mkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiminyio 01

    JamiiForums Tanzania Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

    Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800. Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kuwe na mkakati maalumu wa kupunguza idadi ya Wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam

    Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam. Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri. Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu...
  3. WOWOWO

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na mkakati wa kuua “opposition generation” kupitia “election fraud”

    Mwaka 2014 na Mwaka 2015 Chama cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kimeingia rasmi kipindi cha kuanguka na kutoweka katika medani za siasa. Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, mtawalia pamoja na kuhujumiwa sana, yalionesha wazi kushindwa vibaya kwa CCM na kama isingekuwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Propaganda za CHADEMA na mkakati wa kuchafua taswira ya nchi

    Mnamo tarehe 19 Novemba 2015, katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na aliyekuwa mgombea urais, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli kwamba “Chadema wanatekana,” akifichua siri nyingi kuhusu chama hicho. Kauli ya Dk. Slaa inahusiana moja kwa moja na madai ya kutekwa kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kikao hiki ajenda ilikuwa ni nini? Moja ya picha halisi za mkakati

    Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa? Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio? Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema: Land Rover Festival ni mkakati wa watu wasijiandikishe

    Uandikishaji kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa umeanza rasmi leo, tarehe 11 Oktoba, 2024, na utaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Hatua hii inampa fursa kila Mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Usimamizi Thabiti wa Madini Mkakati Utakuza Uchumi wa Afrika - Waziri Mavunde

    - Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini - Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini - Uganda yavutiwa na maendeleo ya sekta ya madini nchini Tanzania 📍Kampala, Uganda Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amezitaka...
  8. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  9. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Je huu mkakati wa kusambaza mitungi ya gas ya LPG sio mpango wa kuhujumu matumizi ya gas ya NPG inayopatikana Tanzania?

    Wafanyabiashara wenye kuagiza bidhaa muhimu toka nje tumeona kila wakati wakihujumu mipango ya taifa ya kuzalisha bidhaa hizo nchini. Tumeona kwa mfano wakihujumu uzalishaji wa ngano ili biashara yao na wabia wa nje isife. Tumeona mfano huo kwa uzalishaji wa sukari kila wakati kukiwa na hujuma...
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kufanikisha Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) Jumla Kuu 4,554,015,000,000

    Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
  11. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Tuje na mpango mkakati wa kukuza IQ zetu bila hivyo tutaendelea kuteseka

    Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo. Huwezi mzidi ujanja mwenye IQ kubwa kuliko wewe lazima akulambe tu. Juzi mchina Xi katukusanya kama kumbi kumbi huko mitaa ya Beijing haya sasa subiri mipigo mirefu ya wachina kwa miaka mingi ijayo. Hatuwezi shindana na watu wenye IQ za...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa J.Makamba kuokoka ili agombee urais uliishia wapi?

    Kuna wakati bro alikuwa na mkakati wa kuokoka ili apate sifa za kugombea urais. Ikumbukwe kwamba CCM kuna utamaduni usio rasmi, kwamba awamu hii rais akiwa mkristo basi awamu ijayo ni muislamu. Sasa baada ya Samia kuingia ikaonekana itakuwa ngumu 2030 kuingia Rais muislamu tena. Ndio hapo...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaunga Mkono Mkakati wa Kikanda wa Usalama wa Afya na Dharura (2022-2030)

    TANZANIA YAUNGA MKONO MKAKATI WA KIKANDA WA USALAMA WA AFYA NA DHARURA (2022-2030) Tanzania inaunga mkono mkakati wa kikanda wa usalama wa afya na dharura kwa kipindi cha 2022–2030 kupitia hatua za utekelezaji wa miradi muhimu, kuanzisha mpango wa wafanyakazi wa afya ya jamii ulio jumuishi na...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango Aielekeza Wizara ya Madini Kusimamia Madini Mkakati kwa Manufaa ya Watanzania

    DKT. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango...
  15. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Kuchambua Betting: Faida na Hatari Zilizofichika - Je, Ni Wakati wa Kubadilisha Mkakati?

    Betting imekuwa moja ya shughuli maarufu nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa inaweza kutoa fursa za kiuchumi, ina changamoto zake nyingi. Makala hii itachunguza faida na hasara za betting, kutoa mifano halisi ya maisha, na kutoa mapendekezo ya nini kinachopaswa kufanyika ili...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Innocent Luoga: Serikali inajiandaa kuzindua Mkakati na Mpango Kazi wa Kitaifa wa Nishati Jadidifu

    Wizara ya Nishati imeshiriki Kongamano la Kitaifa la Nishati Jadidifu kwa mafanikio ambapo imetumia kongamano hilo kueleza juhudi zinazofanywa na Serikali katika uendelezaji wa Nishati Jadidifu nchini na hii ikijumuisha utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia. Akifungua...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe aishauri Wizara ya Ujenzi Iwe na Mkakati wa Kudhibiti Barabara Zijengwe kwa Kiwango Kinachostahili Ili Kupunguza Matengenezo

    MBUNGE SAASHISHA MAFUWE Aishauri Wizara ya Ujenzi Iwe na Mkakati wa Kudhibiti Barabara Zijengwe kwa Kiwango Kinachostahili Ili Kupunguza Matengenezo ya Mara kwa Mara "Jumapili ya tarehe 26 Mei, 2024 nilikuwa na mkutano wa hadhara katika Kata ya Weruweru na wananchi wakaniambia Mhe. Mbunge kwa...
  18. Janeth Thomson Mwambije

    JamiiForums Tanzania Kuendeleza hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia

    Miongoni Mwa Utekelezaji Unaoendelea Kufikiwa na Serikali Ya Awamu Ya Sita, Ni Ufikiaji wa Asilimia Kubwa Ya Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia. Na Kwa Kutambua Umuhimu Wake, Nilifanikiwa Kutembelea Kampuni Ya Utengenezaji - Majiko, Ya, "Envotec", Inayotengeneza Majiko Kwa Kuzingatia Usalama wa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tauhida Gallos Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini

    MHE. TAUHIDA GALLOS Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini "Wizara imeandaa muongozo wa Taifa wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa wa mwaka 2023, Mei ambao umebainisha afua ya kuwajengea wajumbe wa...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania lazindua Mpango Mkakati wa 2024-2029

    Mwishoni mwa wiki hii, Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania likiongozwa na Zainab Katimba limezindua mpango wake wa kwanza wa mkakati wa miaka mitano (2024-2029). Baraza hili la vijana ni chombo cha kuwaunganisha vijana na kutoa fursa za kipekee kujadili masuala yanayowahusu moja kwa moja. Ni...
Back
Top Bottom