SEA SQUIRT (tunicate) ni mnyama/samaki wa baharini ambaye anapokuwa mchanga, anakuwa na ubongo wake kama tu ilivyo kwa viumbe wengine na huogelea akitafuta sehemu ya kudumu ya kujishikilia, kama vile mwamba.
Mara anapopata sehemu hiyo, hujishikilia hapo, kisha hufanya kitu cha ajabu...