mkoani

Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Dar watu wana roho mbaya sana, nimeamua nikalale stendi kesho nirudi zangu mkoani

    Huyu jamaa ni ndugu yangu wa karibu kabisa. Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo. Ni siku ya tatu sasa tangu nifike hapa mjini, baada ya kuuza ng'ombe nikaona sio mbaya nikaosha kidogo macho na ning'arishe ngozi kwa maji ya mwambao. Sasa nilifikia kwa huyu ndugu yangu...
  2. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi ya stationary mkoani Mwanza

    Natafuta mdada wa kufanya kazi stationary mkoani Mwanza, awe anajua kutumia computer. Tuwasiliane PM kama uko tayari.
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wanasimba mliopo mkoani Dodoma msituangushe

    Jumapili kuna mchezo hapo kati ya Dodoma vs yanga sc huu mchezo hakikisheni hawa 🐸 hawaondoki na point tatu. Tunajua wanafanya kila mbinu kuhakikisha wanapata point tatu, wakishirikiana na mbunge najua mnajua cha kufanya. Kelele zilikuwa nyingi sana, kwa ushirikiano wetu si mnaona nchi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu magari mengine kutumika kama daladala mida ya jioni na usiku mkoani Dar-es-salaam

    Kutokana na adha ya usafiri katika jiji la Dar es salaam hasa kuanzia saa 12 jioni mpaka around saa 3 na saa 4 usiku, nashauri serikali iruhusu magari ambayo yanaweza kubeba abiria(mifano NOAH) yaruhusiwe ili kuondoa mateso na adha kwa abiria. Ushauri huu ni Kutokana na unwell kuwa katika mida...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

    Mamlaka za polisi mkoani Dodoma zimepiga marufuku baadhi ya wanawake kupanda boda boda kwa mtindo wa kujibinua.
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hofu ya maji yenye sumu tena yatanda mkoani Mara

    Jipatie nakala yako
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Vikosi vya Majeshi ya Tigray vyaondoka Mkoani Afar

    Msemaji wa chama cha Tigray People's Liberation Front (TPLF),alikaririwa na vyombo vya habari akidai Aprili 25, 2022 majeshi yao yaliondoka Mkoani Afar, akiongeza kuwa anatumai kwamba msaada wa chakula unaohitajika sana unaweza kuwasili Tigray. Vikosi hivyo vimekuwa vikishikilia Mkoa wa Afar...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Maajabu 7 yanayopatikana mkoani kwako

    Habari ya sasa ni utalii. Tuchangamke. Kuna 7 wonders za dunia, Africa na sijui kama ya Tanzania ipo. Sasa tunatakiwa kuwa na list ya 7 wonders ya kila mkoa. Ni maajabu gani saba yanapatikana mkoani kwako au mkoa uliowahi kuishi? Mbeya. 1.Lake Ngozi 2. Ufukwe wa ziwa Nyasa 3. Kitulo plateau...
  9. Priscallia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahisi mdogo wetu wa kike kaongopa kuwa yupo field ila nahisi huenda kafungiwa na Mwanaume huko mkoani

    Kama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja hapo juu kozi ya “Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management (BDHRPM). Sasa jumamosi...
  10. Erick msigwa1234

    JamiiForums Tanzania Niliagiza mzigo Kikuu, wanasema umefika Dar muda mrefu. Lakini bado hawajanitumia kuja mkoani, nifanyeje?

    Jamani mimi niliagiza mzigo kikuu nawanasema upo tayari Dar muda wowote utatumwa mkoani niliko. Ila naona kimya hadi saizi. Anaejua anielekeze nifafanyaje
  11. Bexb

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki

    Habari wakuu. Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki kwa ajili ya bodaboda. Nahitaji kujua zile ambazo zina masharti nafuu pasipo dhamana ambazo vijana wengi wamekua wakikosa lakini pia zisizo na mlolongo mrefu sana wa kupata hizo pikipiki. Ukinijulisha mahali ofisi...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Handeni: Ajali mbaya ya magari imetokea, wanne wafariki, mashuhuda wa ajali nao wapitiwa na Coaster

    Ajali mbaya imetokea Sindeni, Handeni mkoani Tanga usiku wa kuamkia leo, idadi ya vifo na majeruhi haijatajwa, usiku wa kuamkia lo Machi 16, 2022. “Coaster ilivamia Hiace ilivyokuwa imeharibika pembeni na kuwasomba abiria wote. Ajali ni mbaya kwa kweli,” amesema Siriel Mchembe, Mkuu wa Wilaya...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe mkoani Iringa; Asema CHADEMA inachokozwa, ataja bendera ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) mkoani Iringa Sehemu ya kauli za Mbowe katika hotuba yake: "Tumekataa kuwa chama cha tamaa za fedha na...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Watu saba wafariki kwa kupigwa na radi maeneo tofauti Mkoani Rukwa

    Watu saba wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika maeneo tofauti katika Wilaya za Nkasi na Sumbawanga mkoani Rukwa. Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkandasi, Given Kisantola amesema tukio la kwanza lilitokea Februari 26 saa 9 alasiri Kijiji cha Nkandasi wilayani Nkasi. Watano waliokuwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mara: Watu 11 wafikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa kuiibia NHIF

    Mama anaupiga mwingi sana. Halafu uzuri mmoja wa mama yeye hana maneno mengi.ukizingua nae anakuzingua. ==== Taasisi si ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mara imewapandisha kizimbani watumishi 11 wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) wakikabiliwa na mashtaka 811 ya uhujumu uchumi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Barabara ya milimani huko Yichang mkoani Hubei yawasaidia wanavijiji kupata utajiri

    Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la Yiling huko Yichang mkoani Hubei limeendelea kuhimiza ujenzi wa miundombinu, kwa kujenga barabara zinazounganisha vijiji vya milimani, na kuunda mtandao wa usafiri kati ya miji na vijiji, na kuwasaidia wakulima wa milimani kusafiri na kuuza bidhaa za...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Mbeya laandaa kongamano la injili litakaloongozwa na Mwl. Christopher Mwakasege

  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unapoingia mkoani Mara fuatilia kuna chembechembe za watu kula kwa urefu wa kamba pale Musoma Airport

    Nakukumbusha mheshimiwa rais mliidhinisha pesa za upanuzi wa viwanja kadhaa vya ndege hapa nchini na cha Mkoa wa Mara hapo musoma kikiwa ni kimojawapo. PICHA: Sehemu ya mji wa musoma unavyoonekana kutokea juu. Taarifa tulizo nazo pesa ilitolewa ili kufidia wananchi waliopo kwenye eneo la...
  19. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Baba abaka mwanaye wa umri wa miaka 11 mkoani Manyara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linamtafuta mkazi wa Kata ya Magugu wilayani Babati, Frednand Yohana ambaye anatuhumiwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 11. Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Benjamin Kuzaga ameyasema hayo leo Jumatatu Desemba 13, 2021 mjini Babati wakati...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna uhaba wa mabomba ya kuchomea chanjo za kwanza za watoto wachanga mkoani Geita?

    Wadau, Tumeenda kituo cha afya Kanyala kilichopo halmashauri ya Geita Mji kwa nia ya kumpatia chanjo ya awali mtoto mchanga. Wahudumu wa afya wametuambia mtoto ataruhusiwa kupata matone tu ya kuzuia polio lakin chanjo nyingine hawezi kupata. Wahudumu hao ambao walinisubirisha kwa zaidi ya...
Back
Top Bottom