mkononi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Tazama picha ya putin akiwa amelala mkononi akiwa na picha ya Ayatolla

    Daaaa hi I vibonzo
  2. L

    PICHA: Rais Samia Akiwa Na Pistol Mkononi Akiwa Ameishika Kikakamavu na Kikomandoo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama. Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa...
  3. Mohamed Said

    Ali Saleh Alberto alipoingia maktaba na kitabu mkononi - Zanzibari hustler

    ALBERTO ATEMBELEA MAKTABA NA KITABU "ZANZIBARI HUSTLER" MKONONI Mbele ya Ali Saleh mimi sinyanyui kalamu yangu kuandika kitu. Isome kalamu inayokata kama wembe mpya: "Leo nilifika kwa mwana historia na mwandishi maarufu na sahiba wangu Sk Muhammed Said mjini Dar. Pamoja na mazumgumzo maana...
  4. Rungwe88

    Kijana mpambanaji, hatma yako ipo mkononi mwako

    Nitaandika kwa kifupi sana hii mada. Kuna vijana wanajitafuta kutoka kiuchumi ili kukizi mahitaji muhimu kama chakula, malazi(nyumba), na mavazi kwake binafsi, familia, ndugu n k. Sasa yameongezeka mahitaji muhimu mengine kama gari, simu za gharama n.k Sasa kijana mpambanaji hakuna kazi...
  5. Multi-skilled

    Ushauri wa Bure: Usinunue gari hizi mkononi

    Ewe mtanzania mwenye kuhitaji gari BAJETI NDOGO ya mkononi kwa mtu kwa ushauri usijaribu kununua gari mkononi mwa mtanzania mwenzako isipokuwa kwa gari zifuatazo. 1. Toyota premio, Toyota allion, Toyota corolla x, corona premio, Axio, Toyota carina ( Mafundi tele, spare tele na cheap, zina...
  6. G

    Nchi ikishakombolea mkononi mwa wakoloni weusi Kuna Madaktari na Maprofesa wanapaswa kuvuliwa hizo tittle zao akiwemo Kitila Ili kusaidia watoto wetu

    Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali. Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti Tatu ni watu wanaolenga kusaidia jamii Kwa kile wanachoamini na kuifanyia utafiti Maprofesa na madaktari wasiosimamia kile...
  7. ChekoFagia

    PostGE2025 Mwigulu: Hatuwezi kuandika Katiba Mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba haijachomwa ipo kwenye ilani

    "Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
  8. Pakome

    Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi wenyewe

    Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi Matatizo tuliyokuwa nayo Serikali pamoja na Wananchi tungeyatatua kwa kufuata Sheria za nchi pamoja na za Kimataifa na kuheshimu uwepo wa Mahakama duniani...
  9. Brain Kingdom

    Fahamu Uwiano wa Vidole vya Mkononi na Sehemu za Siri Kwa Jinsia Zote

    Kama ilivyo ada mapenzi ndio Dunia na Dunia haina maana bila mapenzi, narejeq kwa vifijo na ndelemo nyingi katika uga wa mahaba nihabue mapenzi nipenzue. Huuuui huuui ndivyo waweza kupiga yowe katika anga za 6*6. Nasema hivi ukiona mwanamke anavidole vya mkononi virefu kuliko mwanaume wake...
  10. Sifi Leo

    Kwa Nini Magufuli hakukata roho mbele ya mkewe au mwanae akakata mkononi mwa Hawa? Ni wahuni TU mtanijibu!

    Uraisi wa Magufuli haukumfutia uumenwake kwa mkewe, haukumfutia Ubaba wake kwa wanawe Hakuna Sheria inasema raisi akiumwa anauguzwa na mkuu wa majeshi, usalama wa taifa na IGP hiyo Sheria haipo KIMSINGI kifo chake it was a planted mission Ambayo Mabeyo, Sirro na wenzake watajibu mbele ya...
  11. PMWAKA

    Nimefungwa POP mkononi, lakini naskia maumivu makali mkwenye mkono, hii ni kawaida?

    Wakuu nisaidieni hili jambo. Nilienda kunyooshwa mkono (ulijikunja baada ya ajari), nikapigwa nusu kaputi sababu ulikua stiff ili.ukinyooka nifanyiwe surgery. Sasa umenyooshwa na nimewekewa pop, leo siku ya 2, lakini maumivu hayapoi ndani ya pop, japo nilipewa maelekezo ikitokea ngozi ya vidole...
  12. Business Hc

    Nina laki moja nawezaje kuizalisha?

    Nina laki moja mkononi, itaki kuitumia ikapotea nawezaje kuizalisha ndugu zangu najikuta tu sina idea ya fasta kwa sasa?
  13. U

    IRGC inasema Israel inatumia teknolojia ya kufuatilia simu za mkononi kutekeleza mauaji ndani ya Iran, ikiwa ni pamoja na wanasayansi wa nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa njia hiyo hiyo huko Tehran," chombo hicho kilisema. Fars aliongeza kuwa hata kuzima simu za rununu...
  14. MoroGent

    WAJUZI: Wachezaji Wanavaa au Kufunga nini Mkononi wakati wa Mechi

    Salam sana Wanajukwaa, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiri mimi ni mpenzi wa mprira wa miguu, naangalia mechi za club za ulaya, Kimataifa na za Nyumbani apa NBC. Kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza hili jambo kwa muda mrefu na kuuliza watu kwamba ina maana gani, nimekosa majibu rasmi na ya...
  15. Just Pray

    Je, wajua? Kati ya mwaka 1998 hadi 2012, Nokia ilikuwa mtengenezaji mkubwa zaidi wa simu za mkononi duniani

    Nokia ni kampuni ya Kifinland iliyozinduliwa mwaka 1865. Hii ni kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na mawasiliano na teknolojia ya taarifa. Makao makuu ya Nokia yako Espoo, Finland. Kampuni inafanya kazi katika zaidi ya nchi 100 na ina wafanyakazi takribani 130,000 duniani kote. Nokia...
  16. M

    RPC Simiyu awaonya Sungusungu kujichukulia sheria mkononi

    Kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu,Edith Swebe(ACP)amewaonya walinzi shirikishi Sungusungu mkoani humo kuacha mara moja tabia ya kujichukulia sheria mkononi. Onyo hilo amelitoa wilayani Itilima na kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu, alipokuwa akizungumza na vikundi vya ulinzi shirikishi katika...
  17. BabaMorgan

    Unakubali kushika bomba kwenye usafiri wa umma huku umeshika simu Yako ya gharama mkononi ili isiibiwe

    Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watu
  18. Roving Journalist

    Baada ya Watuhumiwa wawili wa wizi kuuliwa na Wananchi, Polisi Arusha yawaonya wanaojichukulia sheria Mkononi

    Jeshi la Polisi Mkoa watu Arusha limesema kuwa tarehe 13, machi,2025 muda wa saa 12:30 asubuhi huko katika maeneo ya mtaa wa njiro ndogo kata ya sokoni one katika halimashauri ya jiji la Arusha watu wawili wasiofahamika majina wanaume wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 28 walifariki...
  19. mimi mtakatifu

    Usafiri wa mwendokasi kwa sasa ni roho mkononi. Vituo vya kupakia abiria ni hatarishi kwa walemavu, wajawazito, watoto, wazee na wagonjwa

    Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
  20. Z

    Nahitaji gari ya mkononi

    Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
Back
Top Bottom