mke wa mtu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

    Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku. Mwenye mke wake utanisamehe bure.
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa lipa shika tuondoke ndio mnataka tuoe sio?

    Wanawake mchawi wenu Ni wanawake wenzenu Mnalalamika hamuolewi wakati wenzenu wanagawa Bei sawa na bure Kiufupi Maisha yamekuwa Magumu Sana kwa kila Mtu so watu wanatafta unafuu ulipo Mnabidi jinsi mlivyo anzisha kampeni yenu ya feminist ndo mpambane kuwazuia wanawake wenzenu wanaogawa uchi...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Amri ya kutotamani mke wa mtu au mwanamke inapotoshwa sana na jamii

    Hey
  4. marehem x

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu akiwa Danga Ina maana anaitia nuksi familia yake na watoto

    Nisogee Moja Kwa moja kwa. Mada ya mke wa mtu anajua ana mume na watoto baba hatoi mahitaji mke anapata ks Danga inamaana pesa wanatokula Ina kisilani.
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania hakuna kitu kinachoitwa mke wa mtu ni Nadharia tu

    Yaani tujikite kutafta riziki zetu za halali na hela Hapa Tanzania hakuna kitu kinaitwa mke wa mtu. Bora niendelee na Maisha yangu ya utawa tu Maana hizi ndoa zenu Ni zaidi ya vichekesho. Pole ndugu yangu hiyo pesa yako umetoa mahali Bora ungemvutia Mama yako maji ya dawasa .
  6. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hakika mke wa mtu ni sumu, kilichonitokea jana siwezi kurudia tena

    Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili. Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba...
  7. Yakki Kadaf

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kanitamkia maneno magumu

    Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara hapa mtaani huwa nina chumba changu ambacho japo sikitumii sana bado nakilipia kama kawaida. Sasa leo tarehe 12.01.2023 majira ya saa 2 asubuhi kafika mama mmoja kukinga maji ya mvua kwenye nyumba nayoishi maana kwa mji wa Bunda mvua zimenyesha hii leo...
  8. Yakki Kadaf

    JamiiForums Tanzania Nililala na mke wa mtu aliyenizidi miaka 30

    Habari wakuu, miezi mitatu iliyopita nilikuwa ni mwalimu wa kujitolea shule moja ya serikali. Mama yule alikuwa kapata nafasi shule. Basi mama yule alifika ili aonane na makamu mkuu wa shule ili ampe prem number kwa ajili ya uhamisho. Bahati mbaya makamu mkuu wa shule hakuwepo ikabidi aniachie...
  9. marehem x

    JamiiForums Tanzania Ni kosa nililolijutia kuwa na mke wa mtu mwaka 2023. Huyu mwanamke anaviranga

    Kama mjuavyo bongo Ina raia wengi wa Tanzania wenye ndg zao mataifa ya arabuni. Basi bana jamaa alikubali Kiulainii asijue amedanganywa bin kudanga. Mkewe anakubali safari Dubai na marafiki kubiashara. Huyu mwanamke Hana hata genge la nyanya. Ameomba aende majuu na mashoga zake ajifunz biashara...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana kuona mke wa mtu anazini ndani ya usafiri wa umma, tena akiwa na mtoto mdogo

    Habari zenu ndugu zangu? binafsi namshukuru huyu MUNGU kwa uzima. Ni jana tu siku ya alhamisi nikiwa natokea Dar kwenda Moshi mjini nikipanda gari ya umma (nikumbushie kidogo sio kila siku binafsi tu). Mida ya saa 4 hivi asubuhi nilifika stendi ya mabasi MAGUFULI pale mbezi nikijua kabisa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

    Habari Wakuu Binafsi nimejikuta nikiingia na mahusiano na mke wa mtu lakini ilikuaje? Nilijikuta ninampenda binti mmoja kwa mara ya kwanza nilivyomuona nikamwiita na nikaongea nae na akanipa namba yake ya Simu.Baada ya hapo tukawa tunachat bila kujua mazingira yake yakoje, kuchat tukajikuta...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimempa mke wa mtu zawadi ya chupi ameonesha kuikubali na kuifurahia sana

    Juzi kati nilikua nasafiri kwenda upcountry huko, kuna mpangaji mwenzangu mumewe ni mtu ana wadhfa mkubwa tu serikalini, nilivyomuaga akaniambia nimletee zawadi, basi me nikajua ni utani tu, nikaenda safari nikarudi bila zawadi akanilaumu kwa nini sijamletea zawadi aliyoniagiza. So baada ya...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Unampakiaje mkongo mke wa mtu?

    Hii sio Sawa,yaani unatafuta kabisa mkongo Kwa ajili ya kumpakia mke wa mtu? Hii sio Sawa, ni dhulma mbaya sana, ndio maana tunapata mabalaa Kisha tunatafuta mchawi. Mbaya zaidi unajisifu mbele za watu! Tena wengine wanaenda mbali na kusema wanasukuma pia tope wake za watu. Jamani jamani...
  14. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananipigia simu ya video usiku mumewe akiwa kalala

    Straight to the point, huyu mwana mama yupo Dar es Salaam nami nipo mkoa mwingine. Huwa tunawasiliana mara Moja Moja story za shule maana ni school mate ila alinizidi vidato kadhaa. Tukiwa shule alikuwa kama dada yangu na nilimheshimu hivyo na ikaisha hivyo alifanikiwa kwenda university Fulani...
  15. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu

    Kitendo cha kunipiga stori za madhaifu wa mumewe aliye na watoto naye tena wa kutosha walieishi naye miaka mingi. Alinisononesha kabisa . Na nilimuambie aamuombe radhi jamaa na atulie. Kibaya zaid alimsomesha yeye na kupata kazi aliyonayo. Wanawake waoneni hivi tu sio watu. Je mnadhani...
  16. willpower

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Miezi 9 ya mahusiano na mke wa mtu pasipo kujua

    Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa kawaida. Nikaamka na kukutana na watu wanne, mzee mmoja, vijana wawili wakiwa na askari. Swali lilikuwa...
  17. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Nilivyochuniana na mke wa mtu kisa nili underperform

    Nisikuchoshe. Huyu mwanamke nilitafuta kila njia kuachana naye. Alistukiwa na mumewe na akaniambia amestukiwa, hakujua anani alert, nikajisemea ni Muda sahihi kuachana na kukimbia mbio. Siku moja nilimpiga mambo, show ilikuwa chini ya kiwango, yaani Ile ilikuwa sshow ya kichovu. Baada game...
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

    Yani usiku huu mtu anakutafuta kua umkopeshe, ukaribu uliopo sio sana, sasa ikitokea hajalipa au kusumbua namdai vipi? Kuna aliewahi fanya hivi?
  19. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Akatwa Mkono na Titi na Mumewe Akimtuhumu Kufuta Missed Call ya Mwanaume Mwingine.

    Maria Marwa aliyekatwa mapanga *** Maria Marwa (36) mkazi wa Kijiji cha Isango, wilayani Rorya mkoani Mara, amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa baada ya kujeruhiwa kwa mapanga na kukatwa mkono wa kushoto na titi la kushoto na mume wake kwa madai ya kukosekana kwa namba ya simu iliyopigwa...
  20. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na mke wa mtu lakini watu wananionea wivu

    Habari yako, Sorry leo nipo hapa katika jukwaa hili naomba ushauri kuhusiana na hili ninalolileta kwako muda huu. Naitwa Mr George Francis kwa jina maarufu. Kuna dada mmoja anaitwa Latipha niliwahi kusoma nae sekondari. Kipindi hicho tulikuwa na mahusiano lakini tulivyomaliza shule, mahusiano...
Back
Top Bottom