mke wa mtu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Simanjiro: Auawa Kikatili kwa kukatwa katwa na mapanga kwa kumpa ujauzito Mke wa mtu

    Simanjiro Manyara Mke wa mtu ni sumu walisema wahenga sote tujihadhari Mkazi wa Simanjiro Mkoani Manyara ambaye ni Daktari wa Mifugo ameuawa kwa kukatwa mapanga baada ya mchepuko wake ambaye ni mke wa mtu kukiri Ujauzito alionao sio wa mumewe bali wa mchepuko huyo Ndugu wa mume aliyeibiwa...
  2. Rufiji dam

    Rafiki yangu kaombwa mkopo na mke wa mtu

    Waungwana nawasalimia. Leo kuna rafiki yangu yeye ni Mfanyakazi wa Serikalini maskani yake ya kazi ni Dodoma. Leo kanifuta kuomba nimpe loan ya laki 5 ana shida nayo ya haraka sana. Sikutaka kumpa mpaka nijue ni haraka gani imempata ndio akaja na habari ya kushangaza kabisa kuwa namkopea...
  3. Tmainitvp

    Kama wewe ni mke wa mtu, acha pombe

    Inauma na kusikitisha sana pale ninapomuona mwanamke tena mke wa mtu akinywa pombe mbaya zaidi akishinda Bar au night clubs akinywa. Ukiona hivyo my bro jua tu, unachapiwa, sehemu hizo ni mbaya sana, nikama unachezea shilling kwenye tundu la choo. Hamna mjanja kwenye pombe, pombe haina mwenyewe...
  4. Zee Korofi

    Nimezaa na mke wa mtu, roho inaniuma mwanangu kulelewa na baba mwingine

    Wazima? Mimi ni kijana tu wamiaka 24 nasoma bado, nipo chuo mwaka wa 3. Mwaka wa 1 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja tu, ni binti wa rikalangu. Sikujua kumbe mumewe ni mtu mzito tu mpaka nilipoona picha wakiwa wawili. Alikuwa analalamika haridhishwi na pia mumewe alikuwa na kisirani...
  5. sanalii

    Ukitongozwa na mke wa mtu ukatembea nae, karma inakufata?

    Yani yeye mwenyewe ndo akilazimisha mpaka ukaona basi ngoja umpatie tu, je kuna kesi hapo? Au ndo hivyo karma inachukua mkondo wake?
  6. ivan1212

    Kuweni makini na wake zenu jamani

    Habarini wana jamvi. Naamini mko salama kabisa na poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Naandika uzi huu kuwakumbusha tu muishi nao kwa akili na pia umakini na kufatilia mambo kwa hawa wake zenu. Leo katika harakati zangu za kutoa genyerh mwilini katika hoteli flani ivi nikapishana na mke wa...
  7. mcrounmj

    Bachelor mimi nimedakwa na mke wa mtu

    Wakuu za majukumu. Awali ya yote niseme tu kuwa nilishaapa kutotongoza mke wa mtu cozi najua mke wa mtu sumu. Basi ni kama mwezi umepita, kuna siku mwanamke mmoja ameolewa, nimemzoea kama shemeji. Nilikutana nae meneo ya baa, alikuwa amejibust kidogo, aliponiona alinifuata na kunikumbatia huku...
  8. Memtata

    Mke wa mtu kanifunza kitu

    Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali moja kwa moja ila tulibadilishana mawasiliano. Kilichonifanya nisiwaze kama ni mke wa mtu kwanza ni...
  9. Nduka Original

    Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

    Siku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya kushtukiwa. Tunaomba support yenu wadau.
  10. Cash Generating Unit

    Nimenasa kwa mke wa mtu mtarajiwa

    Habar zenu wanajukwaa Kwasasa member wenu nipo kwenye kipindi kigumu sana nimenasa kwenye trap na siwez kutoka, huyu mke wa mtu mtarajiwa ananipa mawazo mengi kichwani nimejarib kila way but I failed nimekuja kwenu maybe mnaweza nipa msaada wa kuweza kushinda hili Janga. Kabla sijaenda kwenye...
Back
Top Bottom