mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mke wakuoa mwenye umri kuanzia 32 mpaka 38, kabila lolote, Dini awe mkristu. Mimi nina umri wa miaka 35, mkristu pia, kazi ninayo awetayari kupima. Kwa mawasiliano zaidi karibu pm tuma namba au ujumbe kwa email flavianflorian0@gmai.com.
  2. Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

    Bi. KHADIJA MKE WA MTUME MUHAMMAD NDIO SAMPULI YA MKE BORA AMBAYE UNAWEZA KUFANYA NAYE MAISHA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ukisikia msemo usemao Nyuma ya kila mwanaume mwenye Mafanikio kuna Mwanamke, elewa kuwa Mwanamke anayetajwa hapo sio Mwanamke Kupe Nyonyaji, mbinafsi na goigoi au...
  3. Je, ni mwanamke yupi alikuwa mke wa kwanza wa Adam kati ya Eva ama Lilith?

    Naomba kufahamu, kati ya Lilith na Eva ama Hawa ni nani alikua mke wa kwanza wa Adam. Biblia inasema Eva ndio mke wa Adam pekee na kwamba ametoka kwenye ubavu wake lakini vitabu vya kiyahudi vinasema Lilith ndio alikua mke wa kwanza wa Adam kabla hawajagombana na Adam kuachana. Kwa msingi huo...
  4. M

    Natafuta mke

    Nahitaji mke wa kuoa awe mkristo umri kuanzia 23 - 33 Awe tayari kuwa mke wa mtu na mwaminifu
  5. Kutoka 21:10 huu ni uzinzi au ndoa ya mke zaidi ya moja ilikuwa halali?

    Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. Hata mitume na manabii wapo waliooa wake wengi, je walikuwa wanazini? Kinachofatwa ni maandiko au tamaduni za Ulaya ambazo ilibidi makanisa yalioanzishwa...
  6. F

    Natafuta mke wa ndoa

    Habari, Natafuta mke, nipo serious. Umri ni miaka 29 mpaka 35. Dini: Mkristu na kabila lolote. Nina umri 36 na nimejiajiri pia. Karibu PM.
  7. K

    Natafuta mchumba hatimae aje kuwa mke

    Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 27, natafte mwanamke ambaye ni mcha Mungu seriously na ameokoka, akiwa wa miaka 20-24 itapendeza sana. Kwa sasa nipo ruvuma ila nyumbani ni moshi. Naomba tukutane PM
  8. Mr. Blue, umekielewa alichokisema mke wako kuhusu Diamond?

    Bayser, umeelewa kauli ya mkeo kama nilivyo ielewa mimi ? Mke wa Blue amenukuliwa akisema; "Mimi namsapoti mume wangu kwasababu tumejenga nyumba nane kupitia muziki, kwahiyo mimi nasapoti sana kazi yake kwasababu tunafanikiwa kupitia muziki wake, muziki unalipa na una hela" "Zamani wanawake...
  9. F

    Natafuta mke kuoa

    NATAFUTA MKE WA KUOA. Jina Flavian. umri 34. Dini Mkristu. Kazi N/jiajiri. Kimo 5.3"ft. Uzito 66kg SIFA ZA MWANAMKE ANATAKIWA KUA. Umri 28-35 Dini Mkristu Kimo 5"ft Uzito 55-65 kg Awe amemalza mambo ya ujana.Awe anajali nakutambua thamani ya mume,awe...
  10. Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

    NB Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu. Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza (life partner). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu. Sifa zake : Ajira: Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea Kipato: Jamaa ana kipato kizuri (daraja la kati) Elimu: Ana mawe...
  11. Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

    Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli Tukaendelea Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the...
  12. Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

    Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni. Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu...
  13. Mke achoma vyeti vya mumewe kwa kutokujua kusoma.

    Jamaa mmoja alioa mke asiejua kusoma wala kuandika ikatokea siku moja mke akaamua kufanya usafi ndipo alipochoma academic certificates za mumewe akijua ni makaratasi. Mme alipokuja alipomuuliza mkewe akajibu kimasihara nimechoma makaratasi pamoja na matakataka pale chumbani. Jamaa alilia kama...
  14. Simuelewi mke wangu: Anaweka nywele zake kwenye pochi anayohifadhia pesa

    Mke wangu anachukua nywele zake anaweka kwenye pochi ambayo huwa anahifadhia pesa. Nikimuuliza, anadai kuwa zile nywele anazonyoa/akichana zikikatika hapendi kutupa kwenye dustbin, ndio maana anazihifadhi kwenye hiyo pochi yake na baadae huzitupa. Hii ina maana gani kitaalamu, hamna mchezo...
  15. Mume na Mke Washinda Mbio za JKT Half Marathon 2023

    Wanariadha Faraja Lazaro Damas na Magdalena Shauri ambao ni Mume na mke na ni waajiriwa wa (JWTZ) wameshinda mbio za JKT Half Marathon 2023, Zilizofanyika tarehe 25 Juni 2023, jijini Dodoma. Faraja na Magdalena walishinda mbio hizo za kilomita 21.1 (21K) kwa muda wa (1:03:45) na (1:11:22 ) na...
  16. Mke wangu ana gubu sana

    Kama kichwa cha khabari hapo Juu Kinavosema, nimeoa nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu. Nimejaribu kuongea nae mara kadhaa ila sio muelewa hata kidogo. Nishaongea nae kwa nyakati mbalimbali ila haelewi, ana kauli tata sana zenye kunitia...
  17. Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

    Helloww Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
  18. Mchezo wa Sheria: Apoteza haki ya mgawanyo wa mali baada ya mume kudai hajawahi kumuoa Salma Mohammed, mke alibadili jina baada ya kuolewa

    Dar es Salaam. Hivi mwanamke aliyebadili jina la baba yake na kutumia la mumewe baada ya kuolewa anajua kama anaweza kupoteza haki ya kumiliki mali walizochuma katika ndoa? Hiki ndicho kilichompata Salma Mohamed Ibrahim. Kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa juzi na Jaji John Nkwabi wa Mahakama Kuu...
  19. Uko wapi mke wangu mtarajiwa? Nimechoka kutangatanga

    Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu.. Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi. Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae. Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana. Sitaki kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…