mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Mabegi yaliyojaa fedha zikiwemo CFA franc, dola na euro yameripotiwa kukutwa katika nyumba ya msaidizi wa Nourredine Bongo, mtoto mkubwa wa kiume wa R

    Angalia mwenyewe hizo fedha zilivyo nyingi kuna CFA franc, dola na euro zimo nyumbani kwa mtoto wa kiongozi wa Rais Ali Bongo aliyepinduliwa.
  2. TPA: Tutajenga Uwanja Mkubwa wa Kisasa wa Mpira wa Michezo hapa Kizimkazi

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar. Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

    Kadiri ya joto la kisiasa linavyopanda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao. Nia...
  4. Uhuni hauwezi kumsaidia Fei Toto kuwa mchezaji mkubwa

    Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele. Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye...
  5. Wanao wa 'La Watu Nchini' wanalalamika kukatwa 'Mawokoto' yao ya July - August bila Utaratibu na Kujulishwa

    Ngoja GENTAMYCINE niendelee kukagua Nguo zangu Makabatini kama kuna ambazo zinafanana nao, ili Hasira zao za Kupunjwa kwa 'Mawokoto' yao Kiholela zisije Kuniangukia na nikajuta Karibuni Ukumbini Kwao MZIZIMA SERVICE PARK Cow Way ili tutizame Mpira pamoja katika Screen yao Kubwa ya Tambara Kuu...
  6. Miradi ya uchimbaji mkubwa wa madini ambayo Serikali ina hisa, imechangia mapato ya Serikali ya jumla ya Shilingi Trilioni 1.53

    MIGODI MIKUBWA YENYE UBIA NA SERIKALI YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 1.53 KUFIKIA JUNI, 2023 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu Katibu Mkuu Mahimbali aeleza Mipango Kabambe kuendeleza Sekta ya Madini, aeleza Miradi Mingine Mbioni kupewa Leseni Dodoma...
  7. Bandari ya Urusi yashambuliwa, inawaka moto mkubwa

    Ni muendelezo wa kumpa Mrusi kibano, kumgeuzia kichapo, sasa hivi ndiye anapokea, kaanzisha...wenzake wanamaliza....na alishatoa mkwara kwamba akiguswa ndani atafanya kitu, sasa Ukraine wanajipigia opote kuanzia ikulu hadi bandarini...... https://t.me/shot_shot/55761 A huge fire covering at...
  8. Ile sehemu wanayouza mikate Iringa imewezaje kupata umaarufu mkubwa tangu zamani kwa wanaosafiri safari ndefu hasa wenye magari binafsi

    Ni sehemu flani ipo Iringa umbali mfupi kabla ya njia ya barabara ile inayopanda kwenda mjini, wenye magari binafsi hasa waliotokea Dar, Moro, Dodoma wakifika hio sehem husimama kwenda kununua mikate. Hata kuna kipindi mwaka huu nilipita hapo walihamia kwa mbele kidogo, moja wetu hakutaka...
  9. Wakili Mwabukusi amevunja rekodi za viongozi wote kutetea mali za umma, atalipwa wema hadi kizazi chake cha mwisho

    Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu. Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha sasa kupinga mipango ya familia za watu wachache Serikalini kuuza mali asili za watanzania wote...
  10. Upotoshaji mkubwa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, naleta uthibitisho

    Kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zinasambaa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, nimefanya uchunguzi binafsi kuangalia ukweli kuhusu tuhuma hizi na nimejiaminisha kuwa penati alizodaka na hata ile ambayo Aziz Ki alifunga, at least mguu mmoja wa Ally Salim bado ulikuwa umekanyaga...
  11. Kwanini historia ya dunia inaonyesha watu wa visiwani huwa wana uwezo mkubwa wa utawala kuliko watu wa bara?

    mfano 1: JAPAN Ilikuwa na uwezo mkubwa na ikatawala kuanzia China, Korea, na viunga vyote vya maeneo jirani na nchi hizo. Hakuna aliyefurukuta. 2: Watu wa Visiwa vya uingereza, enzi zao walitawala karibu dunia nzima. Hadi kukawa na msemo, Uingereza jua halizami, wakimaanisha likizama huku hata...
  12. K

    Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

    Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Mimi kwa Sasa nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53). Niliajiriwa kwenye kampuni moja wakati huo nikiwa na miaka Ishirini na sita (26). Tukiwa vijana na rafiki zangu tulifurahia sana maisha na kampuni yenyewe ilikuwa inalipa vizuri sana...
  13. P

    Watu weusi ndani ya biblia hawakuwa watumwa bali watu wenye ushawishi mkubwa

    1: Mwanamke Zipora Alikuwa mke wa kiongozi bora wa taifa la kiyahudi, Musa. Alikuwa mweusi. Ushauri wake uliongeza ufanisi wa wayahudi. Baba yake Alikuwa na akili kuliko Musa. Yeye ndiye alimfundisha ugatuzi wa madaraka Musa na Mungu akamwambia Musa aufuate asiupotezee ushauri wa baba mkwe.. 2...
  14. Daraja la Crimea laghubikwa na moshi mkubwa

    Kugusa hili daraja huwa kama umegusa nafsi ya Putin, na ndio mojawapo wa sababu Ukraine huwa wanalipiga shaba sana..... Video shared on social media on Saturday shows smoke coming from the Kerch Bridge linking Moscow-occupied Crimea with Russia's mainland. The bridge has been the scene of...
  15. Moscow, Urusi ndani kunawaka moto mkubwa baada milipuko,

    Muendelezo wa alichoahidi Zelensky, Moscow wakae mkao wa kupokea salamu za madude yanayopaa juu yao.... August 10, 20233:54 AM GMT+3Updated 9 hours ago Aug 10 (Reuters) - Russia's emergency service said early on Thursday that an auto repair shop caught fire in Domodedovo outside Moscow...
  16. L

    Filamu ya katuni ya Kichina “Chang An” yajizolea umaarufu mkubwa wakati Wachina wakiendelea kuwa na imani na tamadauni zao

    Katika majira ya joto ya mwaka huu, filamu ya katuni ya kichina “Chang An” (mji mkuu wa taifa la China katika enzi ya Tang) imejizolea umaarufu mkubwa. Ndani ya mwezi mmoja na zaidi tangu ilipoonyeshwa, filamu hiyo imepata yuan bilioni 1.6, na kuifanya kushika nafasi ya pili kwenye mauzo ya...
  17. U

    Najitolea kwa hiari na upendo mkubwa kumpigia kampeni Rais Samia aendelee kuongoza awamu ijayo

    Ndiyo ndugu zangu Watanzania, naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti mbele yenu. Ni kwa sababu za kiuzalendo, upendo wadhati, hekima niliyonayo, uelewa mkubwa nilionao, na kutambua Mchango, uwezo na weledi mkubwa mkubwa alionao Rais wetu mpendwa Najitolea kumpigia kampeni Mama Samia aendelee...
  18. Robertinho ni kama ameingia kwenye mtego mkubwa sana Simba

    Ukijaribu kuangalia sajili za simba nadiriki kusema kwamba angalau wako vizuri japo nadhani walikua wanahitaji angalau wapate beki mmoja ambaye anaweza kumpa changamoto Inonga. Nasema hivyo kwasababu, viongozi wa simba wamesajili kwa maelekezo ya kocha. Ukiangalia kikosi chao asilimia kubwa...
  19. DOKEZO Simiyu: Kuna uhaba mkubwa wa mafuta ya Petroli kwenye Wilaya ya Bariadi

    Katika Mji wa Bariadi Makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, mapema Leo Asubuhi kumekumbwa na Changamoto ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli. Nimetembelea vituo vya Mafuta 8 ambavyo vimekuwa vikitoa huduma ya mafuta ambapo vituo vyote 7 havina Mafuta huku kituo kimoja tu Total Energies ndicho chenye...
  20. Mkutano mkubwa injili kutoka kwa Mhubiri Maarufu wa Kenya Nabii Ezekiel Odero uliokuwa ukiendelea wapigwa stop na Serikali

    Mkutano mkubwa wa Injili uliokuwa ukiendelea katika viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro jijini Arusha na Mhubiri maarufu toka Kenya Nabii Ezekiel Odero umepigwa marufuku na serikali mchana huu. Wakiwa katikati ya mahubiri ghafla ilitangazwa kuwa ni marufuku kuendelea na maombi hayo jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…