Sijisifii ila ndivyo nilivyo, watoto wananipenda sana tangu mimi ni mdogo, hawa watoto naozungumzia, mara nyingi ni watoto chini ya miaka 7
Kwa sasa nina miaka 29, nimeoa na tuna watoto wawili. Changamoto ninayopata niwapo kazini, kwenye biashara, mtaani na maeneo mengi huwa natokea tu kupendwa...