Kuna video inasambaa twiter na Instagram ikimuonesha mwanaume akiruka dirisha na kukimbia huku akiwa mtu kabisa bila nguo, watu hao wamekuwa wakishare video hiyo na kuweka ujumbe wa MKE WA MTU SUMU wakimaanisha mtu huyo alikuwa na mke wa mtu kisha akafumaniwa ndio anakimbia.
Je, ni kweli mtu...
Kwema wadau. kama mada inavyojieleza, leo nikiwa natoka mishemishe naelekea home nikakutana huyu dada akaniita nikaenda kumsikiliza kuja pale ndo ananiambia kaniota ndotoni nampelekea moto wakati sijamtongoza.
Nikamuuliza unanipenda kanijibu hapana, pia nikamuuliza kipindi unaniota ulilala na...
Suala la Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia, Vasil Dosev Dimitrov kudaiwa kuwatishia kuwaua Wanahabari wawili waliokuwa wakifuatilia madai kuwa anatuhumiwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono aliyekuwa mtumishi wake wakike ambaye pia ni mke wa mtu, uchunguzi bado unaendelea...
Anonymous
Thread
casino
city casino
kilichotokea
kingono
mbeya
mkemkewamtu
mkurugenzi
mtu
sakata
wakili
Shalom,
Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna ipi na huwezi kuihuisha na matendo yako, unazaa mtoto mlevi mvuta bangi, wakati wewe ulikuwa...
Habari zenu waungwana,
Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito.
Baada ya mwanamke kujifungua mtoto mzuri wa kike ikawa jamaa anaulizia maendeleo ya mtoto anapewa...
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu, Yupo vizuri kimaisha, kama mwanaume nilijikuta nikimtamani maana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz.
Mimi sipendi kabisa mambo za mke wa mtu, kheri Awe demu wa mtu Ila Akiwa ni mke wa mtu hata kama...
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja...
Aisee, kumbe ndoani ni pagumu. Kama mambo yenyewe ndio haya, basi nitaoa mwaka kesho kutwa. Kweli mke wa ndoa unaingia ndani saa 9 usiku ukiwa na rafiki yako mumelewa chakari, plus bodaboda wenu pembeni!!!? Mnategemea mlale kwa nani!!?
Nawasikia wanabisha mlango hili mwanaume awafungulie😂 Na...
kiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana.
na siku zote wizi hauna mipaka, mwizi huiba kila kitu anachokiona kinamfaa mbele yake kwa muda mfupi na haraka sana, haina kuremba.
kuiba mke au mume wa wenyewe, ni wizi mgumu, mbaya na hatari sana kwa afya na uhai wako.
Pasaka hii tulizana, baki...
Habarini humu wandugu,,
Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani.
Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa miaka 13 sasa tena kwa furaha bila shida zozote zaidi ya magomvi madogo madogo ya kawaida ndani ya...
Na. John- Baptist Ngatunga
___________________________
Kwa kawaida, kila binadamu anayafanya makosa. Lakini yapo makosa mengine ambayo pamoja na ubinadamu wetu hatupaswi kuyafanya. Tunatakiwa kuwa makini sana kuyaepuka ili tusikutwe na lawama. Ndivyo ilivyo pia kwa Mwanamke aliyeolewa...
Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume.
Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:-
1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye.
2...
Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya.
Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo usipokuwa makini atakuponza kwa tamaa zako.
Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka...
Anakwambia Mume wake hayupo vizuri kitandani sio?
Anakwambia Mume wake hana muda nae sio?
Anakwambia Mume wake hampi mapenzi kama yako sio?
Anakwambia anakupenda sana eeeh!
Utalia siku moja.
Hebu sema ukweli wako?
Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi?
#nyumayapazia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.