mkopo

  1. Mkopo lazima iwepo biashara?

    Wakuu kheri ya sikukuu ya kuzaliwa KWA Yesu? Assalam aleyko? Nilikuwa naomba kuuliza kama upo na asset unaweza kwenda kuomba mkopo KWA ajili ya biashara au ni lazima iwepo biashara ambayo ipo? Na kama ni lazima iwepo biashara kuna alternative yoyote unaweza para mkopo kwa asset uliyonayo KWA...
  2. MSAADA: Kila nikijaribu kujiunga Hazina Portal ili niombe mkopo inagoma, nifanyeje?

    Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal. Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine. Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail. Nitaweka interface hapa kurahisisha. Kwa ambaye amefanya hii kitu akafanikiwa please help Link ni...
  3. N

    African Development Bank yaidhinisha mkopo wa zaidi ya trilioni 1.4 kujenga reli itakayounganisha Burundi na Tanzania

    Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya Tanzania-Burundi- DR Congo Standard Gauge (SGR). Awamu hii itashuhudia ujenzi wa kilomita 651 za reli ya njia...
  4. Benki ya AfDB yaidhinisha Mkopo wa Tsh. Bilioni 165.6 kwaajili ya kusaidia Benki ya Kilimo Tanzania (TADB)

    Mkopo huo umeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kwaajili ya kuiongezea uwezo Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Kwa mujibu taarifa ya AfDB, Benki ya TADB itapokea nyongeza ya Tsh. Bilioni 3 kwaajili ya kuwezesha awamu ya pili ya Mpango wa Kusaidia...
  5. Mkopo wa asset financing - benki ipi inafaa?

    Ninahitaji kununua mashine kwa ajili ya biashara na gharama yake ni kama dola 17,500/= Kama 43.7 Milioni Ni benki gani inafaa kuomba kiasi hicho? 1. Nimesikia kuhusu kuitumia mashine Kama dhamana hili likoje? 2. Riba na marejesho kwa mwezi yatakuwaje? Kama mkopo ukiwa miaka 3? Naomba ushauri...
  6. India yaonesha nia ya kupata Duma kutoka Kenya, siku chache baada ya kuipa mkopo wa Ksh. Bilioni 38

    Serikali ya India imeonyesha nia ya kupata duma kutoka Kenya wakati wa ziara ya Kiserikali ya Rais William Ruto katika taifa hilo la Asia. Kama ilivyoripotiwa na The Indian Express, Wizara ya Mazingira ya India tayari imewasilisha pendekezo hilo lakini maelezo kuhusu idadi ya duma walioombwa...
  7. M

    Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    Habari za asubuhi wadau. Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90. Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
  8. Msaada kuondoa kulipa simu ya mkopo

    nimechukua simu ya mkopo nmeshindwa kulipia nataka kuendelea kutumia msaada tafadhari
  9. S

    Afisa mikopo Hazina Portal ni tatizo kwa wanufaika

    Hivi karibuni Serikali ilitoa mkopo kwa watumishi wake kupitia hazina portal, lengo likiwa kununua vyombo vya usafiri. Mkopo huu umekuwa kikwazo kwa walengwa waliotumaini kufunga mwaka na usafiri wao na kuacha na njia au harakati zingine ambazo zingewasaidia kutimiza malengo hayo kwani mkopo...
  10. C

    Nauza simu ya mkopo

    Ndugu zangu Nina simu nauza ila ni ya mkopo. Imebakiza miezi mitatu kumaliza. Ni Infinix smart 7+. Nina dharura na Sina kitu kingine Cha ziada. Anaeweza kunisaidia kuinunua naomba tuwasiliane please.
  11. M

    Vigezo vya kupata Mkopo CRDB Benki

    Habari za asubuhi Wanajf! Bila kipoteza muda,naombeni kujua ni vigezo gani vitaniwezesha kupata mkopo wa Biashara CRDB Benki. NB: Ni mara ya kwanza na naona kwenda Tawini ni changamoto nipo Shambani
  12. Ubabaishaji wa Benki ya NBC kwenye kutoa mikopo

    Bank ya NBC ni wababaishaji sana kuhusu utoaji wa mikopo. Sijui tatizo ni nini? Mtu anaomba mkopo taratibu zote zimesha kamilika mpaka makato tayari lakini hawaingizi mkopo. Kuna jamaa ameomba mkopo NBC yapata mwezi sasa umekwisha mkopo hawaingizi na anakatwa. Amefatilia kwa Afisa Mikopo...
  13. S

    Nani mwenye ushahidi au mfano wa BOT kuchukua hatua kwa watu binafsi na Taasisi zinazoto mkopo bila kuzingatia sheria ya huduma ndogo xa fedha?

    HIili swala la mikopo uumiza mitaani na na kwa njia ya online, limegeuka kilio na maumivu kwa watu wengi na ushahidi ni kuongezeka kwa nyuzi(thread) kuhusu mikopo umiza hapa hspa JamiiForums. Malalamiko haya hayajaanza leo, jana wala juzi, bali ni ya muda mrefu na bahati nzuri serikali ikaja na...
  14. Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

    Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? 1.Cha form 4 2.Cheti cha kuzaliwa 3.Leseni ya udereva iliyo ndani ya muda 4.Cheti cha diploma chuo cha biashara CBE 5.Cheti cha degree chuo cha uhasibu TIA Vyote ni Original kabisa, na ni vyakwangu...
  15. H

    Changamoto zipi umeziona kwenye kukata rufaa ya mkopo ambazo unahitaji majibu

    Habari wanajf Kuna baadhi ya changamoto hii ya kuandikiwakwenye allocation index no xxx not found imewakuta watu wengi ina maana gani?
  16. P

    Msaada wa kukata rukaa Bodi ya Mikopo 2023

    Naomba kuuliza je page ya kusaini ya kuapeal inatakiwa kusainiwa na muhusika bila ushibitisho wa mamlaka flani ka mahakama, mwenyekiti au mtendaji. Msaada tafadhali
  17. B

    Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  18. Ogopa Mkopo wa simu Airtel ikishirikiana na Watu Credit, wamsababishia baba shida

    Wakati Baba anahudumiwa, aliambiwa atarejesha Tsh. 13, 600/= kwa wiki. Lakini Baba ametumiwa mkataba kwa njia ya mtandao, alipoufungua amekuta amesainiwa fomu yenye makato ya Tsh.14,300/= kwa wiki, tofauti na aliyofahamishwa, na mkataba haubadilishiki. Imekula kwa Baba.
  19. A

    DOKEZO Wanafunzi wa Muhimbili tulioomba mkopo kwa Diploma hatujapata, HESLB wapo kimya na Udahili unafungwa wiki ijayo

    Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka. Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi. Muhimbili (MUHAS) tunaojiunga au tunaotarajiwa kujiunga katika masomo ya Shahada ya Kwanza kutokea Ngazi...
  20. Msaada: Jinsi ya kuangalia Mkopo wa HESLB

    Naombeni msaada jinsi ya kuangalia mkopo wa HESLB.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…