mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke Mbeya mjini

    Mi ni mgeni huku, nimekuja kuanza maisha. Nahitaji mwanamke wa huku mbeya mjini kwa mahusiano endelevu. Nimekuja huku JF coz mi sio mtembeaji sana wala muongeaji. Muda mwingi nipo ndani mwenyewe. Awe sehemu za mbeya mjini, mi nipo pembeni kidogo ya mji. Kama utakuwa interested nicheki kwa...
  2. JamiiForums Tanzania “Mimi naiba tu sina kazi nyengine mjini, ukinipiga ukiniuwa utajua mwenyewe…” 😂

    “Mimi naiba tu sina kazi nyengine mjini, ukinipiga ukiniuwa utajua mwenyewe…” 😂
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Michael Kimbaki aliyekuwa Mbunge wa Tarime Mjini asema haungi mkono Ubunge kuwa na ukomo wa Miaka 10

    Michael Kimbaki, Mshindi wa Kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwania Ubunge Jimbo la Tarime Mjini, amekubali maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM yaliyompendekeza Ester Matiko kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo hilo. Hata hivyo, Kimbaki amesema haungi mkono wazo la kuzuia Wabunge...
  4. JamiiForums Tanzania Fanya hivi ikiwa umesoma ila hauna ajira inayokuweka mjini.

    Umesoma vizuri, mambo hayaendi maana yake akili imekungusha, sasa jaribu nguvu, potelea porini, fyeka miti, lima kwa mkono wako, fuga, jenga hata kijumba cha nyasi, anzisha maisha huko bila kujihurumia, potelea huko kwa miaka mitatu, minne, utaanza kuvuna mazao, ya mikono yako, pata pesa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ya CCM tumeyasikia, yamepita. Turudi kwenye habari ya mjini yaani Mifumo kusomana.

    CCM wanajua kucheza karata zao vizuri. Wana magwiji wa Mikakati mizuri na ya hovyo pia. Siyo siri Kombora la mwisho alilotoa Humphrey Polepole kwamba mifumo ya INEC, NIDA na Lumumba inasomana hivyo kupora maamuzi ya watu katika kupiga kura, limewashtua na kukitikisa Chama hicho. Mabadiriko ya...
  6. JamiiForums Tanzania Jimbo la Kigoma mjini na Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo)

    Baada ya kuona Baba Levo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kulitetea jimbo la Kigoma Mjini, hili limenifanya niamini kwa 100% kuwa kuna majimbo yameandaliwa kwa ajili ya ACT Wazalendo na CHAUMMA. Kwa akili ya kawaida sioni ni nini CCM wamekilenga kwa Baba Levo zaidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nyerere Road (Barabara ya mjini -Airport ) usiku huu imechangamka. Gari heavy za polisi zinafanya movement isiyo kawaida

    Haya wazee wa CC timu mtueleze kuna nini leo. Wazee wa CCM mikataba ya Kimataifa imewashinda na hii convoy ya Nyerere road iwashinde? Kunani leo? Maana hizi gari za heavy duty mara nyingi tunaziona moja moja tu lakini leo nne tano zimeongozana.
  8. JamiiForums Tanzania Cameramen huwa hawaanguki na mapepo, njia ya kwenda kwa mganga imejaa masikini ila we unatoka mjin kufata utajir kwake, ishara ni nying ila mwafrika🤣

    Tunahangaika na vitu ambavyo tunataka vi-prove kitu kwetu wakati hata vyenyewe binafsi haviwezi hata kuji-prove.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Habarini wapenzi. Naombeni msaada wa Mwanasheria wa Moshi mjini. Ni dharura sana naombeni msaada wa haraka.

    Natanguliza shukrani🙏🙏
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Uchafuzi wa Mto Matarawe, Manispaa ya Songea Mjini: bomu la kimyakimya

    Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka za nyumbani, plastiki, mabaki ya chakula na hata vinyesi. Tabia hii si tu inaharibu mandhari ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  13. JamiiForums Tanzania Nani mshindi CCM Mbulu Mjini?

    Mwenye kujua Nani kaibuka kidedea jimbo la Mbulu Mjini!
  14. JamiiForums Tanzania Charles Mhando Njama: Safari ya Mwanamapinduzi Aliyetwaa Tiketi ya Ubunge wa Korogwe Mjini 2025 kupitia CCM

    Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025 Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini. Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamempatia ushindi wa kishindo katika kura za maoni akiwaacha mbali sana wapinzani...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Siasa za Bukoba Mjini Kati ya Lwakatare na Kagasheki ilikuwa hatari sana ile ligi!

    Miaka imeenda Sana . Tumepoteza ladha katika siasa zetu , Pale Bukoba Mjini kulikuwepo VITA Kali Sana Kati ya Lwkatare na Kagasheki hii ilikuwa zaidi ya Simba na Yanga. Kura zilikuwa zikipigwa haijulikani nani atashindwa. Wote hawa wamekalishana Benji. Mmoja anaingia mmoja anaingia benchi.
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Ukilitaja Jina la Rais Samia wananchi wa Kigoma Mjini wanafurahia, wanajisikia raha sana

    Mtia nia nafasi ya Ubenge Kigoma Mjini kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando almaarufu kama Baba Levo amesema wananchi wa Kigoma Mjini wanajisikia raha sana linapotajwa jina la Rais Samia kwani kuna vitu vingi amewafanyia wananchi hao na kusema kuwa yupo tayari kumsemea kwa mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa tunaojitafuta: Mke anaweza kutoka kijijini akaletwa Mjini, Lakini Gari… Lazima litoke Japan!

    Habari za weekend wakuu. Maneno yasiwe mengi. Kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Unaweza kumtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini, hatasumbua sana, maisha yataenda. Lakini, gari lazima litoke Japan. Namaanisha lazima liwe Japanese. Yaani liwe Toyota, Subaru, Nissan, Honda, et al. Achana...
  18. JamiiForums Tanzania Maeneo gani mazuri ya kutembea ukiwa Tanga mjini?

    Naombeni muongozo jamani, kesho natarajia kuwa maeneo hayo..
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana 50 kubandika bango mjini DSM.

    Asee wakuu kwema? Kijana abandoned bango 100, kila bango 1 shilingi za kitanzania 800. Bandika bango 100 uchukue 80000 mzee mambo yasiwe mengi.. Kazi inataka watu wa dar wenye ari na nguvu na uhitaji wa kazi. Tunapendelea kufanya kazi na wa kiume zaidi. Kazi itaanza jumatatu na mwisho wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yampitisha Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni Mjini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha mfanyabiasha maarufu Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni mjini. Salum atachuana na wagombea wengine watano. Katibu wa Itikadi na Uenezi, Amos Makala ametangaza majina hayo leo Julai 29, 2025.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…