Mimi ni mchimbaji mdogo katika moja ya Vijiji katika Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, kero yangu ni kuwa kumekuwepo na tabia ya mazoea ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa katika hizi buying center nyingi za huku Chunya, jambo ambalo ni hatarishi kwa afya za wachimbaji.
Mvuke wa zebaki...
Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku.
Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha.
Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
Salaam!
Nimepenyezewa taarifa tokea Dodoma kuwa,
Wapo baadhi ya wanakijiji yanapopita marori yaliyobeba makaa ya mawe, wananchi Hawa hukaa Pembeni mwa barabara na kusubiri baadhi ya makaa ya mawe yadondokke kutoka Katika haya malori ya kubebea makaa ya mawe na kwenda kuyatumia makaa haya...
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YANALENGA KUPUNGUZA VIFO VYA WAMAMA WANAOPIKIA MKAA NA KUNI,
UTAFITI UNAONESHA KILA MWAKA WAMAMA ZAIDI YA 33,000 KILA MWAKA WANAKUFA KWAAJILI YA KUPIKIA KUNI NA MKAA WENGINE WAKIITWA WACHAWI.
==
Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo na nishati hafifu ya mkaa...
Mwaka 2023 nilipoanza kufuga kuku, kuna swali moja lililokuwa linanisumbua sana nitumie mkaa au umeme kuwapatia joto vifaranga?
Mwanzoni nilidhani ni changamoto yangu binafsi. Lakini nilivyoanza kuzungumza na wafugaji wengine, niligundua haraka kuwa si mimi pekee niliyekuwa kwenye mkanganyiko...
Rais Samia anaendesha kampeni dhidi ya matumizi ya mkaa kutokana na moshi wake kuwa na athari kwenye mazingira, hilo ni jambo jema.
Upande wa pili yuko SSH anasambaza bodaboda nchi nzima ambazo nazo zinatoa moshi sawa na ule wa majiko ya mkaa na ukiangalia uwingi wake ni kama zimerudisha moshi...
Hellow mmesema nimetelekeza jukwaa haya twendee sasa na hii
Andaa nyama yako na kata vipande vipande size unayotaka kata na kitunguu pia tangawizi na kitunguu swaum mimi sipendi kitunguu swaum kisha weka kwenye foil
Baada ya hapo ifunge vzr kabisa zungua foil ya kutosha kisha weka jikoni...
Kunywa juice ya mkaa (hasa mkaa wa miti au activated charcoal) ni jambo ambalo limekuwa likifanywa na watu kwa sababu za kiafya, lakini linaweza kuwa na faida na madhara, kulingana na namna inavyotumiwa. Hapa chini ni muhtasari:
---
✅ Faida za Kunywa Juice ya Mkaa (Activated Charcoal):
1...
Kumekuwa na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kuwa, wanauza pesa nyingi lakini mwisho wa biashara hawaoni kitu. Lawama imetupiwa katika maeneo mengi, lakini eneo mojawapo ni eneo la uchawi wa chuma ulete.
Inaaminika kwamba, uchawi wa chuma ulete ni aina ya uchawi ambao mtu huja dukani kwako...
MBUNGE MARTHA MARIKI: AITAKA SERIKALI KUWEKA RUZUKU KWENYE MKAA MBADALA ILI WANANCHI WAUPATE KIRAHISI
"Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya nchini Tanzania. Nampongeza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, Kamishna wa Madini na Watendaji wote wa Wizara ya Madini kwa...
Unapambana Biashara Ikue, Lakini Gharama ya Mkaa Inashusha Faida... Una Mpango Gani?
Fikiria hivi kwa Kg 5 za Mkaa Utaweza Kupika Chakula Cha Kilo 30 kwa Wakati Mmoja ?
Hii Inawezekana Kama Ukitumia Jiko Bomba La kg 30 ...
Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula Mpaka 30kg Kwa Wakati Mmoja...
Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu.
Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba.
Kwa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi ya...
Habari!
Sisi ni wazalishaji na wauzaji wa mkaa wa kawaida. Tuna vibali vyote vya wakala wa misitu, na mkaa wetu unazalishwa kutoka kwenye misitu endelevu iliyo ruhusiwa kuvunwa.
Gunia zetu zimeshonwa vizuri na haziendi zikidondosha mkaa, tunatumia mifuko mipya na kamba madhububuti kusuka...
Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane.
Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani.
RIPOTI kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili, Mirembe imeeleza kuwa mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa wakati anafanya tukio hilo la mauji alikuwa ana shida ya akili.
Taarifa hiyo, imetolewa leo...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo.
Utekelezaji wa hoja ya Nishati safi ya kupikia, unahitaji zaidi utashi wa kisiasa kuliko ahadi za maneno na kuwagawia bure mitungi ya gesi watu masikini wa kutupwa wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea ambapo hawana uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.