mkoani

Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna uhaba wa mabomba ya kuchomea chanjo za kwanza za watoto wachanga mkoani Geita?

    Wadau, Tumeenda kituo cha afya Kanyala kilichopo halmashauri ya Geita Mji kwa nia ya kumpatia chanjo ya awali mtoto mchanga. Wahudumu wa afya wametuambia mtoto ataruhusiwa kupata matone tu ya kuzuia polio lakin chanjo nyingine hawezi kupata. Wahudumu hao ambao walinisubirisha kwa zaidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Musoma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwalewesha abiria Dawa ya Congo na kuwaibia

    Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na kuwaibia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekamatwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Arusha wafunga maduka kwa muda usiojulikana

    Baada ya wafanyabiashara na Chadema kushangilia mateso ya kufungiwa biashara kwa wamachinga hatimae zamu yao imefika, kuanzia leo kodi ya maduka kwenye jiji la Arusha imepandishwa kwa 100% na kupelekea wenye maduka kugoma kwa muda usiojulikana. Wafanyabiashara wafunga maduka kisa kupandishiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume mkoani Shinyanga waangua kilio kwa madai ya kunyimwa unyumba na wake zao

    Baadhi ya wanaume mkoani Shinyanga wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo kupigwa na kupigwa na wake zao. Hayo wameyasema Jumanne Desemba 7, 2021 wakati wakipewa elimu ya ukatili wa kijinsia na dawati la jinsia la polisi katika stendi ya mabasi wilayani Shinyanga...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana mkoani Kilimanjaro auawa kwa panga kwa madai ya kutaka kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu

    Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu. Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo...
  6. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wanne wapata ajali mkoani Mtwara

    Waandishi wa habari 4 mkoani Mtwara wamepata ajali ya gari na baadhi yao kuumia wakiwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa huo Brigedia Jen.Marco Gaguti. Gari lililopata ajali liliwabeba John Kasembe(Azam TV), Anne Roby(Daily News),Adam Malima(Chanel Ten) na Baraka Jamal(Safari Redio)...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA DIGITAL balaa, CCM yaanza kutumia Polisi kuidhibiti

    Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao . Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Uwekezaji wa Vietnam Katika Korosho Mkoani Mtwara una tija kwa Taifa letu?

    Inafahamika kwamba Vietnam ndiye mnunuzi mkubwa wa Korosho hapa nchini na muuzaji mkubwa wa zao hilo katika nchi za ulaya na Marekani. Katika mwaka 2019 alifanya biashara ya korosho yenye kiasi cha thamani ya Bilioni 3 za Kimarekani ( sawa na Shilingi Trilioni sita za Kitanzania) Katika siku...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam

    Anaejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam. Mtu wa Mkoani unanunua kupitia mtandao au vinginevyo na unatumia. Wakuu naomba kujuzwa, kama unajua Bookshop ya namna hiyo. Tafadhali naomba contacts zao.
  10. J

    JamiiForums Tanzania TBS yaendelea kutoa elimu kwa viwango vya ubora wa bidhaa wilayani Lushoto, mkoani Tanga

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango vya ubora wa bidhaa katika wilaya ya Lushoto ambapo imeweza kukutana na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na wanafunzi na kuwahimiza kutumia bidhaa zenye ubora ili kuweza kumlinda mlaji. Akizungumza mara baada ya kutembelewa...
  11. JamiiForums Tanzania Usije Dar es Salaam -- huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana

    Ebwana kama upo mkoani unafanya kazi au biashara unapata average income usijaribu kuwaza kuja jijini DAR, kwa sababu huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana. Kama uko Mbeya, Iringa, tulia usafiri wa mbeya ni rahisi na magari ni mazuri sana, hali ya hewa shwari, nyumba za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mambo machache niliyojifunza kutoka kwa Wahubiri wa FAITH, LOVE and MIRACLES hapa Mkoani Dar es Salaam

    1. Hawajisifu balip humsifia sana Kristo na Baba Muumba ( Mungu ) 2. Wanahubiri Kiustaarabu na hawapigi Kelele kama Walevi wa Gongo wa Kunduchi Mtongani au wa Kawe kwa Mapupu 3. Wanaenda mno na muda na Wanathamini sana Ratiba za Watu nje ya Ibada 4. Hawatuhimizi kila mara kutoa Sadaka bali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bashe: Rais Samia ametoa Sh700 milioni ujenzi skimu ya Usense mkoani Katavi yenye urefu wa 7.5km

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia ametoa Sh700 milioni kwa ajili ya ujenzi wa skimu ya Usense na kuboresha uzalishaji wa zao la mpunga linalolimwa katika skimu hiyo iliyopo Kata ya Uruwira Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi. Naibu Waziri wa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Maafisa Uhamiaji walioko mkoani Sumbwawanga(Kanongo) wanaongoza kwa kuwadhulumu wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi

    Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na vibali vyote kupita nchini Malawi wakisumbuliwa na kulipishwa fedha nyingi dola 300 kila mmoja...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana zaidi ya 500 wamekutwa wamehifadhiwa sehemu mbalimbali Mkoa wa Kilimanjaro wakifanya mafunzo yasiyojulikana

    Hawa vijana wana umri, kati ya miaka 18 na miaka 20. Mkuu wa Mkoa amewaagiza,amewaamuru warudi mikoa walikotoka. Swali langu ni kwamba,kwa nini. Radia One wakubali kutangaza habari za namna hii,kwa nini wakubali kutangaza habari kwa staili hii. Mafunzo yasiyojikana ndio mafunzo gani? ----...
  16. J

    JamiiForums Tanzania TBS yatoa mafunzo kwa wajasiriamali wa bidhaa za korosho (wasindikaji na wafungashaji) - Mkoani Lindi

    TBS YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA KOROSHO (WASINDIKAJI NA WAFUNGASHAJI) - MKOANI LINDI Na Mwandishi wetu Mkoani Lindi; Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi zingine za serikali leo Tarehe 13 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali wapatao 40 ni...
  17. JamiiForums Tanzania Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

    Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...
  18. JamiiForums Tanzania Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza. UPDATES - Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Karibu Mwenge wa Uhuru mkoani Mbeya

    KARIBU MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA. Mwenge wa Uhuru baada ya kumulika maeneo mbalimbali nchini sasa ni zamu ya mkoa wa Mbeya. Ni Jumamosi hii ya Septemba 11, 2021 Mwenge wa Uhuru utapokelewa wilayani Mbarali katika eneo la Igawa tayari kwa kuanza kukagua miradi na shughuli mbalimbali mkoani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Amos Makalla kwa kazi nzuri, kikao chako leo hukutukana mtu, hukumkebei mtu, hukumdhalilisha mtu, hukuonyesha ubabe wala majigambo

    Nilikuwa nikimfuatalia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Amos leo kupitia tv, kwangu nimemfananisha mkuu huyo na wale watumishi wa Mungu wachungaji wa zamani wakitatua matatizo au migogolo ya wahumini wake. Amekuwa veri hambo sana. Tofauti na aliyewai kuwa mkuu wa mkoa huo ambaye nadhani hatokuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…