mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjukuu wa Magika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri. Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa...
  2. Bodhichitta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna nilivompata mke wangu wa ndoa

    Habari zenu members, Leo nimetumia muda mrefu saana kuongea na kucheka na mke wangu(huaga nafanyaga hivo siku moja moja) maana huyu mwanamke hana utofauti na wanawake wengine kwahiyo naishi nae kwa akili saana. Hivyo baada ya furaha ya muda ikabidi akili inikumbushe namna nilivompata huyu...
  3. Technophilic Pool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Aisee hawa wanawake ni hatari. Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats. Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina...
  4. Sumbi Sanchez

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo. Nifanyeje?

    Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili. Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana...
  5. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepigwa na kufungiwa ndani ya nyumba na mke wangu

    Wakuu samahanini kwa mada zangu za kuhusu mapenzi aisee ila kusema za ukweli mapenzi yananiumiza sana hivi wanaume wenzangu mnafanyeje ili kukabiliana na hali hii? Sasa leo wakuu nimepigwa na kufungiwa ndani na mke wangu aisee, kisa cha kunipiga ni kumuuliza kwanini unachelewa kuamka na kwanini...
  6. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfuma mke wangu akiliwa uroda daaah! Nimemuomba msamaha na yeye ameniomba msamaha tumesameana

    Ila shida nimemzoea nikimuacha nitampata wapi mwingine? Na ukiangalia mie mwenyewe ni domo zege huku mwanamke nimemoata kibahati nilikutana nae pale mbagala rangi tatu nyuma ya stendi ya magari ya kusini pale akijiuza na nilimchana akanirlewa sana Mwanzoni alionekana kubadilika sana hakutaka...
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

    Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi Wakuu nifanyeje?
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakuu, mke wangu amezaa na mwanaume mwingine

    kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu.. Kaka sasa liko ihvi, mimi nimeoa mwaka 2014 mpaka sasa Niko na watoto wa3 watoto wangu nawashughulikia kama Baba vizuri...
  9. Technophilic Pool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

    Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika. Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya haya! Aisee sijawai kuwa kwenye mapenzi yenye usumbufu kama haya.
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakupenda Mke wangu ila naomba usinipige tena

    Jambo? Baada ya kupigwa na mwiko wa kichwa na Single Mother hatimae Baba wa kufikia amemuomba Wife wake asimpige tena - Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia Ama kweli mapenzi ni kitu chenye nguvu sana, Jamaa leo tukiwa sehemu tumetulia akatuambia kuwa anampenda sana wife wake...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Nimenyimwa unyumba na Mke wangu miezi 9

    Johnson Antony anasema mke wake akimkosea ananuna mpaka wiki mbili na akimgusa anamtoa mkono au anasema amechoka yani inaweza kufika mpaka miezi 9 ajapewa unyumba. Credit: WasafiTv
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?

    Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?
  13. Heci

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

    Yaani 😮‍💨😭 Huyu dada tulioana naye kwa ndoa ya kidini. Ana tabia zote nzuri ila ni mtundu sana kitandani. Mkiwa katikati ya show unakuta gegedo limeingizwa kusiko na ladha imebadilika kabisa. Nikishtuka nachomoa hapohapo. Nimekuwa nikimweleza kuwa huo mchezo siutaki, kipindi cha uchumba cha...
  14. Rurakha

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amepata changamoto ya kupumua na sauti haitoki punde baada ya kujifungua

    Habari za leo Ninaomba ushauri kutokana na changamoto inaomkabili mke wangu leo siku ya 11 tangu ajifungue tarehe 5 February 2024. Ilikuwa hivi mke wangu alikua na changamoto ya uchache wa damu wakati anajifungua hivyo ikapelelea akaongezewa damu. Baadae akaruhusiwa na kuna dawa tumepewa sasa...
  15. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni tricks and tips za kumtunza mke wangu

    Nataka mke wangu siku zote awe soft, young elegant and flourishing, sitaki aonekane mzee, Naombeni uzoefu kuanzia moangilio wa uzazi na mambo mengine Shukran
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

    Kwema wakuu! Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo. Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu. 1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi 30) I. uzuri wa sura 10% ii. Shape 👉🏼 Kibindo, Chura aka msambwanda wa kati 10% iii) Rangi maji ya...
  17. Mtu porii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu msaliti

    Nina mchumba angu tulipanga mwezi wa tatu niende kwao nikajitambulishe ila kuna kosa analifanya hajataka kubadlika. Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba msamaha, nikasamehe. Mwez wa kumi karudia the same nkaamuru abadili namba ya simu akafanya hivyo. Juzi...
  18. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Hapa mke wangu kanidanganya

    Wakuu habari za uzima? Leo jumamosi imeambatana mvua kubwa sana kwa maeneo ya dar es salaam. Mke wangu aliamka saa11 alfajiri kutengeneza maadazi, sasa kipindi anatengeneza akaanza stori zake kwenye biblia. Yeye: unajua mme wangu miongoni mwa stori nzuri za kwenye biblia ni kisa cha yesu...
  19. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

    Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake...
  20. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza...
Back
Top Bottom