mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi Mjini vs kuishi kwenye Vijiji vilivyochangamka

    Kazi unazofanya ni miongoni mwa vitu ambavyo vinakuchagulia mahala pa kuishi. Nimeishi sehemu nyingi za mjini na kijijini, nilichokiona mimi maisha ya mjini ni mazuri ukiwa na pesa nyingi na maisha ya kuishi kwenye kijiji kilichochangamka ni mazuri zaidi hata ukiwa na pesa kiasi. Nimechukua...
  2. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yupo mjini Ifakara. Nashangaa kuona ulinzi ni mkali

    Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni brand gani ya haya majiko ya gesi ya plate mbili iko imara na ndio habari ya mjini kwa sasa?

    Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF. Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven lakini yote yamezinguwa, hili la Pili Sasa hivi halitowi moto wa blue linatowa moto kama koroboi na...
  4. JamiiForums Tanzania Arusha: Ongezeko kubwa la omba omba mjini, je ni mradi wa watu?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko kubwa la omba omba katikati ya jiji la Arusha, kulinganisha na miaka miwili iliyopita. Miongoni mwa omba omba hao ni wazee, vipofu, viziwi walemvu wa miguu na mikono Watoto, na baadhi yao wanaojifanyisha ni walemavu. Hali hiyo imekuwa kero sehemu...
  5. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa Sengerema, Mwanza

    Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu! Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika, kama inavyoonekana kwenye picha Zote zina mfumo uliokamilka wa maji taka,! Maji na umeme vipo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China

    Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China, ili kusherehekea Sikukuu ya Spring
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine wanajikanyagakanyaga kueleza jinsi ghorofa mjini Dnepr lilivyobomolewa na kombora

    Ghorofa moja wanaloishi raia mjini Dnepr lilibomolewa vibaya na kombora tarehe 14/01/2023. Siku hiyo urusi ilirusha makombora/missiles ikilenga miundombinu ya umeme. Msaidizi wa Rais Zelensky akasema kombora la Urusi lilidunguliwa na air defense za ukraine, halafu kifusi chake ndio...
  8. JamiiForums Tanzania GooglePesa platform matapeli wapya mjini

    Habari wana JF, Kampuni inayojitambulisha kama GooglePesa Platform iliyojikita jijini Arusha na kuendesha biashara ya utapeli kupitia mtandao (www.googlepesaplatform.com). Kampuni hiyo ina muundo sambamba na iliyokuwa Kampuni ya Kalynda. Wanatumia website na application yao iliyopo playstore...
  9. JamiiForums Tanzania Nimetembelea shule za Dar es Salaam wanafunzi bado wanakaa chini mchangani, sijui mikoani kukoje!

    Leo nimepita shule ya msingi Upendo iliyopo Mbezi Luis jijini Dar es Salaam. Kwanza shule ina wanafunzi wengi kuliko uwezo wa madarasa mpaka wanaingia kwa shift. Pili shift husika inabeba wanafunzi wengi mpaka wengine wanakaa chini tena sio chini kwenye sakafu, ni chini kwenye mchanga. Unaweza...
  10. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora *Room 4 (Kimoja master) *Sebule *Jiko *Public Toilet *Umeme✅ *Maji✅ Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp 0763316426
  11. F

    JamiiForums Tanzania Watu wa bara acheni ujuaji mkija mjini

    Naona hii tabia inaota mizizi kila uchwao siku baada ya siku tabia ya watu wa bara kujikuta ujuaji matokea yake mnaharibu kila kitu kama Utada poa nyie ni watu wa mwanzo kuuleta huku bara yaani mmeharibu dada zetu watu wa pwani yaani sio pos hawashikiki hata kidogo sababu ni yenu. Baada ya kuja...
  12. JamiiForums Tanzania Pisi zipo nyingi sana mtaani tafuta Moja ya uhakika tulia

    Yaani wanawake wapo wengi sana Kila Kona unakunana na mwanamke Tena sio mwanamke tu Bali ni mwanamke mrembo. Kwanini utembee na mke wa mtu? Yaani hakuna maumivu makali kama kuchapiwa mke wako amini hili. Trauma anayoipata mwanaume kisaikolojia ni mara mia apigwe risasi ya trako. Mkesha wa...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu tisa wafariki huku wengine wakijeruhiwa kutokana na mkanyagano

    Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
  14. JamiiForums Tanzania Nasikitika sana kukosa hata kandinga kakuzugia mjini

    Haya maisha yasikieni tu, mwezi wa 12 huu kila kitu kimebana. Yaani ukiweza kuvunja huu mnaso, wewe hata bikira hazikusumbui. Pesa haipo kabisa.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa vyombo visivyo na rubani wafunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China

    Mkutano wa Tano wa Vyombo visivyo na Rubani umefunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Mkutano huo ulifadhiliwa kwa pamoja na serikali ya mji wa Zhuhai, shirika la anga la China, na Kituo cha Utumiaji na Udhibiti cha UAV cha Chuo cha Sayansi cha China. Katika mkutano huo...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips Morogoro Mjini

    Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko. Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka
  17. JamiiForums Tanzania Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

    Tuendelee na mada zetu za kukera you know how much you know hahahahaha nyie si wazazi wenu si waliamini mjini msingi kiuno? Miaka Ile DDC Mlimani Park walikuwa hawakosekani? Niwaambie kile kipindi wazazi wa wenzenu walikuwa wananunua Maplot huko kedekede hahahahaha. Kwangu mimi sina haja hata...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Alphard inauzwa Tanga mjini

  19. JamiiForums Tanzania Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

    Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada. Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika. Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
  20. JamiiForums Tanzania Lounge zilizopo Moro mjini zinapiga sana kelele (Noise Pollution)

    Kuna mwaka nikiwah sikia Nemc walitoa tamko la swala la kumbi za starehe na mabar zifunge sound proof (vipuguza sauti na mitetemo) ktk Hizi kumbi ili kupunguza kelele ... Sijui walifikia wapi ? Aah nipo hapa Moro town kuna lounge inaitwa Star park inapiga mziki mkubwa mnooo yaan ni kelele tupu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…