mjue

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjue Leonel Ateba

    Na Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO Leonel Ateba mshambuliaji wa Simba Sports Club mwenye jezi namba 13, amezaliwa tar 6 Feb 1999 ( 25 ) Cameroon Douala, ambae ametokea USM Alger, iliyopo Algeria ana urefu wa sentimita 183. pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Cameroon Leonel Ateba...
  2. Mjue Beaver, Injinia mbobevu katika nyanja ya ecosystem (ikolojia)

    BEAVERS ni jamii ya panya na niya pili kwa ukubwa kati ya jamii za panya wote waishio kwa sasa. Wanapatikana sana Katika ukanda wa kaskazini kama Amerika ya kaskazini na ulaya ya magharibi. Kimaumbile wana urefu wa kuanzia mita 0.3 hadi 0.5 (kuanzia kichwa hadi mkia), na kiupanna sentimita...
  3. Mwanamke tajiri kuwahi kutokea dunia, aliyeyesifika kwa ubahili ulio tukuka

    Jinsi Hetty Green Alivyokuwa 'Mwanamke Tajiri Zaidi Nchini Amerika' Wakati wa Enzi ya miaka ya dhababu "GILDED AGE" Akiitwa "Mchawi wa Wall Street," Hetty Green alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi nchini Marekani mwanzoni mwa karne ya 20. Katika karne ya 19 nchini Amerika, ukuaji wa viwanda...
  4. Mjue Cuckoo, ndege mkwepa majukumu ya ulezi, ndege mwenye roho mbaya

    Cuckoo ni jamii ya ndege wasafiri ambapo husambaa katika kipindi cha kiangazi kwenye bara la ulaya, Asia na Africa. Jamii hii ni aina ya ndege hukwepa majukumu kwa kupandikizia watoto wao kwa jamii nyingine za ndege ili walelewe tangu yakiwa bado mayai. Kwa maana kuwa hutaga kwenye viota vya...
  5. Jitahidi ujue neno la Mungu maana Manabii wengi wapigaji

    Narudia tena Mungu awape ufahamu kulijua neno la Mungu wapendwa. Kuna jirani yangu ni mpenzi sana wa mahubiri ya redio. Akajichanganya kasikia kanisa moja huko buza, alipofika no 1 kumwona nabii akaambiwa shida zake zinahitaj gharama kubwa, aliemloga ametumia hela kubwa kaambiwa atafute...
  6. Mjue Dharmendra wa Bagamoyo

    Anaitwa Dharmendra Mzimba. Huyu lazima kazaliwa miaka ya 90 mwanzoni na baba ake alikuwa ana angalia sana picha za kihindi. Kanikumbusha Niliwahi kusoma na jamaa yeye baba ake alikuwa anawaita watoto wake majina ya wasanii na watu maarufu. Alikuwa anawapa majina yote kamili kamili. Kwa mfano...
  7. Mjue Laila Ali (The Iron Lady) malkia wa ngumi ulimwenguni

    Naomba nitoe salam kwa member wenzangu wa JF. Kwa mara nyingine, leo nawaletea historia ya mwanamasumbwi bora wa kike wa muda wote, na wa uzito wote (The GOAT) Laila Ali au unaweza kumwita 'She bee stingin' ni mtoto wa King wa mchezo huo duniani Muhammad Ali 'The Greatest'. Laila Ali alizaliwa...
  8. Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

    Habari zenu wakuu, Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamekumbana na shughuri ya kiumbe anayeitwa mwanamke, tena ilikuwa ni shughuri nzito kweli kweli na kwasababu ilikuwa ni ndoa yangu ya kwanza Basi nikaamini pengine ndiyo maana misikitini na makanisani mashehe na wachungaji wetu wanahubiri...
  9. Tanganyika Majimaji, Congo Mayimayi, Kenya Maumau. Mjue Mama Onema wa kundi la SIMBA WA MULELE

    Magwiji wa Afrika walikuwa wengi tu wa aina ya Kinjekitile Ngwale... Soma historia ya huyu mama anaitwa Mama Onema ambaye aliishi Congo na ndio alikuwa akiwakinga na Risasi waasi wa kundi la SIMBA MULELE wakipigania ardhi yao dhidi ya wavamizi Marekani na kibaraka wao Mobutu. Mama Onema...
  10. Baba Levo: Kama nikifa leo au kesho basi mjue Harmonize ndio ameniua

    Baba Levo bado anaugulia maumivu makali ya shingo baada ya kula kichapo kutoka kwa Harmonize. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Babalevo amesema, "Shingo linaniuma, kama nikifa leo au kesho kwa tatizo hili basi mjue Harmo ndio ameniua" - Baba Levo Ikumbukwe kuwa Baba levo ameshachukua RB na...
  11. Mjue video vixen wa nyimbo ya Mapozi

    Video vixen wa mapozi anaitwa Sikujua Mponda. Ni mbantu aliyelowea ulaya. Video vixen wa ‘Mapoz’ anaishi huko Finland. Ni dansa na mmiliki wa shule ya uchezaji huko Helsinki. Ni pisi ya viwango na maisha bora!!
  12. Mjue Mbunge Maganga Aliyekuwa Dereva wa Malori na Mabasi na Sasa ni Mbunge wa Jimbo la Mbogwe

    MBUNGE NICODEMAS MAGANGA: NILIKUWA DEREVA WA MALORI NA MABASI, SASA NIMEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE "Nimetokea familia ya maisha ya kati sana. Baba yangu ni mkulima na Mfanyabiashara, nimebahatika kuwa mtoto wa nane katika familia yetu. Tulikuwa tunaishi Shinyanga Vijijini lakini baadaye...
  13. Siku kama ya Leo mwaka 1804 huko Ufaransa bwana Napoleon Bonaparte alijivika Taji kama Kaisari wa Ufaransa

    Siku kama ya Leo mwaka 1804 huko Ufaransa bwana Napoleon Bonaparte alijivika Taji kama Kaisari wa Ufaransa. Mwaka uliofuata akapewa pia Taji la Mfalme wa Italia. Vita ya Mapinduzi yake dhidi ya familia ya Kifalme, Huhesabika kama moja ya matukio 10 makuu ya Kihistoria Ulaya. Mwaka 1805...
  14. R

    Mjue adui yako wa karibu usiyemdhania

    Salaam, shalom!! UTANGULIZI. Wote tunao maadui, uwe MWEMA au Mwovu, lazima maadui watakuwepo na ni wa karibu nawe. Leo, siwazungumzii hao maadui unaowajua wa kazini kwako, Jirani zako unayoishi nao, au maadui katika biashara, hapana!! MADA: NANI ALIYE ADUI WAKO WA KARIBU USIYEMDHANI? Maadui...
  15. HAMAS kuachia Warusi, hivi mnawashabikia huwa mnatumia vigezo gani, mjue kuna hadi Watanzania

    Mnaokesha humu kushabikia HAMAS huwa mnatumia vigezo gani kando na dini, nini kingine kinachowapa hamasa ya kushabikia maovu yao, wameteka watu wa mataifa mbali mbali wasiohusiana na ugomvi wa Palestina, humo kuna hadi Watanzania...
  16. Mjue MKAVILONDO, Askari anayedumu milele katikati ya jiji la Dar es Salaam

    Huyu ndiye ASKARI ambaye sanamu yake iliwekwa pale SAMORA AVENUE ROUNDABOUT -ASKARI MONUMENT. Inasemekana hapo ndio muda aliokuwa amepozi kwa ajili ya kutengenezwa sanamu, kwa jina aliitwa MKAVILONDO.
  17. Mjue mjusi "yesu"; Basilisk

    Basilisk ( Basiliscus basiliscus ) ni aina ya mijusi katika familia Corytophanidae. Spishi hiyo hupatikana Amerika ya Kati na Amerika Kusini, ambapo hupatikana karibu na mito na vijito katika misitu ya mvua. Pia inajulikana kama mjusi "Jesus Christ", Jesus lizard, lizard Jesus wa Amerika...
  18. Rais Samia mjue adui yako, hao wenye ndoto za urais watakukwamisha tu

    Sio dhambi wala jinai kuwa na ambitions za kuusaka uongozi wa juu wa nchi, lakini wengi wanakuwa consumed na ndoto hizo, wako distracted, wanafanya siasa zaidi kuliko kazi waliyopewa, wanahangaika kukusanya fedha na kusuka mitandao yao. Watu hao sio wazuri kwako. Moja ya mambo yaliyomfanya...
  19. Mjue Jonathan Lee Riches, mtu aliyeanzisha mashtaka mengi duniani na kujipatia mamilioni

    Leo, tunamzungumzia Jonathan Lee Riches, anayejulikana kama mtu mwenye kesi nyingi zaidi duniani. Kijana huyu alifanya vichwa vya habari alipofungua kesi yake ya kwanza dhidi ya mama yake mwenyewe. Katika kesi hii, alidai kwamba mama yake alimtunza vibaya. Kwa kushangaza, alishinda na kutunukiwa...
  20. Mjue Wakili Robert Denison aliyemsurubu Edwin Igenge Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Wizara ya Madini

    Robert Denison joined LALIVE in 2019 and specialises in international commercial and investment treaty arbitration, as well as public international law. He has a particular focus on the energy and mining sectors, as well as experience working on disputes in a range of other industry sectors...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…