Huu ni uonevu na unyonyaji

HONEST HATIBU

Member
Aug 19, 2020
23
48
HESLB Tanzania tunaomba muwe mnawaelimisha hawa wabunge wetu vigezo mnavyotumia kuwapa wanafunzi mikopo maana mpaka mwanafunzi anapewa hela ya kujikimu ina maana hata kwao wana mazingira magumu hawataweza kumpa pesa ya kujikimu

Angejua wanafunzi wanachopitia hata hyo boom haitoshi asingeongea, asichukue sample space ya watu wachache anaowaona halafu akaongelea wote

Wanafunzi wanateseka sana huko chuoni isitoshe boom zenyewe mnawatapel bado mnawasema

Hivi vijana wa nchi hii wamewakosea kitu gani jamani

Ifike mahali muwe na uchungu wa vijana waliopo nchini jamani kaaa
1715287838052.jpg
 
Back
Top Bottom