mke wa mtu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mwanamke yeyote ambae ni mke wa mtu anapoamua kuchepuka ni Ishara kuwa yuko kwenye hatua za Kufubaa

    Mwanamke makini anaejitambua na mwenye mvuto na vionjo vitamu hawezi kuchepuka. Ila ukiona anachepuka ujue ndio basi tena ashakuwa scraper usimshangae. Pang Fung Mi
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Usitembee na mke wa mtu tafuta wa kwako

    1. Akikupigia simu pokea alafu subiri aanze kuongea yeye maana labda aliekupigia ni mumewe, kenge wewe _ 2. Msizoee kuingia guest moja kila mnapokutana maana watu watawachora na kutoa taarifa, 3. Mkiingia guest msiandikishe majina yenu halisia, _ 4. Ukimpigia simu akakata usipige tena labda...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi ni mbaya sana

    Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi kwa watu kama hao ni kupakwa wese, vijana wengi wamepelekwa Kwampalange Ndugu zangu hii ndiyo adhabu mpya ya kutembea na wake za watu leo asubuhi saa tisa mitaa ya Goba amerudi kijana wa bodaboda kutoka kwenye mikono ya mafirauni...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu alivyoharibu ndoto zangu

    Mimi ni kijana nimeajiriwa moja ya kampuni kubwa hapa Tanzania.Nafanya kazi na mwanamke mmoja hivi na Mume wake.Wote wamenipokea kazini. Mume wa huyo dada ni kicheche balaa ni mtu wa totozi.Hizo ni story nilipewa baada ya kukaa nae miezi miwili ofsini.Mke wake ashamfumania mara kibao na...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanajeshi mstaafu na Mke wa Mtu wakutwa wamefariki Chumbani

    Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora. Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anataka niingiza cha kike

    Nianze Kwa kumtetea Baltazar yule mwamba Hana makosa kabisa. Hawa watu wanashida zao special huko kichwani aseee. Juzi nimeenda uwanjani kuangalia game ya wanawake ligi kuu ya timu flani dhidi ya timu ya kanda ya ziwa. Sehem nilokuwa nimekaa kulikuwa na mdada flan kwa kukadiria ni age ya 27-30...
  7. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mfundishe mwanao majukumu yale ambayo yatakuwa faida kwenye maisha yenu na yake ya baadaye kwasababu huyo ni mume au mke wa mtu wa baadaye

    Mfundishe mwanao majukumu yale ambayo yatakuwa faida kwenye maisha yenu na yake ya baadaye kwasababu huyo ni mume au mke wa mtu wa baadaye pia ni mwanafamilia wako Mama/baba mfundishe kijana wako wa kiume swala la kuosha vyombo, kupika na kufua nguo si swala la mwanamke na huyo binti yako pia...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu; Auawa kwa tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu

    Kijana ambaye amefahamika kwa jina la Faida Deus (34) mkazi wa kijiji cha Bugalama kata ya Bugalama Halmashauri ya wilaya ya Geita ameuawa kwa tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu. Wakizungumza na waandishi wa habari ndugu wa marehemu wamesema tukio hilo lilitokea Oktoba 30 mwaka 2024 majira ya...
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mola aniepushe na hili pepo la kupenda mke wa mtu

    Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu yanapokutana na yake kuna namna yanazungumza Mwanzoni mimi ndiye niliyekuwa napata shida, lakini kwa sasa...
  10. Mtoto wa nzi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uandikishaji Wapiga Kura Serikali za mitaa: Mtendaji na Mwenyeki watakiwa kuonyesha alipo Mke wa Mtu.

    Imetokea Mara huko ..Baada ya Mume kuona jina la Mke wake katika orodha ya wapiga kura ingali kuwa Mkewe amepotea kijijini hapo zaidi ya miaka mitatu na alitoa taarifa Kwa Serikali ya Kijiji na Mtendaji. Sema kimeumanaaaa. . Pameshaanza kuchangamka mapema hivi ... Asee CCM Sasa wanaiba mpaka...
  11. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ukila na kipofu usimshike mkono!

    Mhadhara - 46: Upo msemo ambao unasema; "Ukila na kipofu usimshike mkono", lakini pia "Usimnyapie kuku kwenye majani makavu". Kama umebahatika kujipenyeza kwenye ndoa ya mtu au mahusiano ya mtu kwasababu ya faida zako basi punguza mbwembwe, la sivyo utakatwa mapanga mchana kweupeee au utupiwe...
  12. G

    JamiiForums Tanzania UTI kali kwa mke wa mtu

    Wakuu salaam. Hivi mke wa mtu aliyeolewa inawezekana vipi akawa na UTI kali? Mme wake haipigi. Nauliza haya maswali maana yamenikuta Juzi nimetoka shamba nikakutana na mke wa jirani yangu mwalimu akanibless kimoja Cha chap! Lakini Hadi navyoongea hapa nimetoka kununua dawa ya kummaliza huyu...
  13. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Bosi kapenda mke wa mtu

    KARIBUNI KUSOMA SIMULIZI HII SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ni siku ya joto na jua kali, huku kama kawaida watu walikuwa wengi, wakiwa kwenye pilika pilika, wengine wakiwahi usafiri na wengine wakishuka kwenye mabasi na daladala wakiwa wamewasili. Wafanyabiashara wadogowadogo walikuwa bize na...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kushabikia Azam FC ni kama kupenda mke wa mtu, akikunyima huna pakusemea

    I will be short. Azam FC should say sorry to the fans and Tanzanians who supported them. they returned home kienyeji sana, people need answers. Kiswahili sasa; Azam FC ni wajinga sana, bila kuruhusu watu kutoa hoja zao kuhusu team ya Azam FC pale Azam amna kitu kitaenda. Mwenye team amekaa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usidanganywe na porojo zisizo na kichwa Wala miguu kuhusu kile kinachoitwa Haki za binadamu, sijui Serikali, sijui Sheria Kali, sijui uwèpo wa Mungu. Usije ukadanganywa. Hivyo vyote nilivyovitaja hazitazungatiwa endapo utamfanyia Mtu Baadhi ya Makosa. Huwezi...
  16. Ngareroo

    JamiiForums Tanzania Narudia tena, Mke wa mtu ni sumu

    Asalaam Aleikum wadau wa hili jukwaa pendwa, Hopeful mko poa..Oyaaaa. Tuachane na wake za watu aysee. Hapa nilipopanga Kuna jamaa mpangaji mwenzangu ana mke, Mke wake yuko hivi[emoji106] kinoma yani achana nae kabisa braza, Dem ni black beauty fulani,ana dimples mashavuni,kiuno chembamba...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

    Kwenye zama hizi za uzinzi na JF iliyosaidia kuondoa stress, kuna mengi. Najua wanawake ni wasiri sana,japo na wao wameangusha train nyingi sana. Kuna wakati unajikuta umefanya jambo la aibu,kwa tamaa ya muda mfupi. Wapo waliokula kimasihara hata kwa wadada wadogo au single. Je, kwa mke wa mtu...
  18. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ni Sumu ila Mume wa mtu ni Asali?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande. Kwa akili ya...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi na watatu malizia ni nani?

    Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi watatu malizia ni nani?
  20. Dexta

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananitesa

    Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa. Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo. Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka...
Back
Top Bottom