Kwani kuna nini huko?
Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani?
Kuna kitu hakiko sawa huko?
Halafu mtu anatulazimisha tumuunge mkono halafu akiachia mic anakuja kulalamika kama sisi tu...
Vijana wanne kwa kila wilaya wameandaliwa kufanya maandamano Mkoani Dodoma baada ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa UVCCM.
Maandamano hayo yatakuwa ya kuonyesha vijana wanamuunga mkono Mama Samia awe mgombea pekee wa CCM Mwaka 2025.
Pia vijana hao watatoa tamko kali sana kwa wanaompinga Mama Samia...
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.
DKT BASHIRU, SONGA MBELE
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.
Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
Waigizaji hao wa kike, Hengameh Ghaziani na Katayoun Riahi wanashikiliwa wakidaiwa kwenda kinyume na mamlaka kwa kutovaa mavazi ya kufunika vichwa vyao hadharani na kuunga mkono maandamano yanayoendelea.
Maandamano yanayoendelea yamesababisha vifo vya watu wengi na wengine kujeruhiwa chanzo...
Tupate habari kamili. Katika jambo ambalo limeonesha kushangaza baadhi ya watu na wenyeji kutoshangaa sana ni tukio la kisayansi ambalo limetokea baada ya mtoto mmoja kurusha jiwe kwa mbwa na hatimaye mkono huo kuganda.
Tukio hilo limetoka Katika Kijiji cha Nansio Wilaya ya Ukere Mkoa wa Mara...
Kijana huyo ambae hajafahamika majina alimponda mbwa na jiwe jana usiku majira ya saa 2 usiku.
Tukio hilo la kustaajabisha liliyokea/limetokea Ukerewe Nansio maeneo ya Bakwata (Musoma road) mwisho wa lami.
Picha kukujia punde
Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID...
Dunia inakabiliwa na changamoto kuu mbili sasa;
1. Uharibifu wa Mazingira
2. Kujenga uchumi imara katika mazingira magumu
Kwa kuangalia kuanzia mwaka 2030 sioni mwanasiasa mwenye upeo wa kuiongoza Tanzania kupita kwenye changamoto hizi na kushinda zaidi ya January Makamba.
Kwanini January...
China imeahidi kuiunga mkono Urusi inapokabiliana na nguvu ya pamoja ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi aliripotiwa kumwambia mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wakati wa mazungumzo ya simu siku ya Alhamisi, ambapo maafisa hao wawili waliapa kuunga mkono juhudi zao za kijiografia...
Ndugu zangu Ni historia ambayo Rais Samia amejiandikia na kujiwekea kwa kufanikiwa kupata uungwaji na kukubalika na makundi yote na vyama vyote, hii Ni kutokana na Imani kubwa ambayo watu wamejenga na kuwa Nayo juu ya Rais Samia,
Hakuna mtu au kundi ambalo Ni tishio katika uongozi wa Rais...
PUTIN NI SHAHIDI, MTUME NA NABII WA ZAMA ZETU. NAMUUNGA MKONO.
Na, Robert Heriel
Shahidi.
Tunaojua Dunia ilipotoka, ilipo na wapi inaenda, tutabaki kuwa Wafuasi watiifu wa falsafa za Ki-putin.
Putin ni mtakatifu, Shahidi na shujaa ambaye anaitumia nafasi na Cheo chake vizuri kutekeleza utume...
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.
Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.
2025 Twende na Rais Samia.
Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania.
Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity...
Ndugu zangu Wana CCM lazima Tufahamu kuwa Nguvu ya CCM na Wanaccm imekuwa Ni katika umoja wetu, Ushirikiano Wetu,mshikamano wetu ,upendo miongoni mwetu, UZALENDO wetu kwa chama na serikali yetu, misimamo yetu, kutanguliza mbele maslahi ya chama na serikali yetu, Sera na ajenda zetu pamoja na...
Huyu gwiji mkongwe katika mpira ameshachoka sasa. Wakati ni ukuta, anatakiwa kujiongeza na kutunza heshima yake.
Wenzake wakifikisha miaka ya pensheni huwa wanakwenda Marekani au Uarabuni kula hela pasipo kamera nyingi na matarajio makubwa ya mashabiki.
Hakika mpira wa miguu itaukumbuka uwezo...
Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Kwa jinsi hii, huyu mzee anatakiwa awe ‘held accountable’ kwa kulidanganya Taifa kama anavyokiri hapo… Huyu mtu ana rekodi ya ovyo sana serikalini na ni mmoja wa watu waliokuwa wakichochea udikteta (Henchmen) kwenye awamu ya Mwendazake…"
Na...
.
Zaidi ya wafanyabiashara 5,000 wanaofanya biashara katika soko la Samunge jijini Arusha wanataraji kupatiwa mitaji ya kuendesha biashara zao na mhubiri maarufu nchini Nabii Mkuu Dkt GeorDavie.
Mbali na kupatiwa mitaji hiyo pia mhubiri huyo anataraji kutoa msaada wa kukarabati miundombinu ya...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amepokea vifaa mbalimbali vya Afya kutoka kwa Shirika la Lion Club.
"Nimepokea vifaa vya Huduma ya Afya kwa Zahanati ya Vigwaza ikiwemo vitanda vya Wagonjwa, vitanda kwa ajili...