mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Muhimbili waanza kutoa huduma kupunguza uzito, watatu wenye kilo 100+ wamepata huduma kwa Sh milioni 3.5 hadi 4

    HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam, imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Hadi sasa watu watatu wenye uzito zaidi ya kilogramu 100 wamepata huduma hiyo inayogharimu kiasi cha Sh milioni...
  2. Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Wamorocco, leo tunamtumia Kylian Mbappe

    Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli, kwa sababu ya urafiki wao tumejengewa msikiti wa Kinondoni na tumeahidiwa kujengewa uwanja wa mpira jijini Dodoma. Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika nusu finali ya Kombe la...
  3. Mika Mwamba ndiye Producer mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza beats kali kuwahi kutokea kwenye historia ya Bongofleva

    Jina lake ni Miikka Kari, Hapo kwenye Kari alibadili iwe kwa kiswahili na tafsiri yake ni Mwamba, hivyo aliamua kujiita Miikka Mwamba ila wengi tukaizoea Mika Mwamba Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee...
  4. Ni kipi humfanya mtu kupata GPA ndogo chuoni? Kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi ana uwezo mkubwa?

    Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8. Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi. Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo. Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
  5. Dani Alves kuweka rekodi ya nahodha mkubwa zaidi wa Brazil katika Kombe la Dunia

    Beki huyo anatarajiwa kuiongozi timu yake ya taifa katika mchezo wa kukamilisha Hatua ya Makundi dhidi ya Cameroon, leo Desemba 2, 2022. Alves (39), beki wa kulia ambaye anaichezea UNAM Pumas ya Mexico atapewa nafasi hiyo kwa kuwa tayari timu yake imeshakata tiketi ya kucheza Hatua ya 16 Bora...
  6. Kwa Umafia huu mkubwa wa FA ya Mbeya, Ihefu FC wakisaidiwa na Watu wa Simba SC 'Unbeaten Record' ingeisha tu leo

    Kwa Kawaida Makomandoo wa Yanga SC na hasa Mganga wao Hatari hupenda Kutangulia (Kuwahi) Mkoa ambao Yanga SC inacheza kisha wanaanza Kuufanyia Umafia na Uchawi (Ndumba) Uwanja ambao Utachezewa. Hivyo basi baada ya FA ya Mkoa wa Mbeya (hasa Kiongozi wao Mmoja mwana Simba SC) Kugundua Janja ya...
  7. Mlima mkubwa zaidi duniani wa Volcano walipuka huko Hawaii

    Mlima wa volcano mkubwa zaidi duniani, Mauna Loa wa Hawaii, umelipuka kwa mara ya kwanza baada ya takriban miaka 40. Huduma ya Jiolojia ya Marekani (USGS) imeonya hali ya mazingira na hewa inaweza kubadilika haraka kuwa ya hatari kwa haraka sana. =================== Mauna Loa, the largest...
  8. Mashabiki lia lia wa Tanzania ndo wanaharibu mpira

    Mfano mdogo tu, mashabiki wa Yanga wiki tatu zilizopita kabla ya kufuzu confederation cup walikuwa tayari wameshamkataa Nabi, na wengi wao walikuwa tayari Nabi angefukuzwa just kama angeshindwa kufuzi. Leo hii Yanga imefuzi wametulia kabisa wanafurahia pia na matokeo wanayopata sasa, hawana...
  9. Pongezi kwa Diamond Anayejijua kimziki kashuka na kuhamisha juhudi zake aje kuwa mfanya biashara mkubwa bilionea

    Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea. Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi kabisa zama zimebadilika na muda umeenda, badala ya kuendelea kulazimisha game kwa nguvu ameona ni...
  10. Zitto Kabwe: Kuna Mvutano Mkubwa kati ya Wakulima na wafugaji Mkoani Lindi na Tunduru

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa kuna mvutano mkubwa baina ya wakulima na wafugaji mkoani Lindi na Wilaya ya Tunduru kwa kile alichobainisha kuwa ni kukosekana kwa mipango ya matumizi sahihi ya ardhi kama ilivyokusudiwa. Kupitia chapisho lake aliloweka kwenye...
  11. THE POWER GAME: Ni ukanda upi hapa Tanzania wanaongoza kwa uwezo mkubwa wa kucontroll power?

    The power Game, Anaeweza kushika madaraka ndie yupo juu zaidi, Mfano kwa Nigeria kanda ya kaskazini wapo nyuma kielimu na kibiashara lakini linapokuja suala la Power wao ndio wameikamta na kuweza kuitumia kuwa juu ya kanda ya kusini mashariki walioshika biashara za nchi na kanda ya kusini...
  12. Tujiandae kisaikolojia upo uwezekano mkubwa wa mafuta ya diseli kupanda bei baada ya Saudi arabia kutangaza kukaribia kuishiwa mafuta

    “Today there is spare capacity that is extremely low,” Saudi Aramco CEO Amin Nasser says at a conference in London. “If China opens up, [the] economy starts improving or the aviation industry starts asking for more jet fuel, you will erode this spare capacity.” Nasser warns that oil prices...
  13. Ewe Kiongozi Mkubwa Mstaafu Tanzania acha kutaka kuendelea Kumpandikiza Mwenyekiti Murtaza Mangungu ndani ya Simba SC yetu

    Tunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu. Tunajua Ahadi uliyompa ni kumpigia Chapuo kwa Mama Ili amteue Nafasi ya Ubunge au katika Sekta zingine za Ulaji na Kimaamuzi...
  14. Kaka mkubwa USA awa mpatanishi wa majirani wa Urusi waliokuwa wananyukana

    Kwa sasa Urusi hana ushawishi wowote ukanda huo, hiyo ni baada ya kuvurugwa na kataifa kadogo Ukraine.... The US-organized peace talks between Armenia and Azerbaijan in Washington come only a week after a summit hosted by Russian President Vladimir Putin in Moscow. The foreign ministers of...
  15. Ajali ya Precision Air: Wanasheria wa LEAT wameonesha njia, TLS wamelala kama pono!

    1) NAWASHUKURU SANA Wanasheria wa LEAT (Lawyers' Environmental Action Team) kwa hii Taarifa yao kwa Umma (ya tarehe 07.11.2022) iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa LEAT, Dr. Rugemeleza A. K. Nshala. Hii ni kufuatia Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotumbukia majini jana asubuhi huko...
  16. Kwanini lawama zangu zote kwa huu ukame mkubwa unaoenda kuikumba Tanzania nazipeleka kwa Rais na Makamu wake?

    Rais wa Tanzania Samia Laiti wewe na serikali yako mngetengeza urahisi wa upatikanaji wa nishati mbadala (hasa matumizi ya gesi) kwa kuifanya ipatikane kwa bei nafuu mno, sidhani kama 95% ya Watanzania wangeendelea kuharibu misitu ili wapate kuni/Mkaa wa kupikia. Hali ambayo imesababisha sasa...
  17. Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

    Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka baada ya kuapishwa ndiyo ukajua kumbe umeingizwa chaka, na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, kwa haraka ni kwamba kuna mambo umetofautiana na akina Mdee. Kwa umri wako ili kutengeneza tena heshima yako na imani kwa watu wengi basi jiuzulu huo...
  18. Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

    Mikataba
  19. Kumbe shemeji mtamu namna hii, basi nina mtihani mkubwa huko mbeleni

    Za mida hii wakuu, Yan week 2 zilizopita nimejitahidi kukwepa vishawishi na mitego ya huyu binti, lakini leo nimefika mwisho. Last night alinipigia simu akidai kuwa anaumwa niende nikamuone, basi mimi leo nilipotoka kwenye shughuli za kutafuta riziki nikatia mguu kwa shemeji kumjulia hali...
  20. Hospitali za Tanzania zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa Damu

    Tanzania bado inakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu salama hospitalini huku wataalamu wakitoa wito kwa taasisi binafsi na za umma kuongeza kasi ya uchangiaji damu kwa hiari ili kubadili wimbi hilo. Wataalamu waliokusanyika wakati wa hafla ya kuchangia damu iliyoandaliwa na wafanyakazi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…