mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanza: Uwekezaji wa hoteli Mkubwa, gharama ndogo

    Hiki chumba kinapatikana ukanda wa maziwa makuu nchini Tanzania pembezoni mwa Ziwa Victoria jijini Mwanza na kinagharimu USD 70 takribani shs za kitanzania 150,000 kwa usiku mmoja tu, room hiyo ni kwa wageni wawili as mke na mume au mtu mmoja. Kulingana na uwekezaji aliofanya huyu mtu nahakisi...
  2. Kuna uhusiano mkubwa kati ya starehe za bei rahisi na kuongezeka kwa umasikini, the reverse is also true

    Hello bosses Hapa duniani nadhani moja ya kitu kibaya na chenye madhara makubwa ni umasikini, hasa hasa umasikini wa kiuchumi tukiweka pembeni ule wa kiakili. Umasikini ndio uongeza chuki kwenye jamii, husababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe na maswaibu kibao. Kuna vyanzo vingi vya umasikini...
  3. B

    Wangapi zamani waliamini Majaji ni watu wenye uwezo mkubwa lakini Sasa wanaanza kuamini kila mtu anaweza kuwa Jaji?

    Naona watu wengi mitandaoni wanajadili namna majaji wanavyopatikana. Watu wanahoji 1. Jaji anapatikana Kwa kupanda vyeo serikalini? 2. Wanapatikana Kwa UMAHIRI? 3. Wanatokana na perminmance nzuri kwenye private sector? 4. Wanatoakana na ukubwa wa GPA? 5. Wanatokana na mahusiano Yao na wanasiasa...
  4. B

    Kwanini viongozi na wanachama wa CCM hawashangilii ushindi mkubwa wanaoupata Serikali katika kesi ya Mbowe? Ukimya wao unamaanisha nini kwa Serikali?

    Yapo Mambo ukiyaangalia Kwa macho ya ROHONI unatambua Yana fumbo kubwa Sana. Mbowe ni mhalifu aliyekamatwa na serikali ya makini ya awamu ya sita,akafikishwa mahakamani, akasomewa mashtaka, akakana, serikali ikawasilisha ushahidi, ikapata upinzani mara mbili nakupelekea mahakama itoe hukumu...
  5. M

    Manara (Msemaji wa Yanga SC) acha Unafiki na Kujifanya mwema, halafu nani Kakudanganya kuwa Adui yako mkubwa Dauda ndiyo Mightier wa JF?

    hajismanara Jana nilipoona hii taarifa usiku ilinistua sana na kunifadhaisha mno, huwa najisikia shida nikiona mtu nimjuae akiingia ktk matatizo yoyote yale no matter what. Binadamu hatupaswi kufurahia pale mwenzetu anapopata mitihani au vitu kama hv, ingawa baadhi yetu tumekuwa na desturi ya...
  6. L

    China yatoa mchango mkubwa katika kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Na Fadhili Mpunji Katika miaka ya hivi karibuni sekta ya Tehama imekuwa na maendeleo makubwa katika nchi mbalimbali za Afrika, maendeleo ambayo si kama tu yamekuwa na manufaa kwenye mawasiliano, habari na utangazaji, bali pia yamekuwa na manufaa makubwa kwenye sekta za afya, elimu, biashara na...
  7. Vibonzo na ujumbe mkubwa ndani yake

    🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
  8. S

    Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

    Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspace muda mfupi uliopita. Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja. Swali: Mtu huyu ni nani?
  9. Ukweli usemwe, Rais Samia kaonesha uwezo mkubwa sana

    Salama? Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana. Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia. Rais Samia aliipokea...
  10. Jinsi Ya Kuwa Mwekezaji Kwenye Viwanja Na Majengo Mwenye Mafanikio Mkubwa Mwaka 2022

    Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba. Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio makubwa sana kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Sababu kuu ya wengi kushindwa kujenga utajiri...
  11. Mke na mume sio ndugu, lakini uhusiano wao ni mkubwa na una nguvu kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa

    Haya ni mawazo yangu. Mume na mke sio ndugu kabisa, ni Aina ya uhusiano wa kipekee kabisa,uhusiano wa Hawa watu wawili ni uhusiano wenye nguvu na mkubwa Sana kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa tumbo moja.kushinda uhusiano wa baba na mtoto,au marafiki wawili. Lakini pamoja na uzito wa...
  12. Tanzania iliwaza vyema, umeme mkubwa uliopita sokoni umeua watu 26 Kongo

    Nchini Tanzania hairuhusiwi kujenga au kufanya shughuli chini ya miundombinu ya umeme inayobeba umeme mkubwa(High voltage). Wachache wanaelewa lengo, wengine wakijaribu kuishi chini ya njia hizo na mara kadhaa tumeshuhudia bomoa bomoa. Pia TANESCO wakijenga njia mpya wako radhi kulipa fidia...
  13. Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

    Mpasuko mkubwa umeukumba uongozi wa Chadema Mbeya mjini na hii ni dalili kuwa hawako kwenye good terms. Sijui lini watafika mbali =========== Mchungaji Msigwa: Tumeuvunja uongozi wa jimbo la Mbeya mjini na tunawapa mkoa siku tatu kwa mujibu wa katiba kama nilivyosema kuunda timu(Task force)...
  14. B

    Makomando na askari wa karne hii ni watu wenye nguvu za mwili au wanapaswa kuwa watu wenye upeo mkubwa wa kufahamu mambo(IQ kubwa)?

    Wakati tunapita JKT miaka 80+ kigezo Cha uaskari kilipimwa Kwa mambo yafuatayo; 1. Urefu 2. Mwonekano wa umbo 3. Uwezo wa kupiga paredi 4. Smartness Kwa maana ya unadhifu wa mavazi. 5. Unoko Watu wenye sifa zilizoelezwa hapo juu bila kujali uwezo wao wa kufikiri,kupambanua mambo na kufanya...
  15. Mgogoro mkubwa baina ya Serikali na wananchi waishio ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Wasalaam kutoka Ngorongoro. JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali... Nawandikia hivi ikiwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Ngorongoro ikihusishwa na nia ya Serikali kutaka kuwaondoa wananchi hao...
  16. Maafisa wa serikali wanapowajibishwa, na misingi ya kidemokrasia inapoheshimiwa kuna uwezekano mkubwa wa huduma za umma kuboreshwa

    Kwa maana ya jumla, kwa watu wengi duniani, demokrasia maana yake ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008: 20-21). Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na kuwasilisha hoja zao...
  17. Arusha: Wananchi walia na ushuru mkubwa wa Taka

    Wananchi mkoani hapa wamekuwa wakilalamika ushuru wa kiasi cha sh. elf mbili kwa mwezi wanaotozwa kwa ajili ya taka kwa madai kuwa ushuru huo ni mkubwa tofauti na taka wanazozalisha majumbani. Baadhi ya wananchi hao wamesema kuwa kwa maisha ya kawaida wanakoishi majumbani wengi hawazalishi...
  18. Dkt. Tulia Ackson alilenga nini kupotosha kuwa mhimili mmoja ni mkubwa kuliko miingine? Alijikosha, alijipendekeza?

    Kila nikijaribu kukumbuka na kutafakari zaidi kuhusu kauli za huyu Mama alizozitoa mbele ya Rais wa JMT kuwa mihimili yote haiko sawa, kwamba mhimili wa dola ni mkubwa zaidi kuliko miingine. Hii kauli binafsi naichukulia kua ni ya kujikosha na kujipendekeza, si kauli ya kutamka kwenye media...
  19. K

    Kuna uhaba mkubwa sana wa Serengeti lager maeneo ya Kimara na Mbezi Luis

    Wakuu Ni wiki ya pili sasa kila nikitaka kupiga serengeti lager kwenye bar nyingi za Kimara na Mbezi Luisi naambiwa hamna. Wahusika jitafakarini.
  20. B

    Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…