mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Mikopo midogo midogo kwa Bukoba Mjini- Wakopeshaji

    Nani mwenye kuwajua wakopeshaji Binafsi kwa Kagera? Kiwango kinachoanzia angalau 5m and above Tuwasiliane kuna jambo la joint
  2. JamiiForums Tanzania CCM yaombwa kuchunguza rushwa Tarime Mjini

    Na Mwandishi Wetu HALI ya sintofahamu inazidi kugubika ushindi wa Jackson Kangoye kwenye kura za maoni katika jimbo la Tarime Mjini, baada ya viongozi wa Chama wilaya kukiuka taratibu na kumbeba Kangoye. Taarifa za kuaminika ilizozipata zilidai kuwa Kangoye ametumia fedha lukuki ikiwemo kutoa...
  3. JamiiForums Tanzania UHITAJI WA FUNDI WA COMPUTER DODOMA MJINI

    Ninawasalimka ndugu wajumbe. Ninatafuta mtaalamu wa Kompyuta kwa Dodoma. Komyuta yangu imekuwa na changamoto inapowashwa hai-display chochote. Kama yuko fundi humu kwa upande wa Dodoma tunaweza kuwasiliana PM, ikiwa kuna mtu anamfahamu fundi mikini nitashukuru kupata mwongozo tafadhali!
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Tarime Mjini: Ngicho ahamishia nguvu zake kwa Gerald Martin

    UBUNGE TARIME MJINI: NGICHO/WAITARA WAHAMISHIA NGUVU ZAO KWA GERALD MARTIN Kura za maoni Jimbo la Tarime Mjini zilifanyika tarehe 21 Julai 2020 na Jackson Kangoye akafanikiwa kuongoza kwa idadi ya kura. Inafahamika kwamba Jackson Kangoye na Mwita Waitara walitengeneza muungano ili kusaidiana...
  5. JamiiForums Tanzania Yaani tukutane kimjini mjini harafu nikukabidhi tu simu yangu Umerogwaa?

    Habari za usiku huu wapendwa katika Bwana Natanguliza shukrani zangu za dhati Kwa Mpendwa wetu Aliyetutoka Mh. William Benjamin Mkapa pia Umomi R.I.P🙏🙏 Baada ya salamu hizo niingie sasa kwenye kufoka😅🤣 Nipo maeneo ya mjini Mida kama ya saa 11 jioni nimeskilizia tu kushangaa magorofa, mara...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa Mwenyekiti wa CCM kule mkoani Kilimanjaro kumpendelea Ibrahim Shayo ili apitishwe kugombea Jimbo la Moshi Mjini

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kule Kilimanjaro, CCM imemuamini mwenyekiti wa CCM mkoa Jambo ambalo nitakigharimu chama kwa miaka mitano. Mwenyekiti wa CCM mkoa ni swahiba mkubwa wagombea aliyepitishwa kugombea Jimbo la Moshi Mjini. Mtandao huo umekwenda mbali kiasi kuwa kaka wa Ibra...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa haya matukio mfululizo kumhusu Tundu Lissu, bado wananchi tushindwe kutengua kitendawili ya nani alihusika na kumpiga risasi mjini Dodoma?

    Tundu Lissu ni mzalendo wa Tanzania, ambaye takribani miaka 3 iliyopita, baadhi ya wananchi ambao Polisi wameendelea kutuaminisha watanzania kama ni "watu wasiojulikana" walihusika na tukio baya kabisa lililofanywa na watu hao la kutaka kumwua Tundu Lissu, kwa kumminia risasi mfululizo kwenye...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imeamua kufunga Konseli Kuu ya China mjini Houston, Marekani?

    Wiki hii Serikali ya Rais Donald Trump imeishangaza ulimwengu kwa kuendelea na sera yake ya kuiandama China kwa kutoa muda wa saa 72 kufungua konseli kuu ya China mjini Houston, kwa kisingizio cha “kulinda taarifa binafsi za wamarekani na kulinda haki za ubinufu za wamarekani”. Wanaofuatilia kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa China uliopo Houston kufungwa kufikia Ijumaa

    Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema kuwa uamuzi huo unalenga "kulinda akilimiliki ya Wamarekani ". Lakini msemaji wa wizara ya mambo ya nchi za nje ya Uchina Wang Wenbin amesema kuwa uamuzi huo "ni wa kushitua na usio na sababu ". Taarifa hii imekuja baada ya watu wasiojulikana...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Bukoba Mjini huyu Kamala Kalumuna mliyempitisha mnadhani sisi watu wa Bukoba hatujitambui! Subirini dawa...

    Katika majimbo yote hapa Tanzania, kwa Bukoba mjini CCM mtachezea kichapo cha karne. Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo, kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge? Hapo CCM jiandaeni kulia tena uzuri sisi Bukoba mjini tunajitambua.
  11. JamiiForums Tanzania TAKUKURU nawatafuteni katika ' Vijiwe ' vyangu Mbeya Mjini, Kawe na Kigamboni mbona siwaoni Mkiwajibika?

    Nikiwa kama ' Mzalendo ' wa nchi hii pendwa na tukuka kabisa ya Tanzania nadhani Kisheria nina Wajibu wa Kutoa Mawazo yangu ya Kimtazamo na ikibidi hata Kuwasaidia Wahusika hasa Mamlaka zenye Dhamana ya Haki na Usawa nchini katika Kutekeleza Majukumu yao mema kwa Ustawi wa Amani na Demokrasia ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar es Salaam (Tabata au Kinyerezi)

    Habari ndugu, Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM Shukrani.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Polepole hata kama uko Songea mjini na siyo Peramiho bado siyo sahihi kumpigia kampeni Jenister Mhagama!

    Nimeshangazwa sana na kauli ya komredi Polepole baada ya kumsifia sana Jenister Mhagama akasema kwa kuwa mkutano ule unafanyika Songea mjini na siyo Peramiho kummwagia sifa lukuki Jenister Mhagama siyo kampeni. Kilichonitisha ni ukweli kuwa Polepole ni mjumbe wa kamati kuu ambayo itachuja...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

    Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe . UPDATES:
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa chama okoeni CHADEMA Geita Mjini, kura za maoni zinakipasua

    Yawezekana jambo hilo likaonekana ni la kawaida lakini CHADEMA jimbo la Geita kuna fukuto kubwa sana kwani kura za maoni zinakipasua chama, mwisho wake ni mbaya, viongozi tazameni hilo kwa ukaribu.
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya mahindi soko la Songea Mjini

    Wakuu nahitaji kufahamu bei ya mahindi pale Songea Mjini kuna mdau anafahamu basi anisaidie maana nahitaji mzigo mwingi.
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Abdallah Zombe achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Songea Mjini kupitia CCM

    Kamanda Zombe achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Songea Mjini. Zombe ni maarufu kwenye midomo ya watu kutokana na kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabiri ambapo mwaka 2016 aliachiwa huru na Mahakama ya Rufaa ambapo pia mshirika wake Christopher Bageni alihukumiwa kunyongwa hadi kufa...
  18. JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge jimbo la Korogwe Mjini kupitia CUF chama cha wananchi Mhe. Amina Magogo afanya ziara ya ujenzi wa chama Korogwe Mjini

    MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KOROGWE MJINI KUPITIA CUF CHAMA CHA WANANCHI MHE. AMINA MAGOGO AFANYA ZIARA YA UJENZI WA CHAMA KOROGWE MJINI
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Mtangazaji Jacob Tesha atinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini

    Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry. Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha leo ametinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini. Mgombea...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakili Albert Msando achukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM

    Msando amewashukuru wote ambao wamempa moyo na kumtakia kheri, ''safari hii inapaswa kuwa ya pamoja” Pia soma - Je, Wakili Albert Msando anafaa ubunge wa Arusha Mjini? - Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…