii Nchi na iwe chini yenu. Pili wakamateni leo hii Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wake Kailima na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. wawekeni ndani kwenye selo zenu Tatu Wakamateni Mafwele, Muliro na Ma RPC wote wanaoendesha mauaji ya...
  14. N

    Barua ya wazi kwa Mkurugenzi wa VETA; Ombi la kuruhusiwa kuomba nafasi ya kazi

    Ombi la Kuruhusiwa Kuomba Nafasi ya Kazi – Vocational Teacher II (Plumbing and Pipe Fitting) Ndugu Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Kwa heshima kubwa, mimi naandikia barua hii kwa niaba ya wahitimu wa Diploma in Pipe Works Engineering nikiwa na lengo la...
  15. figganigga

    Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

    Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais. Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa. Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
  16. Maxence Melo

    Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu...
  17. JanguKamaJangu

    Mkurugenzi wa INEC, Ramadhani Kailima aongoza kikao cha kupanga ratiba za kampeni za vyama

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, akizungumza na Wawakilishi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025. Kikao hicho...
  18. R

    GE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEC apitishwa na CCM kugombea Ubunge

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Butiama. Soma pia GE2025 - Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha...
  19. Nucky Thompson

    Hivi Magufuli aliwahi kumfunga Mkurugenzi yoyote kwa ufisadi? Serikali ya Samia yamfunga miaka 22 Mkurugenzi kwa ufisadi

    Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa, Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au...
  20. DuaZaMama

    Mkurugenzi Kigoma Jela miaka 22 kwa ufisadi

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha. Hukumu hiyo...
Back
Top Bottom