Mkakati Waanza Vijiji Ushetu Kuunganishiwa Maji

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,151
1,022

MKAKATI WAANZA VIJIJI USHETU KUUNGANISHIWA MAJI

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Kundo Mathew amesema Wilaya zote zilizopo katika Mkoa Shinyanga tiyari zimekwisha kupatiwa maji kutoka ziwa Viktoria isipokuwa Wilaya ya Ushetu ambapo jitihada zimekwisha kuanza ili vijijini vilivyopo katika eneo hilo viweze kuunganishwa na huduma hiyo.

Mhe. Kundo ameyasema leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani aliyetaka kujua ni ipi kaulinya Serikali kuhusu Mradi wa Maji wa kata ya Igunda ambao umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu ili kuweza kuukamilisha na kuondoa hadha kwa kwananchi wa kata hiyo.
 

Attachments

  • y2mate.com - MKAKATI WAANZA VIJIJI USHETU KUUNGANISHIWA MAJI_480p.mp4
    5.4 MB
Back
Top Bottom