mkulima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Je, ni kweli kwamba mtoto wa mkulima asiye na connection hawezi pata kazi kwenye taasisi nyeti/ zenye mishahara minono hapa Tanzania?

    Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu. Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo. Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
  2. Mzee Kigogo

    Ushauri ushauri Kuhusu RAV4 1st Gen aka Mkulima

    Hii gari imekaaje wataalam wa magari maana mwaka ujao nataka nivute hii chuma. Kati ya Automatic ama Manual gear ipi ina fuel consumption nzuri na pia ipi nzuri kwa masafa hasa sehemu korofi. Nimeambatanisha na picha
  3. Influenza

    RC Mtaka azijia juu Halmashauri kwa kukusanya ushuru kwa Wakulima ikiwa hazijamwezesha Mkulima kwa chochote

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amewashangaa Halmashauri wanaotoza kodi na ushuru mkoani humo kwa kuendeleza taratibu zisizo na uhalisia, hususan kwa wafanyabiashara na wakulima wadogo. Akizungumza na Madiwani pamoja na Halmashauri, Mtaka alisema: “Mtu analima mpunga, anapiga maombi mvua...
  4. Killing machine

    Je! Nini hatma ya mkulima na mazao yake Tanzania?

    Niki fikiria kuhusu gharama za kilimo na Bei zilizopo" nabaki najiuliza Nini maana ya kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu? Hebu fikilia.. Kukodi shamba ni pesa Kulima ni pesa Mbolea ni pesa Kupalilia ni pesa Kuvuna ni pesa Kutoa mazao shambani kwenda mjini ni pesa Tena ni tsh 1000...
  5. Mathayo Christopher

    Bei ya mbaazi haina tija kwa mkulima

    Ifike wakati serikali iweke bei elekezi kwa mazao yote kama inavyofanya kwa zao la korosho. Kwa jinsi bei ya mbaazi ilivyo kwa mwaka 2025 hakiwezi kupunguza umasikini wa kipato kwa kuwa bidhaa ghafi bei zake zipo chini ukilinganisha na bidhaa za madukani. Haiingii akilinini mkulima auze kilo 4...
  6. dorge

    Mkulima alivyomtamani mrembo aliyelimwa tayari

    Ni kawaida sisi wanaime kufuatlia Ili kujua yaliyomo yamo. Shida ni matokeo yake
  7. M

    PreGE2025 Mkulima aliyewaburuza mahakamani Mwigulu, Bashe ajitosa ubunge na ACT Wazalendo

    Mwanaharakati mashuhuri Kanda ya ziwa,Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu. Amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa chama hicho jimbo la Maswa...
  8. B

    Mkulima awahamasisha Wasukuma kumkabili Bashe anguko la bei ya Pamba

    MTANZANIA Mzalendo, Thomas Nkola maarufu Mkulima kutoka Kanda ya Ziwa ametoa wito kwa wakulima wote wa zao la Pamba kuandaa mashambulizi ya kumkataa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuua zao la Pamba kwa kumtuhumu kuwa ni mnunuzi mkubwa wa zao hilo akishirikiana na baadhi ya wabunge. Kupitia...
  9. itakiamo

    Sazi Agri solution ni mkombozi wa mkulima

    🔥SAZI AGRI SOLUTIONS! 🔥 🌿 SAZI Agri Solutions ni mshirika wako bora katika mapinduzi ya kilimo! Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya kilimo kwa teknolojia za kisasa na ubunifu wa hali ya juu. ✅ Ufungaji wa Mifumo Yote ya Umwagiliaji – Drip irrigation, sprinklers na mifumo mingine...
  10. KASHAMBURITA

    Unga wa mahindi/mahindi yanauzwa

    Habari za wakati huu … Mimi n mkulima mdogo mdogo nimefanikiwa kuvun mahindi tani kumi katika mkoa wa tanga na kufanikiwa kusafirisha dar es salaam nipo hapa kutafuta mteja wa mahindi au kama inawezekana mteja wa unga mana nina uwezekano wa kuyasaga….wako katika ujenzi wa taifa
  11. Just Pray

    RC Macha: Hekali moja ya pamba mkulima anapata kilo 250 hadi 300, lakini sasa hivi nahamasisha walime kisasa ili wapate kilo 1,200 kwa hekali

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, ameendelea na jitihada za kuhamasisha wakulima kulima kilimo cha kisasa cha pamba ili kuongeza mavuno na kuinua uchumi wa wakulima na taifa kwa ujumla. Akiwa shambani leo Februari 19, 2025, katika wilaya ya Shinyanga, RC Macha alisema kuwa ziara yake...
  12. Just Pray

    Mkulima akimbia baada ya kumuona DC, ni baada ya kupanda mahindi eneo lisiloruhusiwa kwa kilimo

    "Anajua hili eneo halitakiwi kufanywa shughuli za kilimo"- Remidius Mwema, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto ==== Mamlaka zilikuwa wapi mpaka mtu anaandaa shamba lenye ukubwa ambao hawezi kulianda kwa siku moja mpaka anapanda mahindi hadi yanaota ndiyo wanataka kuja kudhibiti, alikuwa akilima na kupanda...
  13. GoldDhahabu

    Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

    Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini Ikiwa Serikali...
  14. GoldDhahabu

    Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

    Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini Ikiwa Serikali...
  15. S

    Mkulima ahoji mtuhumiwa wa ufisadi kuzindua kampeni za CCM Shinyanga

    MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Shinyanga. Mjumbe huyo wa...
  16. Jerry Farms

    KERO Wizi wa rejareja afanyiwao mkulima katika manunuzi ya mbolea za Ruzuku kanda ya Ziwa

    Tunaomba wizara husika itutolee ufafanuzi juu ya bei ya ruzuku ya mbolea : Mfano sms hapo chini👇🏾👇🏾 Ndugu XXXXXX Na. ------- umenunua DAP - 50 KG idadi 1 Tsh76701.33 kwa [TFRA-06----1] Kama hutambui manunuzi haya piga namba: 0800110153/4 NOTE: Bei anayopewa mkulima ni hio 76,701.33 ila ki...
  17. Zee la madawa

    Freeman Mbowe mwanasiasa, mfanyabiashara na mkulima asiyeogopa hasara

    Baba wa ubatizo wa watoto wa Mzee Aikael Mbowe au Nyerere kumtuma Mzee Aikael Mbowe kwenda kutoa posa ya ndoa ya mtoto wake Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa Rukwa wa Sasa) kwa niaba yake Ingetarajiwa ukaribu wa Baba yako na viongozi wa nchi ungeathiri mlengo wa kisiasa kwa kutaka usaidiwe kuwa...
  18. Travis Kitengo

    Kumbe mkulima ni mwanalunyasi

    Yule mkulima wetu kumbe ni shabiki wa lunyasi
  19. Meneja Wa Makampuni

    Swamidwa Habidadi Mkulima Mwenye Ndoto Kubwa Kutoka Burkina Faso

    Swamidwa Habidadi ni kutoka Burkina Faso ambaye ni mkulima mwenye mafanikio makubwa. Alianza kilimo akiwa na umri mdogo wa miaka 16 baada ya wazazi wake kufariki dunia, na kwa sasa amejitolea kikamilifu katika shughuli za kilimo kuliko masomo yake. Aligawa shamba alilorithi kutoka kwa wazazi...
  20. H

    Mbolea madawa na mbegu ni tatizo Kwa mfugaji na mkulima

    Ni kweli serikali inataka kupiga hatua Kwa wananchi wake? Kama ni kweli ushauri wangu Kwa serikali yangu ijitazame katika mambo haya ya yafuatayo. Mbolea Kwa mkulima:ni wakati Sasa wa sekta ya kilimo kuwa wakali Kwa kuhakikisha mwananchi anapata mbolea ZeNye virutubisho sahihi na sio mbolea...
Back
Top Bottom