mkopo

  1. Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Nina shida ya million 5 ni mtumishi wa umma nawezaj kupata mkopo na utaratibu upoje.Napokea laki 5
  2. Application ya mikopo ya ukopeshaji imegonga mwamba, sijui nilipe huu mkopo au niingie mitini?

    Habari zenu wana JF, Niende moja kwa moja kwenye mada hii tata; Ipo hivi, mwanzoni mwa mwezi Septemba nilichacha sana kifedha ikabidi nifanye re-installation ya App moja ya mikopo na kuchukua kiasi cha Sh 200,000. Baada ya hapo update ikaja kuwa mkopo ulipwe ndani ya siku saba ilhali mwanzo...
  3. Simu za Mkopo: Unalipia karibu simu mbili

    Wakuu, Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash. Mteja anakopa Samsung Galaxy A15 (kwa cash ni Tshs 450K) tuseme kwa mwaka. Kila siku anakatwa Tshs 2200...
  4. Car4Sale TOYOTA IST yenye sport rim za kuombea mkopo inauzwa

    Bei/Price TSH 16.8M Call+255 747 999 927 TOYOTA iSt Year: 2002 Engine: 1,490Cc Mileage: 99,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  5. GE2025 Rais Mwinyi: Tuna akaunti maalum ya kulipa madeni, nitaondoka madarakani sitaacha deni hata la Senti 5

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira yake ni kuhakikisha kuwa atakapoondoka madarakani hatoacha deni lolote ambalo serikali imelikopa. Amesema hilo litawezekana kutokana na serikali kufanikiwa kuweka mfumo wa kulipa madeni ya serikali kwa...
  6. I

    Airtel simu ya mkopo "Wanataka kutapeli"

    Habarini!, kuna ndugu yangu alichukua simu airtel kwa mkopo...simu yake ilipata hitilafu kidogo na akawarudishia ili waitengeneze...wakamuahidi baada ya wiki 3 watamrudishia...akalipa gharama ya matengenezo huku akiendelea kulipa malipo ya siku...mwezi wa pili sasa yaani ana wiki 6 sasa...
  7. Kobbie Mainoo ameijulisha Manchester United kuwa anataka kuondoka kwa mkopo

    Kiungo Kobbie Mainoo (20) ameijulisha Klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka kwa mkopo kabla ya Dirisha la Usajili halijafungwa Septemba 1, 2025. Amecheza mechi 16 kati ya 45 ambazo zimesimamiwa na Kocha Ruben Amorim. Newcastle United inadaiwa kukubali kulipa Pauni Milioni 69 ili...
  8. Unaweza kukisia hisia wanazopitia watu walionunua magari kwa mkopo

    Ujue unapomiliki usafiri wish kubwa ni kuona chombo chako kiwe chuma cha kazi kila kitu kiwe on point kuanzia muonekano mpaka performance hapo unavimba popote kuanzia kwa wahuni mpaka watoto wazuri. Kilichonitokea leo kimenifanya niwaze kuhusu ndugu zetu wanaomiliki ndinga kupitia mikopo the...
  9. DOKEZO Wale wa mkopo ESS usijichanganye kuchukua mkopo Azania benki

    Hii benki imenirudisha enzi za ujima na analogy tulipokuwa tunasubiri mkopo wiki mbili mpaka tatu,yaani naenda siku ya tano, kila sehemu umetishwa na makato yameingizwa ila wao hawataki kunipa hela, watumishi wenzangu siku hizi mkopo unaweza kupata hata ndani ya masaa manne ilimradi wapitishaji...
  10. C

    Pata Mkopo wa Kusoma USA na Canada

    Habari Kwa wale wanaohitaji kwenda kusoma USA na Canada kuanzia Masters na Kuendelea Unaweza kutimiza ndoto zako kwa kupata mkopo kupitia Taasisi za kimataifa zinazotoa mikopo No collateral No Cosigner Unaweza apply via this link https://app.mpowerfinancing.com/?ref_code=azizjxiz Best...
  11. Zaituni Tembo: Kweli hatujawalipa Wakulima wa Tumbaku, kwa sasa tuna Bima ya Mkopo kutoka Benki ya NMB

    Meneja wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Zaituni Tembo amekiri kuwa hawajafanya malipo kwa Wakulima wa zao la Tumbaku ambao walijitokeza na kulalamikia chama hicho kuhusu kutowalipa kisha wakatuma ujumbe kwa Waziri wa Kilimo kuwa aliagiza walipwe lakini...
  12. RITA mnakwamisha zoezi la kuapply mkopo elimu ya juu

    Kuna sababu gani yakutumia wiki nzima au wiki mbili kabisa kufanya verification ya cheti cha kuzaliwa? Kwamba muombaji asubiri hadi hizo wili mbili au moja ndio aendelee kufanya application kweli? Huu ni uzembe mkubwa. Wadau ninyi mmefanikiwa kuverify vyeti vya kuzaliwa? Toka tarehe 2 hadi leo...
  13. M

    Msaada kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB

    Kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB kama majina ya mama yaliyopo kwenye cheti cha mtoto Cha kuzaliwa ni tofauti na majina yake yaliyopo kwenye kitambulisho chake kuzaliwa ni tofauti na majina yaliyopo kwenye kitambulisho chake cha taifa na hana cheti cha kuzaliwa inachukuliwa hatua gani hapo na...
  14. Usithubutu kuomba mkopo Bank of Africa (BOA)

    usije sema sikusema, jamaa yangu kaa aplai loan alikua na immediate cause kwenye mfumo wao ,mpaka sasa wiki imepita kwenye mfumo wao inasoma complete disbursed ila kwenye account hakuna pesa imeingia ,akiwapigia hawatoi ushirikiano wowotee.
  15. Kwa wanaofahamu changamoto za Tv za mkopo ni zipi?

    Kwa wale wanaofahamu au waliowahi kuchukua tv ya mkopo na kulipa kidogo kidogo kila mwezi, Je changamoto ni zipi? Pia vipi kuhusu Tv ya Vitron? Mbona zinauzwa cheap sana? Kuna anayefahamu?
  16. Waswahili wanatabia ya kubeza maendeleo ya watu , utasikia gari lenyewe / nyumba ya mkopo

    Waswahili huwa hawa appreciate / kupongeza hatua ya mtu ya maendeleo anayopiga utasikia tu wanakosoa nyumba/ gari yenyewe ya mkopo . ingekuwa kukopa ni rahisi kila mtu angekopa .ukiona mtu bank imemuamini kumkopesha ujue huyo anasifa za kukopesheka , anayesema hivyo yeye hata sifa ya...
  17. Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara

    Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara
  18. D

    PBZ wananizingua; Kuna benki yoyote inayotoa mkopo 'online' (katika ESS) ndani ya siku mbili niwakimbie hawa?!!!

    Inakaribia wiki ya tatu Sasa nahangaika na hawa tu bila mafanikio. Mara huyo fsp (financial service provider) ali'reject' na kunitaka niongeze miezi (wakati mfumo umekubali). Nafanya hivyo anareject tena ananitaka nipunguze miezi. Mnyonge Hana kususa, narekebisha na kufanya alichosema hii Sasa...
  19. C

    Naomba MKOPO WA 13M kwa Mtu Binafsi

    Msaada ndugu zangu, naomba mtu binafsi mwenye uwezo wa kunikopesha 13m kaa riba atakayoitaka yeye naomba anisaidie. TUtakopeshana kisheria,mahakama, na taratibu zote tutafata. Nina Shida ya DHARULA naomba msaaada nina DHAMANA kadhaa za mali zisizo hamishika. Naomba msaada Tafadhali. Alie...
  20. K

    Mkopo

    Kwa mtumishi ambae amewahi kukopa kwenye Bank ya stanibac atupe uzoefu. Nimetuma maombi ya mkopo leo ni wiki ya pili hamna kitu. Kila ukienda majibu hayaridhi. Je ndo kusema hawana pesa ndio maana wanafanya hivyo au ndio utaratibu wao. Au huwa inachukua muda gani mpk ukapata pesa uliyoomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…